Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

Hahahaaaa na bado, sisi tuanamchora tu,
Tunamsubiri 28 tumuonyeshe, hapo kabla hakua anaishi hapa tanzania ila kwa sasa ndo kawaona watu wa mitumba?
Mwambie apite na kwa mama ntilie ale chakula Chao, kisha apande na bodaboda
Lissu ameamua kuutumia vizuri muda wa likizo ya lazima ya Tume kutafuta mahitaji yake ya muhimu.

Aisee jamaa hazuiliki.akili ndogo inataka kutawala akili kubwa.
WEwe unadhani kaongeza nini hapo?
Anahangaika tu na kupoteza mda,
sema anaangalia vitu vilivyoundwa na JPM kiaina, wacha asafishe macho.
Atakubali tu maendeleo ya vitu yanavyowapa watu maendeleo yao.
 
Aliemfungia asifanye kampeni alimsaliti jiwe kwa kiwango kikubwa sana.

Ona sasa kila baada ya lisaa limoja Tundu Lissu anafanya mkutano mkubwa wa zaidi ya wapiga kura 80k
Lissu atapigwa kifungo cha nyongeza chenye Mashariti makali sana!
 
Mkuu BAK kama uko karibu naye, au wafuasi wake, mwambie/waambie nafasi anayegombea siyo ya Serikali za Mitaa. Anachofanya kwa sasa kuzunguka mitaani, pamoja na kuhatarisha maisha yake (kumbuka amekuwa akidai usalama wa maisha yake kwa jeshi la polisi na usalama wa taifa), ni kichekesho. Vijana wa mjini wanamwona kama kinyago vile.

HAKIKA LISSU ni mwanasiasa uchwara
Kumdhuru Lissu ni kama kuchomoa kipini kwenye grenade,litamlìpukia mchomoaji na walio karibu yake...
 
Hahahaaaa na bado, sisi tuanamchora tu,
Tunamsubiri 28 tumuonyeshe, hapo kabla hakua anaishi hapa tanzania ila kwa sasa ndo kawaona watu wa mitumba?
Mwambie apite na kwa mama ntilie ale chakula Chao, kisha apande na bodaboda
Alafu aliwatukana hawajui kiingereza.
 
WEwe unadhani kaongeza nini hapo?
Anahangaika tu na kupoteza mda,
sema anaangalia vitu vilivyoundwa na JPM kiaina, wacha asafishe macho.
Atakubali tu maendeleo ya vitu yanavyowapa watu maendeleo yao.
Hivi vitu hata Lissu akikabidhiwa Mamlaka mbona atavifanya tu,hata wewe unaweza,ni kiasi cha kukusanya kodi na kuandaa bajeti bungeni,so easy...hakuna cha ajabu hapo
 
Back
Top Bottom