aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 341
- 714
huyu jamaa mjinga kweli.sijui akitaka milady aripoti ndio aamini?Hakuna cha vyanzo vingi.
Ili awe bilionea ulitaka aandikwe Forbes na majarida kama Entrepreneur ndo uamini.
Uko in denial state.
Kuna watanzania ambao wameanza from the scratch and they made it. Hicho ndo kitu hamtaki kuamini.
Kuna habari nyingi humu una-comment na kuziamini hata kama zimetoka kwenye source moja na sijawahi kukuona unalamika ni za uongo, why this?
Kiingereza kingi ila point sifuri 😂😂
Buckle up