Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kwa hiyo kuna Mtu ana nunua K kwa Laki Tano?papo kwa papo?Salamu kwenu, hili liwe fundisho kwa wote wanaume na wanawake kuwa Mwanamke hajaribiwi kwa hela 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kuna Mtu ana nunua K kwa Laki Tano?papo kwa papo?Salamu kwenu, hili liwe fundisho kwa wote wanaume na wanawake kuwa Mwanamke hajaribiwi kwa hela 🤣🤣
Hiyo k labda iwe ya dhahabu sio hizi za kawaidaKwa hiyo kuna Mtu ana nunua K kwa Laki Tano?papo kwa papo?
Imefika Milion na 50 mkuuKwa hiyo kuna Mtu ana nunua K kwa Laki Tano?papo kwa papo?
Parefu sana huwez kuuziwa utelezi bei ghali kiasi ichoImefika Milion na 50 mkuu
Mzee unaishi wapi?Parefu sana huwez kuuziwa utelezi bei ghali kiasi icho
Nishakutumia, nasubiri majaribu🤣🤣Yoyote ile hata ya simu tu, tigo pesa na nduguze muamala si unasoma.
50,000Hiii imeendaa bi ashura kashindwa kuchomoa kisaa miamala iliyoingia chap chap[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai..
Not real lifeMzee unaishi wapi?
Hiyo pesa inafika!
Ila inategemea na Mfuko lakini maana kuna baadhi ya watu huwezi kumfata na 200k yako..
Picha linaanza Kapaki mkoko wa maaan CC 2990..
Sasa ukiambiwa uchangie tu mafuta lazima kichwa kikuwake
Japo hii video ni chai ila nimeipendaSalamu kwenu, hili liwe fundisho kwa wote wanaume na wanawake kuwa Mwanamke hajaribiwi kwa hela 🤣🤣
NakaziaShemeji hatongozwi kwa massage
sisi walokole tunachomoka mbio kwelikweli,maana biblia inasema,,IKIMBIENI ZINAA,,Kosa kubwa wanawake wanafanya ni kukubali kukaa kwenye majibizano na mwanaume anayekuja kwako bila wewe kujua ana nia ya kufanya mapenzi na wewe.
Yaani mwanamke anakuwa ndani ya nafsi yake hana mpango wala akili ya kuchepuka, ila anajipa ujasiri kuwa mwanaume yeyote akimuimbisha anachomoa..... hiyo ni hatari kubwa.
Ili mwanamke ubaki salama ......
Akija mwanaume anakusemesha uso kwa uso na kuanza kukusifia visivyo mwanzo wala mwisho na kukutongoza. Inuka ondoka eneo husika na usiendelee kusikiliza neno lolote lile atalotaka kuendelea kukwambia, ikishindikana kuondoka vaa headphones 🎧 ongeza sauti hakuna kumchekea wala kumuintateini.
Au unakuwa bubu tuu, hujibu kitu mwenyewe ataondoka.
Kama amekujia kwa njia ya simu, bloku.
Saa ingine kiburi kinafaida yake na hasara zake vilevile.
sio massage we msukuma.Shemeji hatongozwi kwa massage
Wanawake wengi Ni wadhaifu Sana mbele ya hela
Sema kwenye finishing hapo hahaa alivuo kubali kubali kakubali kiwepesi sana ange zuga zuga kidogo kabla ya kusema atafute guest yenye mazingira mazuriJapo hii video ni chai ila nimeipenda
Sasa wangapi wanaweza hivi.?Kosa kubwa wanawake wanafanya ni kukubali kukaa kwenye majibizano na mwanaume anayekuja kwako bila wewe kujua ana nia ya kufanya mapenzi na wewe.
Yaani mwanamke anakuwa ndani ya nafsi yake hana mpango wala akili ya kuchepuka, ila anajipa ujasiri kuwa mwanaume yeyote akimuimbisha anachomoa..... hiyo ni hatari kubwa.
Ili mwanamke ubaki salama ......
Akija mwanaume anakusemesha uso kwa uso na kuanza kukusifia visivyo mwanzo wala mwisho na kukutongoza. Inuka ondoka eneo husika na usiendelee kusikiliza neno lolote lile atalotaka kuendelea kukwambia, ikishindikana kuondoka vaa headphones 🎧 ongeza sauti hakuna kumchekea wala kumuintateini.
Au unakuwa bubu tuu, hujibu kitu mwenyewe ataondoka.
Kama amekujia kwa njia ya simu, bloku.
Saa ingine kiburi kinafaida yake na hasara zake vilevile.
HahahaaaaaSema kwenye finishing hapo hahaa alivuo kubali kubali kakubali kiwepesi sana ange zuga zuga kidogo kabla ya kusema atafute guest yenye mazingira mazuri
Mi nikishawahi kuhonga Pesa kwa mchepuko Pesa nyingi mpaka huwa najiuliza...ilikuwaje nikawa Mjinga kiasi hicho?Not real life
Sawa mnyalukolosio massage we msukuma.
Ni message..