Video vixen Kidoa yuko tayari kupiga picha za utupu kwa dau Milioni 100

Anafikiria milion 100 ni bonge ya pesa [emoji23][emoji23]
Kwake lazima aone bonge ya pesa maana kama ameuza sura kwenye video ya msanii maarufu halaf akaishia kulipwa buku 5 😅
 
Ruksa lakini vipi ukiwa na watoto wa kiume?
 
Huyo nilimtongoza.
Nilikosa mpunga tu lakin huhitaji kuwa na pesa nyingi[emoji16][emoji16]
She z very polite but longing for what z in your wallet.
 
Bado hajapiga tu? Mwambieni afanye haraka kabla hajawa ajuza
 
Watu kweli tumesahau kuwa kuna Muumba. Yaani mtu machafu yote anayofanya gizani anaona hayatoshi sasa anataka afanye machafu ya hadharani! Innalillahi wainna ilayhi rajiuun. Msiba huu [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Lazima akupe hati miliki. Ikiwa Prof J alimpa buku 5 na hajaisahau hadi leo, Je, ameongeza nini hapo kikaipandisha bei?? Nadhani amesema buku mkakosea. Hajui kuwa kila siku ikipita anashuka bei?? Linganisha na tangu Prof. J amuone kuwa thamani yake ni buku 5 na leo.
 
Mtu atoe m100 kwa ajili ya vitu vya kipumbavu,uchi wake una nini cha kutolewa hela zote hizo
 
Mpaka hapo yupo uchi tu. Halafu wa kawaida sana atadubiri hata lki hapati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…