VIDEO: Usimuamini sana mwanamke na wala usimpime kwa upuuzi huu aliofanya huyu jamaa. Utajinyonga bure



Umesema ukweli kabisa...

Nakumbuka miaka hiyo nasikiliza radio clouds, kuna mtangazaji mmoja (Marehemu Kibonde)....

Kuna siku walikuwa na hii mada studio... hadi leo nasikia sauyi yake inajirudia masikioni mwangu....


Nanukuu.... "ewe dada, mwanaume yeyote akikwambia dada macho/miguu/sura/shepu/kucha n.k. yako mazuri, kama sio ndugu yako ukimuondoa binamu katika kundi la ndugu, basi nyuma ya hayo maneno anamaanisha au anakwambia... Nataka Kufanya Mapenzi na Wewe...."

Nikabaki na swali bila jibu, utatofautishaje huyu anayenijia amenipenda kweli kimahusiano ya muda mrefu na huyu ni walewale wa nataka kufanya mapenzi na wewe...!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…