Walitaka wenyewe wauze suraProf Jay ameniangushana sana kwakweli,amemlipa buku5 bila kum'ban..dua khaaa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walitaka wenyewe wauze suraProf Jay ameniangushana sana kwakweli,amemlipa buku5 bila kum'ban..dua khaaa!!!
Kwake lazima aone bonge ya pesa maana kama ameuza sura kwenye video ya msanii maarufu halaf akaishia kulipwa buku 5 😅Anafikiria milion 100 ni bonge ya pesa [emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kutoka buku tano mpaka milioni mia moja! Duh, huo ni mfumuko wa bei
sawa mkuuNdo mwenyewe
Ruksa lakini vipi ukiwa na watoto wa kiume?Video vixen ambaye pia ni Muigizaji katika kiwanda cha Filamu Bongo, Kidoa Salum, amedai kamwe hawezi kuisahau video ya Rapa na Mbunge Profesa Jay TatuChafu kwani pamoja na kuuza nyago vya kutosha alilipwa shilingi 5000 (Elfu Tano) pekee na Mbunge huyo wa Mikumi.
Kidoa ameiambia Bongo.Home ya Times Fm kuwa, si Yeye pekee bali warembo wote walioonekana kwenye kichupa hicho walilamba 'Buku tano tano'.
Katika Hatua nyingine Mlimbwende huyo mwenye tuzo ya Urembo ya Gazeti la Ijumaa, amedai akitokea mtu yeyote ambaye ataamua kuweka Dau la shilingi Milioni 100 mezani, Yupo tayari kupiga 'Picha za Utupu' na kuziweka mbele ya 'Kadamnasi'.
View attachment 610404
Sababu ya TAMTHILIA YA HUBA inayoonyeshwa DSTVAjabu huyo msichana ni maarufu sana kwenye mitandao ya nje. Kenya,Nigeria n.k wakati humu ndani hajulikani sana na anaonekana wa kawaida.
Nitupie namba ningoe mzigoHuyo nilimtongoza.
Nilikosa mpunga tu lakin huhitaji kuwa na pesa nyingi[emoji16][emoji16]
She z very polite but longing for what z in your wallet.
shape yake matata sio mchezo ndicho anachoringia hichoHivi huyu ana Chura?
shape yake matata sio mchezo ndicho anachoringia hicho
Ilikuwa zamani siku hizi kachoka choka tu.shape yake matata sio mchezo ndicho anachoringia hicho
Mpaka hapo yupo uchi tu. Halafu wa kawaida sana atadubiri hata lki hapati.Video vixen ambaye pia ni Muigizaji katika kiwanda cha Filamu Bongo, Kidoa Salum, amedai kamwe hawezi kuisahau video ya Rapa na Mbunge Profesa Jay TatuChafu kwani pamoja na kuuza nyago vya kutosha alilipwa shilingi 5000 (Elfu Tano) pekee na Mbunge huyo wa Mikumi.
Kidoa ameiambia Bongo.Home ya Times Fm kuwa, si Yeye pekee bali warembo wote walioonekana kwenye kichupa hicho walilamba 'Buku tano tano'.
Katika Hatua nyingine Mlimbwende huyo mwenye tuzo ya Urembo ya Gazeti la Ijumaa, amedai akitokea mtu yeyote ambaye ataamua kuweka Dau la shilingi Milioni 100 mezani, Yupo tayari kupiga 'Picha za Utupu' na kuziweka mbele ya 'Kadamnasi'.
View attachment 610404
Mil. 100 huwezi kuipata kwa kukatiza denge. Inahitaji utulivu na matumizi mazuri ya akili!