VIDEO: Usimuamini sana mwanamke na wala usimpime kwa upuuzi huu aliofanya huyu jamaa. Utajinyonga bure

Parefu sana huwez kuuziwa utelezi bei ghali kiasi icho
Mzee unaishi wapi?
Hiyo pesa inafika!
Ila inategemea na Mfuko lakini maana kuna baadhi ya watu huwezi kumfata na 200k yako..

Picha linaanza Kapaki mkoko wa maaan CC 2990..
Sasa ukiambiwa uchangie tu mafuta lazima kichwa kikuwake
 
Kosa kubwa wanawake wanafanya ni kukubali kukaa kwenye majibizano na mwanaume anayekuja kwako bila wewe kujua ana nia ya kufanya mapenzi na wewe.

Yaani mwanamke anakuwa ndani ya nafsi yake hana mpango wala akili ya kuchepuka, ila anajipa ujasiri kuwa mwanaume yeyote akimuimbisha anachomoa..... hiyo ni hatari kubwa.

Ili mwanamke ubaki salama ......

Akija mwanaume anakusemesha uso kwa uso na kuanza kukusifia visivyo mwanzo wala mwisho na kukutongoza. Inuka ondoka eneo husika na usiendelee kusikiliza neno lolote lile atalotaka kuendelea kukwambia, ikishindikana kuondoka vaa headphones 🎧 ongeza sauti hakuna kumchekea wala kumuintateini.
Au unakuwa bubu tuu, hujibu kitu mwenyewe ataondoka.

Kama amekujia kwa njia ya simu, bloku.

Saa ingine kiburi kinafaida yake na hasara zake vilevile.
 
sisi walokole tunachomoka mbio kwelikweli,maana biblia inasema,,IKIMBIENI ZINAA,,
 
Kosa kubwa wanawake wanafanya ni kukubali kukaa kwenye majibizano na mwanaume anayekuja kwako bila wewe kujua ana nia ya kufanya mapenzi na wewe.

Yaani mwanamke anakuwa ndani ya nafsi yake hana mpango wala akili ya kuchepuka, ila anajipa ujasiri kuwa mwanaume yeyote akimuimbisha anachomoa..... hiyo ni hatari kubwa.

Ili mwanamke ubaki salama ......

Akija mwanaume anakusemesha uso kwa uso na kuanza kukusifia visivyo mwanzo wala mwisho na kukutongoza. Inuka ondoka eneo husika na usiendelee kusikiliza neno lolote lile atalotaka kuendelea kukwambia, ikishindikana kuondoka vaa headphones 🎧 ongeza sauti hakuna kumchekea wala kumuintateini.
Au unakuwa bubu tuu, hujibu kitu mwenyewe ataondoka.

Kama amekujia kwa njia ya simu, bloku.

Saa ingine kiburi kinafaida yake na hasara zake vilevile.
Sasa wangapi wanaweza hivi.?

Mwanamke ukimsifia sana tu anavutiwa kukusikiliza na hpa ndo tunapowamaliza kabisa...
Ukiona kaingia kwenye 18.

Unamualika kwanza Lunch au Dinner halafu huko unamsifia zaidi na vitendo vya kucare kwa 100%

Afu huko huwa hatutongozi kwanza tunaacha kwanza muingie mawazo ya kutuwaza muda wote mkolee kwwli kweli..
Alafu mwanaume akishapima akaona hapa huyu kashanielewa kwa kiasi fulani hapo ndo utatingozwa sasa..
Hakuna mwanaume anayetongoza bila kuona viashiria vimekamilka kwa hata 50% tu chukua hiyo..
 
Not real life
Mi nikishawahi kuhonga Pesa kwa mchepuko Pesa nyingi mpaka huwa najiuliza...ilikuwaje nikawa Mjinga kiasi hicho?
Mambo yanatokea Mkuu..Nilionga Pesa Nyingi sana Plus kumnunulia Kiwanja..
Huwa nikikaa mwenyewe najionaga Ujinga ulinizidi sana
 
Back
Top Bottom