Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi hili jina litakuwa maarufu sana Nchini.Hivi ni nani aliyempa hili jina 'TUNDU'?
Sijawahi kulisikia popote.
Jaribio la kizuizi Cha barabarani lililenga kuona kuwa wanafanikiwa kumzuia kwani walishtuka atawatesa.Duu ! Mpaka NEC wanajuta kwa nini walimsimamisha walidhani angekaa nyumbani tu.........
Site wasiopenda haki ni watu uchwara.Mkuu BAK kama uko karibu naye, au wafuasi wake, mwambie/waambie nafasi anayegombea siyo ya Serikali za Mitaa. Anachofanya kwa sasa kuzunguka mitaani, pamoja na kuhatarisha maisha yake (kumbuka amekuwa akidai usalama wa maisha yake kwa jeshi la polisi na usalama wa taifa), ni kichekesho. Vijana wa mjini wanamwona kama kinyago vile.
HAKIKA LISSU ni mwanasiasa uchwara
Ze comedy halisi leo alikuwa anazindua huku akichangsha na kuchekesha kwa kingereza kipyaKageuka kuwa ze comedy ya jiji
Wanaume hawatishiwi nyau!Huyo bwana anatia huruma
Ila sio huruma za kurakichapo kipo pale pale![]()
Hakuna kura za huruma,kisa ulishambuliwa na wakora.
Nchi sio porojo za sheria, unafikili hayo anyosema anaweza kuyasimamia?Hivi vitu hata Lissu akikabidhiwa Mamlaka mbona atavifanya tu,hata wewe unaweza,ni kiasi cha kukusanya kodi na kuandaa bajeti bungeni,so easy...hakuna cha ajabu hapo
Tabia gani mkuu?Ila Lissu jamani amenishinda tabia
Ya kupambana na tumeTabia gani mkuu?
Bwana Yule sijuwi kama ana pata usingizi
Wewe uliona kwa macho yako wakati wakora wanamshambulia?Unamaanisha wakora wale:
1. waliowaondoa polisi walinzi kwenye yale makazi ya viongozi?
2. waliokwenda kuondoa CCTV cameras na recordings zilizochukua tukio lile, baada ya tukio.
3. wale waliokwenda kumnyima stahiki zake za kujikimu na za matibabu ili afe hata kwa kukosa matibabu?
4. wale waliokwenda kumfuta ubunge ati kuwa walikuwa hawajui alikuwa wapi?
5. wale ambao badala ya kukamatwa kwa tukio lile la kijambazi, leo wanapatikana kwenye yale magari yenye nambari tata za usajili t2020pjm na wako vizuri?
6. wale ambao watu fulani leo wanawalaumu kwa kutomaliza ile kazi kikamilifu kwani kiutaratibu risasi 3 huwa zinatosha sana?
7. nk, nk.
Kweli mabwana hao ni wakora kweli kweli. Baada ya Oct 28 kila mmoja ataubeba msalaba wake mwenyewe.