Video: Vijana kuweni serious. Kuna huyu Thobias Kahimba alianza kwa kuchoma CD kwa Tsh 100 hadi amekuwa Bilionea. Mnakwama wapi?

Video: Vijana kuweni serious. Kuna huyu Thobias Kahimba alianza kwa kuchoma CD kwa Tsh 100 hadi amekuwa Bilionea. Mnakwama wapi?

Hakuna cha vyanzo vingi.

Ili awe bilionea ulitaka aandikwe Forbes na majarida kama Entrepreneur ndo uamini.

Uko in denial state.

Kuna watanzania ambao wameanza from the scratch and they made it. Hicho ndo kitu hamtaki kuamini.

Kuna habari nyingi humu una-comment na kuziamini hata kama zimetoka kwenye source moja na sijawahi kukuona unalamika ni za uongo, why this?

Kiingereza kingi ila point sifuri 😂😂

Buckle up
huyu jamaa mjinga kweli.sijui akitaka milady aripoti ndio aamini?
 
Sisi ndo wabongo bana.
Ila Watanzania ni washamba halafu wabishi.

Unamwambia mtu habari ya mtu kutika kwa mtu mwenyewe, isiyo na vyanzo tofauti, ina low credibility.

Mtu haelewi, anabisha kishamba.

Mtu mshamba, sawa tutaeleweshana.

Lakini mshamba halafu mbishi.
 
Hapana,hujaelewa hoja na pengine huna uwezo wa kuelewa hoja.

Wala sijamuongelea huyo jamaa tu.

Nakwambia tu a general rule, habari yoyote inatakuwa kuwa na chanzo zaidi ya kimoja ili kuwa credible.

Na wala sijauongelea huo ubilionea wa pesa ya madafu ambao ukiuweka kwenye viwango vya kimataifa kwenye Forbes hata hauitwi ubilionea.

Naongelea habari nzima ya alivyoanzia mpaka kufika hapo, haijahakikiwa na vyanzo tofauti.

Mtu kuwa yeye ndiye source ya habari yake, tena source pekee ya hiyo habari, kunaifanya habari kuwa na low credibility.

Inatakiwa kuwe na sources tofauti ambazo hazihusiani ili kuifanya habari kuwa ya kuaminika.

Wabongo mbona mnakuwa washamba wa mambo ya kawaida tu kama haya?
kwahio alichokieleza hapo kuhusu utajiri wake hujamuamini?
 
Unanipotezea muda.

Usini-quote tena kama haujaja na ushahidi wa mambo haya mawili

1. Niletee ushahidi kwamba jamaa hajawahi kuwa mchoma CD

2. Niletee ushahidi kama jamaa sio bilionea.

Hayo matusi mengine uliyoweka hapo nitaya-ignore same way nitaku-ignore kama hutaleta ushahidi wowote.

Ni aibu kubwa sana, stori za kina Zuckerberg mnaziamini ila watanzania wenzenu hamtaki kuzisikia mpaka forbes na media zaidi ya 10 ziripoti.

It's lame and pathetic.
Habari isiyo na source zaidi ya moja haina credibikity.

Nyie wabongo wengi ni washamba washamba tu hilo ndilo tatizo lenu na mkifundishwa ni wabishi.

Sita ku quote tena kwa sababu nimekupeleka ignore list. Sitaona chochote utakachoandika.

Sitaki kubishana na watu washamba wasiojua kuwa habari inatakiwa kuwa na multiple sources ili kuwa na credibility.

Mnaangusha viwango vya mazungumzo yangu JF.

Nyie washamba, wabishi, hamjii na hamjui kuwa hamjui.
 
Ila Watanzania ni washamba halafu wabishi.

Unamwambia mtu habari ya mtu kutika kwa mtu mwenyewe, isiyo na vyanzo tofauti, ina low credibility.

Mtu haelewi, anabisha kishamba.

Mtu mshamba, sawa tutaeleweshana.

Lakini mshamba halafu mbishi.
jamaa nibiliinea hata asipo hojiwa na chanzo chochote kama unavyo taka.

kubali kataa
 
Wakuu,

Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.

Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.

Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.

Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71

Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious

Kwa hiyo vijana nao wachome cd?
 
Nyuma ya mafanikio kuna kanuni na taratibu nyingi sana za kibinadamu kazivunja. Wala hawezi aka inspire watu wenye utimamu na wanaoamini michakato ya maisha
 
Inashangaza sana

Mtu anaongelea historia ya maisha yake watu wanakataa wanataka "sources"

Hawaamini kuwa Mtanzania anaweza kuwa nobody na akawa somebody huko baadae 😂

Hii ndio Tanzania mkuu.
sijui anataka ahojiwe zaidi ili agundue nini😁😁😁

hawa ndiowale wanoko wazee wafitina
 
kwahio alichokieleza hapo kuhusu utajiri wake hujamuamini?
Sitaki kuamini, nataka habari yenye multiple sources ili iweze kuhakikika zaidi.

Habari ya mtu kutoka kwa mtu mmoja tu, tena yeye mwenyewe, unaweza kuambiwa lolote, haina a high degree of credibility.

Kwa nini somo hili rahisi linakuwa gumu sana kwa Watanzania wengi?
 
Safari hatua nae amepiga ya kwake,vijana wa leo hawataki struggle wameridhika na kidogo wapatacho wakiona vyakuwazidi wanakuja na ujuaji mwingi....hukawii kuskia ni freemason

Wengine wanasema anauza ngada yaani ilimradi tu wapate sehemu ya kujifariji.

Hivi kweli niuze ngada alafu nitafute media ije kunihoji? Kwa serikali hii? 😂😂

Watu wako in denial state mkuu.
 
Maisha ya siri nzito sana sanaa kuna mahala wakati fulani nilikuwa nafanya kazi kuna mzee ni age of 50's ilikuwa kwenye mabishano tu ya kawaida tu huku tukiwa tunafanya kazi.

Kuna mwenzetu aliuza je unaweza toa ndogo kwa mara moja kisha upewe milion 200 yule mzee akiwa serious kabisa akadai hizo milion 200 ni nyingi kwake yeye hata ziwekwe 50 au 100 anatoa lakini na yeye kwa hizo hizo anaweza kuja kuwadungua wengine ni hoja ambayo inaonyesha ilimgusa sana na kama kweli kungekuwa na fursa alikuwa analiwa mana aliishikiria sana karibu wiki nzima, so kuna wanajisacrifice maisha leo kesho ghafla mnashangaa kaibuka kawa tajiri anaanza kubwabwaja ovyo mtandaon anawatukana wanaume wenzie sio wapambanaji sometimes ni hasira tu za namna walivyopata hizo pesa.
 
Jamaa kwa sasa pesa kweli anazo ila. Sio kwa stories anazoleta, nawafahamu washkaji kibao mbinga ambao hustle zao kwenye kutafita ni heavy duty kuliko yeye na bado hawajashika mkwanja kama alioshika.
Kwenye kutafuta pesa kuna swala la bahati pia, do not underestimate the mini!!
Bahati ina play part kubwa sana kwenye mafanikio ya hustlers😄! Kama huna kismati unaweza ukasugua mpaka ukapaua na mvi kibao.
 
Habari isiyo na source zaidi ya moja haina credibikity.

Nyie wabongo wengi ni washamba washamba tu hilo ndilo tatizo lenu na mkifundishwa ni wabishi.

Sita ku quote tena kwa sababu nimekupeleka ignore list. Sitaona chochote utakachoandika.

Sitaki kubishana na watu washamba wasiojua kuwa habari inatakiwa kuwa na multiple sources ili kuwa na credibility.

Mnaangusha viwango vya mazungumzo yangu JF.

Nyie washamba, wabishi, hamjii na hamjui kuwa hamjui.

I don't care man.

We fanya unavyofanya. Ukitaka niblock kabisa 😂😂

Ukishindwa mjadala unakimbilia ignore list.
 
Ameleta arguments mbili.

Kwamba alianza kwa kuuza CD na sasa ana Bilioni 2 na ameajiri watu 71.

Hajasema kwenye hiyo video kwamba kuna vitu hafichi au hajafanya vitu vingine kutajrika.

Wewe unachobisha hapo ni nini? Yeye kuuza CD au kuwa Bilionea?

Ushahidi wako uko wapi?
Mtu katika kuangaika unapitia shughuli mbalimbali lakini kuna shughuli fulani miongoni mwa zile ulizopitia ndiyo inakuwa msingi wa mafanikio yako,sasa kwa huyo jamaa angesema kilichompa mafanikio,siyo aseme kilichompa mafanikio ni kuchoma CD.
 
jamaa nibiliinea hata asipo hojiwa na chanzo chochote kama unavyo taka.

kubali kataa
Kwani wapi nimesema jamaa si bilionea?

Unaelewa h9ja yangu ni nini?

Ubilionea wa pesa za madafu ambazo dola moja ni shilingi 2500 nao unauhesabu ubilionea? Huo ni ubilionea wa Kariakoo tu ukiupeleka hata Kenya hapo unarudi chini.

Ukiugawanya kwa 2500 huo ubilionea utabaki ubilionea? Huyo jamaa ana one billion US dollars?

Au mnarukia tu maneno ya watu, mnachukua jina bilionea where a billionaire means something mnau copy paste kwenye shilingi za madafu huko?

Unaelewa hata hoja yangu ni nini?

Au unarukia tu mazungumzo?
 
Maisha ya siri nzito sana sanaa kuna mahala wakati fulani nilikuwa nafanya kazi kuna mzee ni age of 50's ilikuwa kwenye mabishano tu ya kawaida tu huku tukiwa tunafanya kazi.

Kuna mwenzetu aliuza je unaweza toa ndogo kwa mara moja kisha upewe milion 200 yule mzee akiwa serious kabisa akadai hizo milion 200 ni nyingi kwake yeye hata ziwekwe 50 au 100 anatoa lakini na yeye kwa hizo hizo anaweza kuja kuwadungua wengine ni hoja ambayo inaonyesha ilimgusa sana na kama kweli kungekuwa na fursa alikuwa analiwa mana aliishikiria sana karibu wiki nzima, so kuna wanajisacrifice maisha leo kesho ghafla mnashangaa kaibuka kawa tajiri anaanza kubwabwaja ovyo mtandaon anawatukana wanaume wenzie sio wapambanaji sometimes ni hasira tu za namna walivyopata hizo pesa.
Mzee kwahio alikuwa tayari kutoa washel🤣
 
Kama hio kazi inawafanya watu mabilionea mbona mimi sikuwahi kuwa billionea.

Niliifanya hio mishe 2009-2010 ila zaidi ya kupata mademu hamna nilichofaidika nacho. Hela ya kula tu.

Mkuu hakusema kuwa hiyo ndo kazi iliyomtajirisha.

Huyu alipata hela, akaenda ku-invest sehemu nyingine au whatever business aliyojishughulisha nayo.

Lakini alianzia huko.
 
Back
Top Bottom