Video vixen Kidoa yuko tayari kupiga picha za utupu kwa dau Milioni 100

Video vixen Kidoa yuko tayari kupiga picha za utupu kwa dau Milioni 100

Hahahaha! Kutana na mtumishi anayelilia kupandishiwa mshahara kutoka buku5 hadi M100[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umechezea buku 5 alafu ghafla unataka 100M duh angalau angesogea kwanza kwenye buku 10 ivi kwa hizo picha za utupu kaenda mbali sanaaaaaaa.
 
Kama K yake isingekuwa inatoa Damu ningekuwa wa kwanza kumpa hiyo Milioni 100 ila kama huwa inatoa damu basi ni mchafu kama wenzake.
 
Milioni 100 kuangalia papuchi, tigo na nyonyo?
Astaghafirullah!

Video vixen ambaye pia ni Muigizaji katika kiwanda cha Filamu Bongo, Kidoa Salum, amedai kamwe hawezi kuisahau video ya Rapa na Mbunge Profesa Jay TatuChafu kwani pamoja na kuuza nyago vya kutosha alilipwa shilingi 5000 (Elfu Tano) pekee na Mbunge huyo wa Mikumi.

Kidoa ameiambia Bongo.Home ya Times Fm kuwa, si Yeye pekee bali warembo wote walioonekana kwenye kichupa hicho walilamba 'Buku tano tano'.

Katika Hatua nyingine Mlimbwende huyo mwenye tuzo ya Urembo ya Gazeti la Ijumaa, amedai akitokea mtu yeyote ambaye ataamua kuweka Dau la shilingi Milioni 100 mezani, Yupo tayari kupiga 'Picha za Utupu' na kuziweka mbele ya 'Kadamnasi'.
View attachment 610404
 
Huyo anavoonekana yuko na njaa. Ukimpa laki anapiga hizo mapicha. Msimsingizie mil 100
 
akacheze na ponography atapata zaidi ya hizo
 
Hao ndio warembo wanailialia eti wabongo hatuthamini vya kwetu??? Acha Zari aendelee kula bata tu na kuingiza mpunga mnono
 
Akili kumkichwa, picha apigeyeye na starehe yake tuumie wengine
 
Mkuu million 100 ni kubwa tuache masikhara
Yaani 100,000,000/=
Hiyo ina laki moja kama 1000 hivi
Hiyo ina elfi kumi kama 1,000,000 hivi halafu unasema ndogo kweli?
mwache ajifurahishe tu wakati hajawahi ishika hata ukijumlisha hela zote alizoshika toka kazaliwa hazifikii 100mil
 
Ukishakuwa na akili ya kuuza heshima yako basi wewe ni mtu wakudharauliwa sana na hiyo million 100 kaitaja tu mbele ya camera lakini huyo anauza hata kwa elfu 10, apo alikuwa anatuambia yeye anajiuza lakini ukitaka na wengine waone ndio hyo mil.100
Hata bure inawezekana anatoa akikutana na mla bata tajiri wa maneno.
 
Back
Top Bottom