Video vixen Kidoa yuko tayari kupiga picha za utupu kwa dau Milioni 100

buku tano alilipwa kwa kazi gani?
Naona buku 1 ingemtosha
 
Huu ujinga mwingine msiwe mnaleta hapa. Niache kuangalia uchi wa maporn star wa uhakika nije niangilie huu mwili umepigwa vumbi
 
Video vixen ambaye pia ni Muigizaji katika kiwanda cha Filamu Bongo, Kidoa Salum, amedai kamwe hawezi kuisahau video ya Rapa na Mbunge Profesa Jay [HASHTAG]#TatuChafu[/HASHTAG], kwani pamoja na kuuza nyago vya kutosha alilipwa shilingi 5000 (Elfu Tano) pekee na Mbunge huyo wa Mikumi.

Kidoa ameiambia Bongo.Home ya Times Fm kuwa, si Yeye pekee bali warembo wote walioonekana kwenye kichupa hicho walilamba 'Buku tano tano'.
Chanzo Times FM
aa.jpg

Chanzo Times FMView attachment 611013 View attachment 611013
Mambo kama haya peleka huko "makavu live". Huku ni great thinkers - tunajadili na kuchambua ukuaji wa uchumi, demokrasia, utawala bora, wawekezaji kukosa imani na serikali ya sizonje, lakini siyo mambo ya udaku wa watu wanaoshinda wakiongelea mambo ya kitandani. Halafu hata hilo li heading lako, hapo neno "masirahi" ndio nini?
 
wewe umeshafikili nn kikubwa mkuu?
 
Inamtosha hiyo,na kama isingemtosha basi asingekubali kuwa video xiven ya hiyo nyimbo

Kwani hakukuwa na makubaliano kabla ya kazi!!! Au alijua kwakua prof Jay ni mbunge basi angemwaga mapesa kama Dj Khaleed
 
Hiyo picha alivyo hafai hata kupigia punyere
 
kama alipewa buku tano akiongezewa elfu 95 anakubal afu anadai ameeditiwa

mambo mengi muda mchache
 
Back
Top Bottom