Video: Vijana wakamatwa kwa uchawi

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kuna msemo niliwahi kuusikia unasema "Siku hizi wachawi sio wazee".

Nadhani huo msemo unaendana na hili tukio la vijana hawa kushikiliwa na jeshi la Polisi kwa Uchawi.

ANGALIA VIDEO HAPA

Your browser is not able to display this video.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
 
Kuna mtu anatafutwa hapa apigwe hapa. Haya ni maigizo ya kijinga sana, nashangaa hata polisi wanapata wapi muda wa kuongea na watu kama hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…