Uchaguzi 2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

Za Tanzania ni ubaguzi wa kidini pia na umetoka wapi
Tanzania atuna siasa za ubaguzi wa kidini,kabila wala rangi.
Haya mambo yapo siasa za Kenya huko ambao hawajastaarabika.
 
Wewe una matatizo ya ufahamu na huna muda wa kujifunza. Hiyo ndo conclusion yangu kutokana na postings zako.
Pole kwa mawe mkuu , nitaungana na wale wote wanaopigania haki za Watanzania
 
Huyo anayeitwa mchambuzi anadai wao, Kenya walishatoka huko kitambo wakati uchaguzi ulikuwa 2018 na haukuwa salama. Watu ndani ya tume hadi wakauwawa. Kwa musio na ufahamu, baadhi ya mambo yaacheni. Siyo lazima kujadili.
Wewe ndiyo samaki, unashangaa Kenya kuuana wakati wa kampeni wakati nchini kwako watu wanauliwa hata wakati usio wa kampeni!!
 
Tanzania atuna siasa za ubaguzi wa kidini,kabila wala rangi.

Wale masheikh wa uamsho walioko magerezani na mamia ya waislamu walioko gerezani , zaidi yamwaka wa sita kawaweka nani , Uhuru Kenyata ??
 
Wale masheikh walioko walioko magerezani na mamia ya waislamu walioko gerezani , zaidi yamwaka wa sita kawaweka nani , Uhuru Kenyata ??
Hata Kenya wapo mamia ya waisilamu gerezani,Sheikh Rogo wa Kenya alipigwa risasi mchana kweupee.
Na sio Kenya tu nchi nyingi zipo hivi,siungi mkono dhuluma juu ya waisilamu ama dini yeyote ile.
 
Angalau wao mahakama zaweza kuhoji , ukiachilia mbali ubanafsi wa mwafrika uliowakumba kina Uhuru. Je hii ya kwetu utaiita Je ?!. Tume ya hovyo hii ikishamtangaza mtu hata kwa hila utahoji wapi ?!
 
Hata Kenya wapo mamia ya waisilamu gerezani,Sheikh Rogo wa Kenya alipigwa risasi mchana kweupee.
Na sio Kenya tu nchi nyingi.

Zanzibar maelfu ya waislamu waliuliwa na kubakwa na kukimbia nchi na mali zao kuchukuliwa aliyefanya hayo ni Kenyata
 
Hawa mashabiki wa CHADEMA wana ufahamu mdogo sana! Wameshindwa mbinu zao sasa wanaomba hata kifo kije CCM tu wao wabaki, jambo ambalo haliwezekani. Yaani haka ka-uchaguzi wanategemea kalete vurugu za kuwafikisha The Hague CCM? Eti Lissu anatafuta kuungwa mkono Ulaya na US, kwa lipi? Nani aliona wazungu kumuunga mkono mtu asiye na maslahi kwao? Demokrasia ipi wakati kuna marais afrika hii wanaishi Ufaransa kwa amani bila hata kupigiwa kelele?

Kuna mambo ya msingi ambayo kwa miaka yote wabunge wa upinzani walistahili kuyapigia kelele, wao wakishaingia Bungeni tu, mambo yote ni dili za pesa, ufuska na ulevi wa Dodoma. Uchaguzi ukiwa mwaka huu ndo wanakumbuka tume huru. Huko mikoani wako chini ya mkuu wa mkoa/wilaya ambaye pia ni mkuu wa usalama mkoani/wilayani ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa (CCM) ya mkoa/wilaya! Hilo wanaliangalia tu na wanaona haliwaongezei posho, hawalalamiki. Bure kabisa!
 
Angalau wao mahakama zaweza kuhoji , ukiachilia mbali ubanafsi wa mwafrika uliowakumba kina Uhuru. Je hii ya kwetu utaiita Je ?!. Tume ya hovyo hii ikishamtangaza mtu hata kwa hila utahoji wapi ?!
Mahakama gani hiyo unayoisifia? Jamani eeh! Someni mfahamu maamuzi hayo yalifanyikaje na majaji gani na kwa nini Uhuru alitukana baada ya uamuzi huo. Kwa nini hamtaki kujisomea?
 
Bungeni wapinzani huwa hawasikilizwi na hasa akikaa Batina pale mbele au Spikaccm ndungai, wewe bure kabsa hujui kuwa bunge nalo kwenye utawala huu wa kishamba na kishetani hakuna haki kwa wabunge wa upinzani pindi wawapo Bungeni.
 
Hivi Kumbe kenya kuna wazanzibari waliouliwa kwa maelfu , wakabakwa na kuchukuliwa mali zao ??
Unaonyesha udini unaposema"kuna wanzanzibari waisilamu"
hii kitu ndo tunapiga vita sana Tanzania,udini na ukabila.
 
Wewe ndiyo samaki, unashangaa Kenya kuuana wakati wa kampeni wakati nchini kwako watu wanauliwa hata wakati usio wa kampeni!!
Kuna nchi ambayo watu hawauwawi? Mbona munakuwa watu wa bei powa kiasi hiki? Jilazimishe akili yako ipende kujisomea. Makamishna wa tume wanauwawa wewe unasifia tume ya Kenya? Kamishna Chebukati alitoroka akiwa Dubai siku chache kabla ya uchaguzi, hiyo ni nini? Au ndo uhuru wa tume yenyewe? Mtu anakuja kujivunia ujinga eti Kenya ilishatoka huko siku nyingi, lini hiyo?
 
wapi nimesema wazanzibari waislamu jibu swali

Hivi Kumbe kenya kuna wazanzibari waliouliwa kwa maelfu , wakabakwa na kuchukuliwa mali zao ??
 
Bungeni wapinzani huwa hawasikilizwi na hasa akikaa Batina pale mbele au Spikaccm ndungai, wewe bure kabsa hujui kuwa bunge nalo kwenye utawala huu wa kishamba na kishetani hakuna haki kwa wabunge wa upinzani pindi wawapo Bungeni.
Wabunge wenu waporadhi kususa kuingia bungeni kwa mambo yasiyo na mantiki lakini hawawezi susa kuingia bungeni kwa maswala mtambuka kama katiba mpya na tume huru,uchaguzi ukifika ndo wanadai tume huru tena kwenye tweeter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…