Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

ukiishafika hata 40% utajua ni kwanini tunaahangaika na magu wakati hata mishahara haongezi.
Endeleeni kuhangaika nae,hata watu wa korosho/tetemeko/bomoabomoa wanaendelea kumuombea aendelee kuongoza nchi.
 
Wagogo wachinjaji Ni raia Kama wewe Wana umuhimu wao na Ni wapiga kura

ukaujue umuhimu wao wakati huu!!!kipindi mwingine anawajengea machinjio ya kisasa yeye anabwabwaja uhuru wa kujieleza.
 
Mawazo ya kijinga

Eti bomu lililoisha muda wake

Kwani mabomu yana expire date[emoji849]

Watu Hadi leo wanasaka mabomu ya ardhini huko vietnam Vita vya 1960 huko Hadi akina panya magawa wameenda kuwasaidia

Hamjielewi nyie
 
Hata m7 kwny ile meeting alisikia mtu anasema 'human rights is not my priority' ikabidi aingilie fasta kuokoa jahazi hahah.

mimi nashukuru maana sasa kuelekea oct 28 mmegundua udhaifu wa masta ni kiingereza pekee[emoji2][emoji2].

sasa kazi kwenu kuwaeleza wananchi jiwe hajui kiingereza.
 
mimi nashukuru maana sasa kuelekea oct 28 mmegundua udhaifu wa masta ni kiingereza pekee[emoji2][emoji2].

sasa kazi kwenu kuwaeleza wananchi jiwe hajui kiingereza.
Uzuri wananchi wanajionea wenyewe:

Sasa wako kwny 'uchumi wa kati'.

Wafanyabiashara sasa hivi wamekua mamilionea.

Wanafunzi wa vyuo vikuu ualimu/udaktari waliomaliza 2015-2020 wote wameajiriwa na serikali ya Magu.

Mishahara wafanyakazi imeongezwa sana na madaraja kupandishwa.

Makato bodi ya mikopo Magu aliikuta ni 8% kaipeleka 15% kwa hio kafanya maisha yetu yamekua rahisiiiii.

Mafao ya wafanyakazi wanalipwa kwa wkt,minimum kwa awamu yake hii ni miaka 3 ndipo utapewa haki yako.

Fao la kujitoa tunalipenda sana huku mtaani,yaani vijana wanamkubali hatariiii.

Korosho tumelipwa pesa zetu zoteeee.

Bomoabomoa huku iko supa sana,tunamshukuru sana

Hakika kura zote atapewa yeye hahahah.
 
Ila Lissu jamani amenishinda tabia

Hata simuelewi. Maana alienda kufata mahitaji Kariakoo, Mlimani City, kabla ya hapo alienda kumkatia tiketi shangazi yake kule Ubungo, sasa anatafuta cardet Manzese 😀😂
 
Hata simuelewi. Maana alienda kufata mahitaji Kariakoo, Mlimani City, kabla ya hapo alienda kumkatia tiketi shangazi yake kule Ubungo, sasa anatafuta cardet Manzese [emoji3][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] Lissu ana mbinu nyingi sana, sijui kichwa chake kinawaza nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…