Uchaguzi 2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

Uchaguzi 2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama. Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo!
Tunaondoka Tarime kama hivyo!
Unajua wana wa Israel walipotoka Misri bahari ilifunguka ili wapite nchi kavu. Adui wasio hekima walifikiri yale maji yamewafungukia na wao, kilichowakuta wanakijua wenyewe,
Vivyo hivyo na wale wanaofikiri Mungu kumponya Lissu kutoka risasi 16 zilizomwingia ni ili kuwapa fursa ya wao kutumia njia nyingine kumdhuru kitawakuta kilicholikuta jeshi la Farao na itaandikwa historia kwa habari yao.
Mb:
Mkapa na Makonda wamekutwa nje ya mamlaka waliyokua nayo hapo awali wakati wa ujio wa Lissu nchini.
 
View attachment 1535371
Sina la kusema. Kiongozi anayependwa halindwi na bunduki, analindwa na wanaompenda ambao ni wananchi. Hii ndiyo inaitwa nguvu ya umma! Kila la heri Rais mpya wa Tanzania.
Mnavyosema rais wa tz mtasababisha watu wauawe, hii speed ni heri tungehifadhi kwa ajili ya kampeni rasmi zitakapoanza
 
Unajua wana wa Israel walipotoka Misri bahari ilifunguka ili wapite nchi kavu. Adui wasio hekima walifikiri yale maji yamewafungukia na wao, kilichowakuta wanakijua wenyewe,
Vivyo hivyi na wale wanaofikiri Mungu kumponya Lissu kutoka risasi 16 zilizomwingia ni ili kuwapo fursa ta wao kutumia njia ntingine kitawakuta kilicholikuta jeshi la Farao ni itaandikwa historia kwa habari yao.
Mb:
Mkapa na Makonda wamekutwa nje ya mamlaka waliyokua nayo hapo awali wakati wa ujio wa Lissu nchini.
Hasa aliyekufa nimefurahi sana. corona imefanya kazi
 
Hamna kitu..wanachokifanya chedema wanampitisha jamaa kwenye yale majimbo machache,ambayo ndio ngome za chadema..mfano hapo mara mjini kuna Bulayo..kule kijijini kwa Lissu ni wazi lazima watu wajtokeze..wanafanya hivi ilikuleta attention kwa wajinga.
 
Back
Top Bottom