Video: Vijana kuweni serious. Kuna huyu Thobias Kahimba alianza kwa kuchoma CD kwa Tsh 100 hadi amekuwa Bilionea. Mnakwama wapi?

huyu jamaa mjinga kweli.sijui akitaka milady aripoti ndio aamini?
 
Sisi ndo wabongo bana.
Ila Watanzania ni washamba halafu wabishi.

Unamwambia mtu habari ya mtu kutika kwa mtu mwenyewe, isiyo na vyanzo tofauti, ina low credibility.

Mtu haelewi, anabisha kishamba.

Mtu mshamba, sawa tutaeleweshana.

Lakini mshamba halafu mbishi.
 
kwahio alichokieleza hapo kuhusu utajiri wake hujamuamini?
 
Habari isiyo na source zaidi ya moja haina credibikity.

Nyie wabongo wengi ni washamba washamba tu hilo ndilo tatizo lenu na mkifundishwa ni wabishi.

Sita ku quote tena kwa sababu nimekupeleka ignore list. Sitaona chochote utakachoandika.

Sitaki kubishana na watu washamba wasiojua kuwa habari inatakiwa kuwa na multiple sources ili kuwa na credibility.

Mnaangusha viwango vya mazungumzo yangu JF.

Nyie washamba, wabishi, hamjii na hamjui kuwa hamjui.
 
Ila Watanzania ni washamba halafu wabishi.

Unamwambia mtu habari ya mtu kutika kwa mtu mwenyewe, isiyo na vyanzo tofauti, ina low credibility.

Mtu haelewi, anabisha kishamba.

Mtu mshamba, sawa tutaeleweshana.

Lakini mshamba halafu mbishi.
jamaa nibiliinea hata asipo hojiwa na chanzo chochote kama unavyo taka.

kubali kataa
 
Kwa hiyo vijana nao wachome cd?
 
Nyuma ya mafanikio kuna kanuni na taratibu nyingi sana za kibinadamu kazivunja. Wala hawezi aka inspire watu wenye utimamu na wanaoamini michakato ya maisha
 
Inashangaza sana

Mtu anaongelea historia ya maisha yake watu wanakataa wanataka "sources"

Hawaamini kuwa Mtanzania anaweza kuwa nobody na akawa somebody huko baadae 😂

Hii ndio Tanzania mkuu.
sijui anataka ahojiwe zaidi ili agundue nini😁😁😁

hawa ndiowale wanoko wazee wafitina
 
kwahio alichokieleza hapo kuhusu utajiri wake hujamuamini?
Sitaki kuamini, nataka habari yenye multiple sources ili iweze kuhakikika zaidi.

Habari ya mtu kutoka kwa mtu mmoja tu, tena yeye mwenyewe, unaweza kuambiwa lolote, haina a high degree of credibility.

Kwa nini somo hili rahisi linakuwa gumu sana kwa Watanzania wengi?
 
Safari hatua nae amepiga ya kwake,vijana wa leo hawataki struggle wameridhika na kidogo wapatacho wakiona vyakuwazidi wanakuja na ujuaji mwingi....hukawii kuskia ni freemason


Wengine wanasema anauza ngada yaani ilimradi tu wapate sehemu ya kujifariji.

Hivi kweli niuze ngada alafu nitafute media ije kunihoji? Kwa serikali hii? 😂😂

Watu wako in denial state mkuu.
 
Maisha ya siri nzito sana sanaa kuna mahala wakati fulani nilikuwa nafanya kazi kuna mzee ni age of 50's ilikuwa kwenye mabishano tu ya kawaida tu huku tukiwa tunafanya kazi.

Kuna mwenzetu aliuza je unaweza toa ndogo kwa mara moja kisha upewe milion 200 yule mzee akiwa serious kabisa akadai hizo milion 200 ni nyingi kwake yeye hata ziwekwe 50 au 100 anatoa lakini na yeye kwa hizo hizo anaweza kuja kuwadungua wengine ni hoja ambayo inaonyesha ilimgusa sana na kama kweli kungekuwa na fursa alikuwa analiwa mana aliishikiria sana karibu wiki nzima, so kuna wanajisacrifice maisha leo kesho ghafla mnashangaa kaibuka kawa tajiri anaanza kubwabwaja ovyo mtandaon anawatukana wanaume wenzie sio wapambanaji sometimes ni hasira tu za namna walivyopata hizo pesa.
 
Bahati ina play part kubwa sana kwenye mafanikio ya hustlers😄! Kama huna kismati unaweza ukasugua mpaka ukapaua na mvi kibao.
 

I don't care man.

We fanya unavyofanya. Ukitaka niblock kabisa 😂😂

Ukishindwa mjadala unakimbilia ignore list.
 
Mtu katika kuangaika unapitia shughuli mbalimbali lakini kuna shughuli fulani miongoni mwa zile ulizopitia ndiyo inakuwa msingi wa mafanikio yako,sasa kwa huyo jamaa angesema kilichompa mafanikio,siyo aseme kilichompa mafanikio ni kuchoma CD.
 
jamaa nibiliinea hata asipo hojiwa na chanzo chochote kama unavyo taka.

kubali kataa
Kwani wapi nimesema jamaa si bilionea?

Unaelewa h9ja yangu ni nini?

Ubilionea wa pesa za madafu ambazo dola moja ni shilingi 2500 nao unauhesabu ubilionea? Huo ni ubilionea wa Kariakoo tu ukiupeleka hata Kenya hapo unarudi chini.

Ukiugawanya kwa 2500 huo ubilionea utabaki ubilionea? Huyo jamaa ana one billion US dollars?

Au mnarukia tu maneno ya watu, mnachukua jina bilionea where a billionaire means something mnau copy paste kwenye shilingi za madafu huko?

Unaelewa hata hoja yangu ni nini?

Au unarukia tu mazungumzo?
 
Mzee kwahio alikuwa tayari kutoa washel🤣
 
Kama hio kazi inawafanya watu mabilionea mbona mimi sikuwahi kuwa billionea.

Niliifanya hio mishe 2009-2010 ila zaidi ya kupata mademu hamna nilichofaidika nacho. Hela ya kula tu.

Mkuu hakusema kuwa hiyo ndo kazi iliyomtajirisha.

Huyu alipata hela, akaenda ku-invest sehemu nyingine au whatever business aliyojishughulisha nayo.

Lakini alianzia huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…