Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Siasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.
Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.
Siasa Za Tanzania ni ubaguzi wa kidini pia na umetoka wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.
Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.
Tanzania atuna siasa za ubaguzi wa kidini,kabila wala rangi.Za Tanzania ni ubaguzi wa kidini pia na umetoka wapi
Pole kwa mawe mkuu , nitaungana na wale wote wanaopigania haki za WatanzaniaWewe una matatizo ya ufahamu na huna muda wa kujifunza. Hiyo ndo conclusion yangu kutokana na postings zako.
Wewe ndiyo samaki, unashangaa Kenya kuuana wakati wa kampeni wakati nchini kwako watu wanauliwa hata wakati usio wa kampeni!!Huyo anayeitwa mchambuzi anadai wao, Kenya walishatoka huko kitambo wakati uchaguzi ulikuwa 2018 na haukuwa salama. Watu ndani ya tume hadi wakauwawa. Kwa musio na ufahamu, baadhi ya mambo yaacheni. Siyo lazima kujadili.
Tanzania atuna siasa za ubaguzi wa kidini,kabila wala rangi.
Hata Kenya wapo mamia ya waisilamu gerezani,Sheikh Rogo wa Kenya alipigwa risasi mchana kweupee.Wale masheikh walioko walioko magerezani na mamia ya waislamu walioko gerezani , zaidi yamwaka wa sita kawaweka nani , Uhuru Kenyata ??
Siasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.
Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.
Angalau wao mahakama zaweza kuhoji , ukiachilia mbali ubanafsi wa mwafrika uliowakumba kina Uhuru. Je hii ya kwetu utaiita Je ?!. Tume ya hovyo hii ikishamtangaza mtu hata kwa hila utahoji wapi ?!Uchaguzi wa Kenya ulifanyika 2018. Mwaka 2017 kamishna kwenye tume hiyo, Chris Msando akauwawa, makamishna wakajiuzuru tena mmoja alitoroka na kutokomea akiwa Dubai kwenye uchapishaji wa ballot papers. Matokea yalipotoka, kasoro kibao hadi mahakama kuingilia kati. Baadhi ya watu hapa wakasifia mahakama na kusahau kwamba Uhuru alimtukana jaji mkuu kwa uamuzi wake. Tena ni jaji mkuu tu siyo mwenye msimamo huo, wao wakaanza kuhesabu makabila ya jopo la majaji walioamua hivyo. Kweli unaweza ukasifia kitu hapo. They are just hopeless than you'r. Kwa nini usifie tu bila 'thinking?' Elimu zetu hazitusaidii kubadili akili.
Hata Kenya wapo mamia ya waisilamu gerezani,Sheikh Rogo wa Kenya alipigwa risasi mchana kweupee.
Na sio Kenya tu nchi nyingi.
Hata Kenyata amefanya hivyo pia.Zanzibar maelfu ya waislamu waliuliwa na kubakwa na kukimbia nchi na mali zao kuchukuliwa aliyefanya hayo ni Kenyata
Hata Kenyata amefanya hivyo pia.
Basi sawa kila nchi ipambane kurekebisha kasoro zake.Huu sio mfumo wa kenya bali ni mfumo wa demokrasia! Alichosema ni mantiki
Hawa mashabiki wa CHADEMA wana ufahamu mdogo sana! Wameshindwa mbinu zao sasa wanaomba hata kifo kije CCM tu wao wabaki, jambo ambalo haliwezekani. Yaani haka ka-uchaguzi wanategemea kalete vurugu za kuwafikisha The Hague CCM? Eti Lissu anatafuta kuungwa mkono Ulaya na US, kwa lipi? Nani aliona wazungu kumuunga mkono mtu asiye na maslahi kwao? Demokrasia ipi wakati kuna marais afrika hii wanaishi Ufaransa kwa amani bila hata kupigiwa kelele?Hakuna mwenye sifa ya kwenda The Haugue kwa hao uliowataja.
Nkuruvinza,Kagame,Museven na J.Kabila wameuwa mamai ya raia na ulimwengu unajua,lakini huko ze hegi ndipo wanaenda kununua suti zao na wanakaribishwa kwa heshma zote na wanalindwa ulinzi kama wote kisha wanarudi kwenye nchi zao.
Mahakama gani hiyo unayoisifia? Jamani eeh! Someni mfahamu maamuzi hayo yalifanyikaje na majaji gani na kwa nini Uhuru alitukana baada ya uamuzi huo. Kwa nini hamtaki kujisomea?Angalau wao mahakama zaweza kuhoji , ukiachilia mbali ubanafsi wa mwafrika uliowakumba kina Uhuru. Je hii ya kwetu utaiita Je ?!. Tume ya hovyo hii ikishamtangaza mtu hata kwa hila utahoji wapi ?!
Bungeni wapinzani huwa hawasikilizwi na hasa akikaa Batina pale mbele au Spikaccm ndungai, wewe bure kabsa hujui kuwa bunge nalo kwenye utawala huu wa kishamba na kishetani hakuna haki kwa wabunge wa upinzani pindi wawapo Bungeni.Hawa mashabiki wa CHADEMA wana ufahamu mdogo sana! Wameshindwa mbinu zao sasa wanaomba hata kifo kije CCM tu wao wabaki, jambo ambalo haliwezekani. Yaani haka ka-uchaguzi wanategemea kalete vurugu za kuwafikisha The Hague CCM? Eti Lissu anatafuta kuungwa mkono Ulaya na US, kwa lipi? Nani aliona wazungu kumuunga mkono mtu asiye na maslahi kwao? Demokrasia ipi wakati kuna marais afrika hii wanaishi Ufaransa kwa amani bila hata kupigiwa kelele?
Kuna mambo ya msingi ambayo kwa miaka yote wabunge wa upinzani walistahili kuyapigia kelele, wao wakishaingia Bungeni tu, mambo yote ni dili za pesa, ufuska na ulevi wa Dodoma. Uchaguzi ukiwa mwaka huu ndo wanakumbuka tume huru. Huko mikoani wako chini ya mkuu wa mkoa/wilaya ambaye pia ni mkuu wa usalama mkoani/wilayani ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa (CCM) ya mkoa/wilaya! Hilo wanaliangalia tu na wanaona haliwaongezei posho, hawalalamiki. Bure kabisa!
Unaonyesha udini unaposema"kuna wanzanzibari waisilamu"Hivi Kumbe kenya kuna wazanzibari waliouliwa kwa maelfu , wakabakwa na kuchukuliwa mali zao ??
Kuna nchi ambayo watu hawauwawi? Mbona munakuwa watu wa bei powa kiasi hiki? Jilazimishe akili yako ipende kujisomea. Makamishna wa tume wanauwawa wewe unasifia tume ya Kenya? Kamishna Chebukati alitoroka akiwa Dubai siku chache kabla ya uchaguzi, hiyo ni nini? Au ndo uhuru wa tume yenyewe? Mtu anakuja kujivunia ujinga eti Kenya ilishatoka huko siku nyingi, lini hiyo?Wewe ndiyo samaki, unashangaa Kenya kuuana wakati wa kampeni wakati nchini kwako watu wanauliwa hata wakati usio wa kampeni!!
Basi sawa kila nchi ipambane kurekebisha kasoro zake.
Wabunge wenu waporadhi kususa kuingia bungeni kwa mambo yasiyo na mantiki lakini hawawezi susa kuingia bungeni kwa maswala mtambuka kama katiba mpya na tume huru,uchaguzi ukifika ndo wanadai tume huru tena kwenye tweeter.Bungeni wapinzani huwa hawasikilizwi na hasa akikaa Batina pale mbele au Spikaccm ndungai, wewe bure kabsa hujui kuwa bunge nalo kwenye utawala huu wa kishamba na kishetani hakuna haki kwa wabunge wa upinzani pindi wawapo Bungeni.