Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kuhangaika nae,hata watu wa korosho/tetemeko/bomoabomoa wanaendelea kumuombea aendelee kuongoza nchi.ukiishafika hata 40% utajua ni kwanini tunaahangaika na magu wakati hata mishahara haongezi.
Wagogo wachinjaji Ni raia Kama wewe Wana umuhimu wao na Ni wapiga kurabado kuchinja ng'ombe na wagogo mazizini.
Endeleeni kuhangaika nae,hata watu wa korosho/tetemeko/bomoabomoa wanaendelea kumuombea aendelee kuongoza nchi.View attachment 1594587
Nakubali we have no blazasz&fazaz hahah.imagine hao wote wamekubali ila wewe hutaki sababu hajui kiingereza.
Wagogo wachinjaji Ni raia Kama wewe Wana umuhimu wao na Ni wapiga kura
Mawazo ya kijingaNi bomu lilokwisha muda wake kama yai viza. Ushahidi ni ziara zake mitaani ambako alitegemea biashara zingefungwa kwa ajili yake lakini maisha yanaendelea. Wamempuuza kasoro kundi la vijana waliolipwa kumsindikiza wakimkejeli kwa kumuita Rais.
Kwa uthibtisho wa hoja yangu, kesho Uwanja wa Taifa patafurika watu (vijana kwa wazee) kumsikiliza Rais wao. Bila shaka mtakuja humu na vijoa vyenu badala ya hoja kuwa watu watafuata kuwaona wasanii.
Fumbo mfumbi mjinga
Nakubali we have no blazasz&fazaz hahah.
Hata m7 kwny ile meeting alisikia mtu anasema 'human rights is not my priority' ikabidi aingilie fasta kuokoa jahazi hahah.mzungu anaelewa,wabongo sasa,heeeeee
Hata m7 kwny ile meeting alisikia mtu anasema 'human rights is not my priority' ikabidi aingilie fasta kuokoa jahazi hahah.
Anasiku chache sana ya kusomeshwa namba. CCM daima!Mimi huwa Namhurumia kwa kweli, ila sio upande wa kura
Kwenye kura lazima tumchape ajutie kusaliti Nchi
Uzuri wananchi wanajionea wenyewe:mimi nashukuru maana sasa kuelekea oct 28 mmegundua udhaifu wa masta ni kiingereza pekee[emoji2][emoji2].
sasa kazi kwenu kuwaeleza wananchi jiwe hajui kiingereza.
Nina pesa zangu za kumwaga tu.nawewe kasombe upate hela ya kula,acha kushangilia shangilia makelele tu utakufa njaa.
Nina pesa zangu za kumwaga tu.
Magari yanakodishwa nani hataki kula pesa za mjinga?wamwagie wenye magari waache kusomba watu wa ccm basi.
Magari yanakodishwa nani hataki kula pesa za mjinga?
Sky Eclat: am traingi but I kanti richi yu...Ze comedy is Mr we do not have blazas, we do not have fazas.
Akili kubwa.
Ila Lissu jamani amenishinda tabia
[emoji3][emoji3][emoji3] Lissu ana mbinu nyingi sana, sijui kichwa chake kinawaza niniHata simuelewi. Maana alienda kufata mahitaji Kariakoo, Mlimani City, kabla ya hapo alienda kumkatia tiketi shangazi yake kule Ubungo, sasa anatafuta cardet Manzese [emoji3][emoji23]