VIDEO: Usimuamini sana mwanamke na wala usimpime kwa upuuzi huu aliofanya huyu jamaa. Utajinyonga bure

VIDEO: Usimuamini sana mwanamke na wala usimpime kwa upuuzi huu aliofanya huyu jamaa. Utajinyonga bure

Sasa wangapi wanaweza hivi.?

Mwanamke ukimsifia sana tu anavutiwa kukusikiliza na hpa ndo tunapowamaliza kabisa...
Ukiona kaingia kwenye 18.

Unamualika kwanza Lunch au Dinner halafu huko unamsifia zaidi na vitendo vya kucare kwa 100%

Afu huko huwa hatutongozi kwanza tunaacha kwanza muingie mawazo ya kutuwaza muda wote mkolee kwwli kweli..
Alafu mwanaume akishapima akaona hapa huyu kashanielewa kwa kiasi fulani hapo ndo utatingozwa sasa..
Hakuna mwanaume anayetongoza bila kuona viashiria vimekamilka kwa hata 50% tu chukua hiyo..


Umesema ukweli kabisa...

Nakumbuka miaka hiyo nasikiliza radio clouds, kuna mtangazaji mmoja (Marehemu Kibonde)....

Kuna siku walikuwa na hii mada studio... hadi leo nasikia sauyi yake inajirudia masikioni mwangu....


Nanukuu.... "ewe dada, mwanaume yeyote akikwambia dada macho/miguu/sura/shepu/kucha n.k. yako mazuri, kama sio ndugu yako ukimuondoa binamu katika kundi la ndugu, basi nyuma ya hayo maneno anamaanisha au anakwambia... Nataka Kufanya Mapenzi na Wewe...."

Nikabaki na swali bila jibu, utatofautishaje huyu anayenijia amenipenda kweli kimahusiano ya muda mrefu na huyu ni walewale wa nataka kufanya mapenzi na wewe...!!???
 
Back
Top Bottom