FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Hata Nyerere aling'atuka mpaka hilo neno likaingia kwenye Kiswahili kwa hiyo lisingekuwa kosa kuzungumza Kisukuma na Wasukuma wa Chato kule Chato lakini kuzungumza Kisukuma na Wasukuma wateule maeneo nje ya Usukuma ndo watu wanahoji. Ugogoni wamejaa.Mleta mada hapo Tundu Lissu yupo jukwaani??? Alafu umewai fika vijijini singida??? Unadhani wanajua kiswahili??? Basi umepotea sana!!!
Hapo Tundu Lissu watu wanamsalimia kwa kilugha chao unataka awajibu kiingereza??? Unataka awajibu kiswahili??
Kuongea kilugha si ukabila, wapo watanzania wengi sana wasiokijua kiswahili, hao hatuwezi kuwaita wabaguzi au wanaukabila. Unapofanya kampeni tumia lugha zote za mawasiliano uzijuazo kulingana na eneo na kama hauijui weka mkalimani, sheria haizuii.Jambo nyeti la mwisho alilofanya Tundu Lissu kabla ya kupigwa risasi, na ambalo wachunguzi wengi wa kisiasa wamesema lilichangia kupangwa mashambulizi ya kigaidi dhidi yake, ni kutoa hotuba ile ya "Mtoto wa Dada," ambamo alishutumu vikali na kulaani kwa nguvu ukabila na undugu uliokuwa unaota mizizi ghafla kuanzia utawala wa awamu ya tano...
Kwahiyo tumeshaaminishwa kwamba ni crime kwa mwanadamu kuongea lugha ya ancestors wake?Jambo nyeti la mwisho alilofanya Tundu Lissu kabla ya kupigwa risasi, na ambalo wachunguzi wengi wa kisiasa wamesema lilichangia kupangwa mashambulizi ya kigaidi dhidi yake, ni kutoa hotuba ile ya "Mtoto wa Dada," ambamo alishutumu vikali na kulaani kwa nguvu ukabila na undugu uliokuwa unaota mizizi ghafla kuanzia utawala wa awamu ya tano.
Alisema Rais huyu anafanya mambo yaliyokataliwa na waasisi wa nchi hii ya kujali kabila lake kwanza.
Na tumeshuhudia Rais huyu wa sasa akipanda majukwaani na kuweka mbele Kisukuma bila kuzingatia misingi ya kuendeleza Utaifa mmoja, unaoongea lugha ya Taifa moja, lugha ya Kiswahili.
Tundu Lissu, kati ya watu wote, na yeye eti ameangukia mtego huo wa kuongea cha kwao majukwaani. Anatuangusha.
Mwalimu Nyerere anaviringika kaburini.
Kuna watu wanachanganya mambo kati ya kuongea kwa kabila (kilugha) na ukabila.Kuongea kilugha si ukabila, wapo watanzania wengi sana wasiokijua kiswahili, hao hatuwezi kuwaita wabaguzi au wanaukabila. Unapofanya kampeni tumia lugha zote za mawasiliano uzijuazo kulingana na eneo na kama hauijui weka mkalimani, sheria haizuii.
Tundu Lissu, kati ya watu wote, ndio hatakiwi kupewa udhuru.Lakini kwa Tundu Lissu naweza kumpa benefit of doubt kidogo
..... Tena alikuwa akijishtujia Kama ulivyosema ikimaanisha anajua Ni wrong na kaifanya tu one time
Yani hata mimi ndio kanifunguaHapa ndio umeonesha vizuri nani aliehusika kumshambulia Tundu Lissu, hukumu yake ipo, na Mungu ndie hakimu wa kweli.
Out of contextJambo nyeti la mwisho alilofanya Tundu Lissu kabla ya kupigwa risasi, na ambalo wachunguzi wengi wa kisiasa wamesema lilichangia kupangwa mashambulizi ya kigaidi dhidi yake, ni kutoa hotuba ile ya "Mtoto wa Dada," ambamo alishutumu vikali na kulaani kwa nguvu ukabila na undugu uliokuwa unaota mizizi ghafla kuanzia utawala wa awamu ya tano.
Alisema Rais huyu anafanya mambo yaliyokataliwa na waasisi wa nchi hii ya kujali kabila lake kwanza.
Na tumeshuhudia Rais huyu wa sasa akipanda majukwaani na kuweka mbele Kisukuma bila kuzingatia misingi ya kuendeleza Utaifa mmoja, unaoongea lugha ya Taifa moja, lugha ya Kiswahili.
Tundu Lissu, kati ya watu wote, na yeye eti ameangukia mtego huo wa kuongea cha kwao majukwaani. Anatuangusha.
Mwalimu Nyerere anaviringika kaburini.
Jambo nyeti la mwisho alilofanya Tundu Lissu kabla ya kupigwa risasi, na ambalo wachunguzi wengi wa kisiasa wamesema lilichangia kupangwa mashambulizi ya kigaidi dhidi yake, ni kutoa hotuba ile ya "Mtoto wa Dada," ambamo alishutumu vikali na kulaani kwa nguvu ukabila na undugu uliokuwa unaota mizizi ghafla kuanzia utawala wa awamu ya tano.
Alisema Rais huyu anafanya mambo yaliyokataliwa na waasisi wa nchi hii ya kujali kabila lake kwanza.
Na tumeshuhudia Rais huyu wa sasa akipanda majukwaani na kuweka mbele Kisukuma bila kuzingatia misingi ya kuendeleza Utaifa mmoja, unaoongea lugha ya Taifa moja, lugha ya Kiswahili.
Tundu Lissu, kati ya watu wote, na yeye eti ameangukia mtego huo wa kuongea cha kwao majukwaani. Anatuangusha.
Mwalimu Nyerere anaviringika kaburini.
Hapa ndio umeonesha vizuri nani aliehusika kumshambulia Tundu Lissu, hukumu yake ipo, na Mungu ndie hakimu wa kweli.
Kama unataka ufanye jambo zuri lolote hapa Tanzania basi jua huwezi kuwa wewe wa kwanza lazima alianza Magufuli na yeye ndio atamalizia ukweli ni kwamba siku zinavyo zidi kwenda Tundulisu ataendelea kutoka kwenye Ramani mdogo mdogo
Mleta mada hapo Tundu Lissu yupo jukwaani? Alafu umewai fika vijijini singida? Unadhani wanajua kiswahili? Basi umepotea sana!!!
Hapo Tundu Lissu watu wanamsalimia kwa kilugha chao unataka awajibu kiingereza? Unataka awajibu kiswahili?
CCM mmekosa hoja kabisa. Magufuli hasemwi tu kuongea kisukuma bali kwa nepotism yake anayoionesha wazi tena mchana kweupe kwa kuwapendelea watu wake!!!
Kama Tundu Lissu angekuwa Singida Mjini alafu anaongea kinyaturu hapo ungekuwa na hoja ila kwa huko vijijini hapo huna hoja yeyote!!
Lissu kuongea kilugha kijijini tena kwao hilo sio tatizo lolote ndugu!!
Kiukweli CCM kwa sasa mmezidiwa
Kumbuka juzi tu hapa kasema Tanzania kuna corona watu wengi wanapoza maisha kimyakimya, chakushangaza alikuwa anakumbatiana na watu bila woga hawa watu hawa zakuambia changanya na za kwako.
Siku ya kifo cha ccm miti yote uteleza
Umemtaja aliyemshambulia Mh. Lissu kama hizo ndiyo miongoni mwa sababu za shambulio like la kigaidi basi msiwasingizie watu wasiojulikana.Bebeni lawama zenu wenyewe.
Ikungi kuna Wazee wa Kinyaturu, wengine hawafahamu kiswahili,je unamlinganishaje na Ukabila wa Jiwe? Hawana ulinganifu wowote. Acha Rais Mtarajiwa asalimie Wazazi wake apendavyo, tunamfahamu kuwa hana tabia za Ukabila.Ukienda Kijijini kwenu unaongea English/ Kiswahili?
Kumbe ndio nyie mliomfanyia unyama ule!? Basi sawa!
Kuongea kilugha si ukabila, wapo watanzania wengi sana wasiokijua kiswahili, hao hatuwezi kuwaita wabaguzi au wanaukabila.
Delete ccm Oct 28Jambo nyeti la mwisho alilofanya Tundu Lissu kabla ya kupigwa risasi, na ambalo wachunguzi wengi wa kisiasa wamesema lilichangia kupangwa mashambulizi ya kigaidi dhidi yake, ni kutoa hotuba ile ya "Mtoto wa Dada," ambamo alishutumu vikali na kulaani kwa nguvu ukabila na undugu uliokuwa unaota mizizi ghafla kuanzia utawala wa awamu ya tano.
Alisema Rais huyu anafanya mambo yaliyokataliwa na waasisi wa nchi hii ya kujali kabila lake kwanza.
Na tumeshuhudia Rais huyu wa sasa akipanda majukwaani na kuweka mbele Kisukuma bila kuzingatia misingi ya kuendeleza Utaifa mmoja, unaoongea lugha ya Taifa moja, lugha ya Kiswahili.
Tundu Lissu, kati ya watu wote, na yeye eti ameangukia mtego huo wa kuongea cha kwao majukwaani. Anatuangusha.
Mwalimu Nyerere anaviringika kaburini.
Ni kweli mkuu, mh. Ndiye rais wa kwanza TiZiii! Ndiye aliyeomba uhuru wetu toka kwa mkoloni, ndiye mzee wa ruksa, ndiye mzee wa ‘ukweli na uwazi’, na ndiye mzee wa Msoga! Ndiye kila kitu, kila kitu kilianzia kwake!!😂😂😂! Wewe ni #kangilugolamtotowayesu!Kama unataka ufanye jambo zuri lolote hapa Tanzania basi jua huwezi kuwa wewe wa kwanza lazima alianza Magufuli na yeye ndio atamalizia ukweli ni kwamba siku zinavyo zidi kwenda Tundulisu ataendelea kutoka kwenye Ramani mdogo mdogo
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.Jambo nyeti la mwisho alilofanya Tundu Lissu kabla ya kupigwa risasi, na ambalo wachunguzi wengi wa kisiasa wamesema lilichangia kupangwa mashambulizi ya kigaidi dhidi yake, ni kutoa hotuba ile ya "Mtoto wa Dada," ambamo alishutumu vikali na kulaani kwa nguvu ukabila na undugu uliokuwa unaota mizizi ghafla kuanzia utawala wa awamu ya tano.
Alisema Rais huyu anafanya mambo yaliyokataliwa na waasisi wa nchi hii ya kujali kabila lake kwanza.
Na tumeshuhudia Rais huyu wa sasa akipanda majukwaani na kuweka mbele Kisukuma bila kuzingatia misingi ya kuendeleza Utaifa mmoja, unaoongea lugha ya Taifa moja, lugha ya Kiswahili.
Tundu Lissu, kati ya watu wote, na yeye eti ameangukia mtego huo wa kuongea cha kwao majukwaani. Anatuangusha.
Mwalimu Nyerere anaviringika kaburini.
Jakaya Kikwete hakuongea Kikwere. KAMWE!
Wala Mkapa. Wala Mwinyi. Wala Nyerere.
JPM ndio katuletea vilugha majukwaani. Tundu Lissu kamuiga JPM.
Tabia hizi za Lissu na JPM zipingwe na zikemewe.
Nyerere kwenye hotuba: Mazi ga nyanza....Wakerewe.Jakaya Kikwete hakuongea Kikwere. KAMWE!
Wala Mkapa. Wala Mwinyi. Wala Nyerere.
JPM ndio katuletea vilugha majukwaani. Tundu Lissu kamuiga JPM.
Tabia hizi za Lissu na JPM zipingwe na zikemewe.