VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

kwahiyo wewe ndie ulikua na maadili ulipokua unataka kumpasua mpiga kura kwa ukuni, hali ya kua wewe ulisusia uchaguzi kwa hiyari yako, right?๐Ÿ’
Tujadili kwanza kuhusu hawa watoto uchwara wasio na maadili.
 
Cha ajabu wanaopiga makelele mitandaoni kutaka kuandamana ni wala chips yai, vitambi wote lonyolonyo halafu ndio wanajifanya eti watakinukisha,
Bora kitambi kuliko makebo.

Ukiwa na makebo huwezi kurusu hata ngumi.
 
Wamekuwa machawa.

Yani nchi imefikia pabaya sana.
 
Hiyo ni Mizuka tu baada ya mafunzo Wangekabidhiwa Kombati Ingekuwaje ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hormones tu hizo, ngoja miaka 3 mbele vitaelewa kwa nini kaka zao na wazazi wao walikufa wakivipambania
 
Katika dunia ya uhalisia kila kitu kina mwisho. Haitakua ajabu kukuta hao vijana ni waanxamanaji wazuri wa baadae.
 
Wacha nikwambie nilichoona kwa hao vijana.Kwanza kabisa hawa watakuwa ni wa kwanza kuandamana.Kwa kauli walizotoa tu na nana wanavyoongea basi ujue kabisa kwamba Kwenye maandamano watakuwa mbele.
 
JKT wengi ni Zao la UVCCM
Unamaana kwamba F6 wanaoenda JKT kwa Mujibu wa Sheria nao ni zao la UVCCM? Kama ndo hivyo; logically vijana wanaoingia F one watakuwa lazima wawe ni zao la UVCCM. What a Fallacy!!!
sasa hivi kijana ili uende jeshi lazima uwe connected na mtu kutoka CCM.
Sio kweli. Kimsingi; Jeshi halitakiwi kufungamana na siasa.
Sasa wewe na mwanao wenye nyimbo zenu za NO REFORM NO ELECTION hata mgambo mtaisikia kwenye kuvunjiwa vibanda vya mama lishe
Sema kweli bwashee!
 
Wacha nikwambie nilichoona kwa hao vijana.Kwanza kabisa hawa watakuwa ni wa kwanza kuandamana.Kwa kauli walizotoa tu na nana wanavyoongea basi ujue kabisa kwamba Kwenye maandamano watakuwa mbele.
Yeah. Inawezekana ikawa hivyo kwani hapo Vijana wanazuga ili maafande wasiwashtukie. Wanajirekodi nyuma ya mahanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ