Uchaguzi 2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

Uchaguzi 2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

Ukabila na "Undugunaizesheni" kipi kibaya zaidi? Mtoto wa dada kuwa paymaster umeiona wapi kama si kwa madikteta? Kwenye ukabila kiukweli kabisa Magufuli anaongoza afrika nzima. Angalia wakuu wa taasisi zote nyeti hapa nchini, ni kabila gani? Kisha fananisha na wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete ndiyo utaelewa. Kilangila.
Wewe ni kabila lile mliokuwa mnafikir tz haiji kupata wasomi ila nyie pekee?
 
Sasa utasema waliotengua ule uchaguzi ni wahuni ?!. Mpaka leo kumbukumbu zinasomeka ulitenguliwa na mahakama . Je kwetu utafanyaJe ukifanyiwa uhuni ?!. Tumeona Malawi waliokolewa na mahakama . Nia ya kuunda muundo huu ulikuwa na hila za kuzuia wananchi kujiamulia mustkbali wao.
Tatizo imefikia hatua munasifia hata kichaa aliyefanikiwa kusema ukweli kwa siku moja. Niambie hali ya Malawi na Kenya ikoje? Ni nzuri leo hii? Yaani mahakama ikitengua siku moja tu inapewa sifa za maendeleo. Hii yote ni sababu kuna watu munataka hiyo itokee TZ kwa faida munayohisi mutaipata. Mbona hamtamani kufungiwa Corona kama Kenya?
Mamuzi ya mahakam kwa kesi moja ya uchaguzi hayawezi kuwaonesha kwamba wameendelea, ni nchi nzuri, n.k. hawa bado ni wanyonge tu kwa ukabila wao hadi kesho!
 
Unaulizaje maswali ya kitoto bwashee!
Zanzibar ipo Kenya?
minachosema hata Kenyata kauwa waisilamu nikatoa mfano wa Shekhe Abood Rogo na wengine wengi tu waliowawa na serikali ya kenya.

Umesahau yule Imam M .Ilyas aliyeuliwa msikitini na polisi au waliomuuwa walikuwa askari wa Kenya ?
 
Huyu mtu alipata bachelor Kwa kiingereza, masters Kwa kiingereza, PhD Kwa kiingereza. Wewe umewahi kufanya research? Masters na PhD ni research tupu, na ikifika dissertation ndiyo unachanganyikiwa kabisa. How many people you meet and how many journals you read and reference ? Halafu kiingereza hajui!
Na hiii mada yenu mmetembea nayo tangu 2015 mkasahau hata mambo ya tume huru na mazingira mengine wezeshi ya nyie kushinda!

Akawapiga marufuku kufanya siasa mkaufyata.

Katika kipindi chote hicho hayo yote makona si chochote mkawa mnajadili kingereza chake na ndio sera itakayowapa ushindi mwaka huu!
 
Tatizo imefikia hatua munasifia hata kichaa aliyefanikiwa kusema ukweli kwa siku moja. Niambie hali ya Malawi na Kenya ikoje? Ni nzuri leo hii? Yaani mahakama ikitengua siku moja tu inapewa sifa za maendeleo. Hii yote ni sababu kuna watu munataka hiyo itokee TZ kwa faida munayohisi mutaipata. Mbona hamtamani kufungiwa Corona kama Kenya?
Mamuzi ya mahakam kwa kesi moja ya uchaguzi hayawezi kuwaonesha kwamba wameendelea, ni nchi nzuri, n.k. hawa bado ni wanyonge tu kwa ukabila wao hadi kesho!
Hivi corona kashitakiwa mahakamani?
 
Upinzani wa aina hii ni hasara tu! Hawatusaidii watanzania maana malengo yao ni tofauti kabisa. Sasa nina imani wanachokitafuta ni kuingia madarakani ili watafune pesa ya nchi kwa amani. Eti wanaitwa makamanda! Bungeni miaka 5 bila kususia bunge ili kutafuta haki ya utawala na mpangilio mzuri wa utawala serikalini, wao wanasubilia Tume inayowapa Ubunge ili waendelee kupata posho. Wakisusia ujue ni show tu! Wanasusia Corona halafu wanaumia usiku kwenye matanuzi. Lissu anafika Nairobi na kulaani nchi eti imejaa Corona na vifo halafu anaingia na kuanza mizunguko bila woga wa hiyo corona. Just show off!
Watavuna walichopanda!
 
Wewe ni kabila lile mliokuwa mnafikir tz haiji kupata wasomi ila nyie pekee?
Hongera sana, inaonekana kiwango chako cha ukabila ni kikubwa kuliko wanyarwanda. Bado uko kwenye ukabila tu? Kilangila.
 
Umesahau yule Imam M .Ilyas aliyeuliwa msikitini na polisi au waliomuuwa walikuwa askari wa Kenya ?
Nimekwambia siungi mkono lakini nchi zote zinafanya hivi Tanzania,Uganda,Kenya na nchi zingine.
 
kenya bana wananifurahishaga sana hasa ule uchaguzi sijui chungwa, ndizi nimeusahau
 
Tatizo imefikia hatua munasifia hata kichaa aliyefanikiwa kusema ukweli kwa siku moja. Niambie hali ya Malawi na Kenya ikoje? Ni nzuri leo hii? Yaani mahakama ikitengua siku moja tu inapewa sifa za maendeleo. Hii yote ni sababu kuna watu munataka hiyo itokee TZ kwa faida munayohisi mutaipata. Mbona hamtamani kufungiwa Corona kama Kenya?
Mamuzi ya mahakam kwa kesi moja ya uchaguzi hayawezi kuwaonesha kwamba wameendelea, ni nchi nzuri, n.k. hawa bado ni wanyonge tu kwa ukabila wao hadi kesho!
Patriot .
Mfumo wetu hauwezi kutufanya bora kuliko wengine. Ni mfumo wa ki communist . Na u communist haujawahi kuitoa nchi yoyote mrisi zaidi kujifanya wazalendo uchwara.

Jaji Warioba na tume yake , walikusanya maoni ya wananchi na tume huru ilikuwemo. Lakini watawala waliifanyia jambo lile hila, kwa sababu uongozi wao pia umejaa hila .
 
Kwa hivyo kwa sababu nchi zote zinauwa waislamu na Tanzania nayo iuwe?
Hapana siungi mkono nchi yoyote ile kuuwa watu wa dini yeyote ile.
Ila nachokwambia hata huyo Kenyata wako ameuwa waisilamu.
Unalingine bwashee?
 
Hapana siungi mkono nchi yoyote ile kuuwa watu wa dini yeyote ile.
Ila nachokwambia hata huyo Kenyata wako ameuwa waisilamu.
Unalingine bwashee?

Kwa hivyo unakubali Tanzania ubaguzi wa kidini upo au vipi?
 
Noo! Usipoteze muda. Jamii na serikali ina tabia ya kuwalazimisha kutawaliwa watu wenye uelewa mdogo kama unavyoona mbuzi mkorofi anaburuzwa kupelekwa majungoni. Tutakuburuza tu, ukiziona nyasi utakula na kushukuru.
kila siku siyo jumapili

Ile tume ya bwana mahela na wale wakurugenzi walioteuliwa na bwana nanihii watawapa wapinzani ushindi wao kweli? uzuri wakenya wengi wanajitambua, walisomeshwa sana kipindi cha Moi, tena wengine nchi za ulaya kupitia utaratibu wa harambee, wakati huo sisi tukiwa bize kuchangishana michango ya harusi.
 
Back
Top Bottom