Ameshaanza kimya kimya ametuma watu kila mkoa.Duh....hivi jiwe hajaanza kutafuta wadhamini kweli!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshaanza kimya kimya ametuma watu kila mkoa.Duh....hivi jiwe hajaanza kutafuta wadhamini kweli!!
Kwani NEC wanasemaje?!?Rais anatafuta wadhamini au wadhamini wanamtafuta Rais?
Sisi nyomi yetu wanakuwa na silaha, Kama kule mvomelo yule masikini mchoma mahindi ana pisto kibindoniDah kuna baadhi tunaumia sana tukiona hii nyomi tunatamani tungekuwa sisi
Unajua wana wa Israel walipotoka Misri bahari ilifunguka ili wapite nchi kavu. Adui wasio hekima walifikiri yale maji yamewafungukia na wao, kilichowakuta wanakijua wenyewe,Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama. Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo!
Tunaondoka Tarime kama hivyo!
Mnavyosema rais wa tz mtasababisha watu wauawe, hii speed ni heri tungehifadhi kwa ajili ya kampeni rasmi zitakapoanzaView attachment 1535371
Sina la kusema. Kiongozi anayependwa halindwi na bunduki, analindwa na wanaompenda ambao ni wananchi. Hii ndiyo inaitwa nguvu ya umma! Kila la heri Rais mpya wa Tanzania.
Tulisema ifikapo 2020 lazima Chadema ife,si mnaona wanatuletea video za kale!Dah kuna baadhi tunaumia sana tukiona hii nyomi tunatamani tungekuwa sisi
Lowassa kama angepiga kampeni kama Lissu Chadema tungeshinda, Lowassa alikua akipanda jukwaani hamalizi dakika mbili anamaliza.Lissu anaongea mpaka unatamani Masaa yasimame ili asiondoke.Lowassa alidekiwa barabara huko na kura wakamyima.
Ule mchezo nilitaka nishangae raisi anatafuna muhindi ajui umetoka wapi kirahisi rahisi vile Amna sio kweliSisi nyomi yetu wanakuwa na silaha, Kama kule mvomelo yule masikini mchoma mahindi ana pisto kibindoni
Mbona kama unawafokea?Haya nikawaida.. hata Lowassa alipita kuwasaka hao..
Wamlinde tu.. tena vizuri zaidi.. maana ni wapo nae humohumo..
Hasa aliyekufa nimefurahi sana. corona imefanya kaziUnajua wana wa Israel walipotoka Misri bahari ilifunguka ili wapite nchi kavu. Adui wasio hekima walifikiri yale maji yamewafungukia na wao, kilichowakuta wanakijua wenyewe,
Vivyo hivyi na wale wanaofikiri Mungu kumponya Lissu kutoka risasi 16 zilizomwingia ni ili kuwapo fursa ta wao kutumia njia ntingine kitawakuta kilicholikuta jeshi la Farao ni itaandikwa historia kwa habari yao.
Mb:
Mkapa na Makonda wamekutwa nje ya mamlaka waliyokua nayo hapo awali wakati wa ujio wa Lissu nchini.
[emoji849][emoji849][emoji849]Dah kuna baadhi tunaumia sana tukiona hii nyomi tunatamani tungekuwa sisi
Sawa, ila jiwe tumemchoka.Tuwe na hifanyi ya maneno wakuu.
Duh....hivi jiwe hajaanza kutafuta wadhamini kweli!!