Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napata faraja kuona watu wameanza kufunguka akili.Wakuu,
Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga.
Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela.
Wananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata?
Tukio hili linakuja siku chache tangu afisa mmoja wa TRA kupigwa mpaka kufa wakati anajaribu kumkamata raia wa kawaida bila kufuata utaratibu.
Ndio kusema kwamba watanzania wameanza kuamka?
View attachment 3173103
View attachment 3173105
Elimu ya Tundu Lissu na Mwabukusi imeanza kuelewekaHongera kinondoni.
Unachochea uharifu?Ina maana Kino somo la wana Tegeta hamkulielewa au kwavile ni mchana?
Sielewi CCM na Serikali strategy yao ni nini? Walitegemea baada ya watu kutekwa hivyo ingekuaje? Huyu jamaa angelazimisha naye angepigwa mawe hadi afe alafu ungesikia mapovu ya RC na IGP!!Wakuu,
Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga.
Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela.
Wananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata?
Tukio hili linakuja siku chache tangu afisa mmoja wa TRA kupigwa mpaka kufa wakati anajaribu kumkamata raia wa kawaida bila kufuata utaratibu.
Ndio kusema kwamba watanzania wameanza kuamka?
View attachment 3173103
View attachment 3173105
Oya tusepeNchi haina mwenyewe saizi
Wamenikera hapo tu hawajamtembezea kichapo ila nadhani huo ni mwanzo tu huko tunakoelekea atakuja kufa polisi mikononi mwa raia.Sasa Kwanini hawajampiga huyo mtekaji?wananchi wanakataa na yeye anajigamba au Kwa kuwa aliona ni wanawake?ningekuwepo angekula fimbo na makofi.
Jamaa alikua mpole ila angeleta vurugu angepigwa achakaeIna maana Kino somo la wana Tegeta hamkulielewa au kwavile ni mchana?
Watu wamepotea kwa dizaini hii hii kwa kuamini kwamba ni Mapolisi.Jamaa alikua mpole ila angeleta vurugu angepigwa achakae
Ni sahihi. Wangetakiwa wamuue na huyo lofa pia. Hakuna ukamataji wa namna hiyo.Sasa Kwanini hawajampiga huyo mtekaji?wananchi wanakataa na yeye anajigamba au Kwa kuwa aliona ni wanawake?ningekuwepo angekula fimbo na makofi.
Makofi ya kutosha yaani ili akavae Sare na Kama Hana kitambukisho walipaswa kumbana vilivyoSasa Kwanini hawajampiga huyo mtekaji?wananchi wanakataa na yeye anajigamba au Kwa kuwa aliona ni wanawake?ningekuwepo angekula fimbo na makofi.
Uharifu upi?Unachochea uharifu?
Kabisaa yani wao kila siku nikuteka mchana kweupe na kuua bila aibu.Elimu ya Tundu Lissu na Mwabukusi imeanza kueleweka
Upole ama vurugu siyo tija, ila sheria, kanuni na taratibu zifuatwe.Jamaa alikua mpole ila angeleta vurugu angepigwa achakae
SahihiUpole ama vurugu siyo tija, ila sheria, kanuni na taratibu zifuatwe.
Ukute kalipwa chake mfukoni na huyo mwenye malalamiko meenye kesi na RB yakeHawajajifunza wangeenda wawili in uniform na gari la polisi kingepungua nini. Kwanza ni risk askari mmoja kukamata mtu.