Hata bado tumelemaa sana. Kwa sasa haitakiwi hata kidogo kucheka na NYANI.Niliwahi kutuma post humu kuwa Black Mamba ana sumu kali sana lakini hapendi kuitumia isipokuwa uhai wake unapokuwa mashakani, tuwe makini jamani black mamba ( wananchi) ameanza kuitumia sumu yake kulinda uhai wake.
GoodWakuu,
Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga.
Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela.
Wananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata?
Tukio hili linakuja siku chache tangu afisa mmoja wa TRA kupigwa mpaka kufa wakati anajaribu kumkamata raia wa kawaida bila kufuata utaratibu.
Ndio kusema kwamba watanzania wameanza kuamka?
View attachment 3173103
View attachment 3173105
Ujasiri umeanza kurudi kwa kasiWananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata
Mkuu sheria za hili taifa ni kwa ajili yetu watu wachini waliopo juu haiwahusu. Shangaa yule aliye lawiti binti kachiwa hana hatiaKWa utaratibu ninaoujua mimi, mwanajeshi akina mtaani kwetu hata kama ni likizo ni lazima aende kwenye uongozi wa serikali za mtaa akaripoti na nafhani kuna fomu wanaijaza kisha wanatuma kazini kwao.
Polisi anakuja aeneo ambalo kuna uongozi tayari ambao ni Mjumbe wa nyumba kumi, Serikali ya mtaa, Serikali ya kitongoji, Diwani na wajumbe wengine wote, anawaruka bila kutoa taarifa ya uwepo wake kwa hawa wenye mamlaka kwa ngazi hizi za chini na kwenda moja kwa moja kumkamata mtu anayesadikiwa ni mtuhumiwa kweli?
Kwanini hawa watu waliopo serikalini hawapendi kufata sheria kama wanavyotaka sisi tufanye?
Ina maana hizi serikali za mitaa na vijiji viongozi wake ndio hawaheshimiki kiasi hiki?
Mwisho wa siku alikamatwa au hapana?Wananchi wamechoka polisiccm hawaaminiki tena
Wakikujibu nitagMwisho wa siku alikamatwa au hapana?
Nafutialia kwa ukaribu hapaWakuu,
Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga.
Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela.
Wananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata?
Tukio hili linakuja siku chache tangu afisa mmoja wa TRA kupigwa mpaka kufa wakati anajaribu kumkamata raia wa kawaida bila kufuata utaratibu.
Ndio kusema kwamba watanzania wameanza kuamka?
View attachment 3173103
View attachment 3173105
"Power to the people kama vile steven biko sio propaganda za wanasiasa sabb ya mshiko"- LangaPower belongs to the pipo
Thershold imefikiwa, people are changing , hawana wa kumlaumu bali wenyeweWananchi wanarudisha mamlaka mikononi mwao yaliyoporwa na utawala dhalimu wa serikali ya chama dola kongwe ya kibaguzi inayotumia mamlaka zake vibaya kupitia matumizi haramu ya vyombo vya usalama.
Wacha tusibiriWakikujibu nitag
Moe kuna task force za gov, wanapoenda kwenye hizo kazi teeth na vyombo vingine wanajua. Huu ukimya means kuna baraka zaoSielewi CCM na Serikali strategy yao ni nini? Walitegemea baada ya watu kutekwa hivyo ingekuaje? Huyu jamaa angelazimisha naye angepigwa mawe hadi afe alafu ungesikia mapovu ya RC na IGP!!
Ni vizuri hatua zichukuliwe, kwani hao TISS kazi yao ni nini? Wanashindwaje kukamata hao watekaji wa Soka, Nondo, Sativa na mamia ya watoto wanaotekwa hovyo nchini!! Mbona hizi kelele zingeisha?
Hii nchi inatia sana hasira
Nchi imekuwa ngumu kama maweWakuu,