Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

Wamemchoka tu sio kwamba awajui tafsiri ya anachofanya ni political campaign.

Kama wangekuwa wana shida nae wanamuongezea adhabu kirahisi sana.

Hakuna cha akili yeyote zaidi ya kuendelea na ukaidi tangia amerudi.

Adhabu ipo wazi amezuiwa kufanya political campaign (general) sio kutokufanya mikutano tu (exclusive).
 
Wewe uliona kwa macho yako wakati wakora wanamshambulia?

Si lazima kuwa Dodoma kuwajua wakora waliofanya lile shambulio labda kama unataka kujidanganya kuwa Lissu alijishambulia mwenyewe kama yule kijana aliyejiteka.
 
Aliemfungia asifanye kampeni alimsaliti jiwe kwa kiwango kikubwa sana.

Ona sasa kila baada ya lisaa limoja Tundu Lissu anafanya mkutano mkubwa wa zaidi ya wapiga kura 80k
Yaani serikali yote imejikuta ina mpigia Lissu kampeni bila kujijua.
Ni yale yale walimdanganya JPM kwamba Watanzania wana mkubali hana haja ya kufanya kampeni ya kuomba kura za urais 2020. Kumbe wachumia tumbo wali muingiza chaka baba wa watu. Lissu anamkimbiza mbio za mita mia kupokezana vijiti.. CCM hoiiiii
 
Yaani serikali yote imejikuta ina mpigia Lissu kampeni bila kujijua.
Ni yale yale walimdanganya Jpm kwamba Watanzania wana mkubali hana haja ya kufanya kampeni ya kuomba kura za urais 2020. Kumbe wachumia tumbo wali muingiza chaka baba wa watu. Lissu anamkimbiza mbio za mita mia kupokezana vijiti.. Ccm hoiiiii
2810
 
Wamemchoka tu sio kwamba awajui tafsiri ya anachofanya ni political campaign.

Kama wangekuwa wana shida nae wanamuongezea adhabu kirahisi sana.

Hakuna cha akili yeyote zaidi ya kuendelea na ukaidi tangia amerudi.

Kwa mujibu wa udikteta wanaweza
Ila kwa mujibu wa sheria hawawezi
 
Back
Top Bottom