Uchaguzi 2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

Uchaguzi 2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

Pale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.

Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
Wakiambiwa wenye akili timamu watoke mbele nawe utatoka,mada inasema nini na wewe unajadili nini,jamaa wameongea ukweli mtupu sasa wewe mlumumba unavuruga mada
 
Kukidhi haja ya mfumo wa vyama vingi.
Sahihi kabisa. Sasa nimekuelewa, kumbe demokrasia ya vyama vingi unaijua na hata yanayokwenda kinyume unayajua. Tume isichaguliwe na mwenyekiti wa chama kimoja wapo wa vyama tulivyonavyo na baadaye vyote vikaingia kwenye kinyang'anyilo, refa akiwa ni tume mteuliwa. Umejibu vizuri.
 
Siasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.
Ubaguzi kuliko wa Tanzania? Unaota wewe! Rais anakusanya kodi za wote lakini maendeleo ni kwao na kwa wapenzi wao! Hii ni zaidi ya ubaguzi.
 
CCM wanairudisha Tanzania nyuma mno!! CCM hawana nia njema na taifa letu, hawa ni lazima waondolewe tu for the better tomorrow.
ccm ndo imekuletea uhuru kuku wewe, na sio tanzania tu nchi nyingi
 
mambo sjui ya raisi anatoka kikuuyu alafu waziri mkuu ni mjaluo tushatoka uko mda mrefu
 
Sahihi kabisa. Sasa nimekuelewa, kumbe demokrasia ya vyama vingi unaijua na hata yanayokwenda kinyume unayajua. Tume isichaguliwe na mwenyekiti wa chama kimoja wapo wa vyama tulivyonavyo na baadaye vyote vikaingia kwenye kinyang'anyilo, refa akiwa ni tume mteuliwa. Umejibu vizuri.
Katiba inampa haki Rais kuteuwa tume.
Mwamko wa katiba mpya bado ni mdogo sana kwa hao viongozi wa vyama wa mpaka wananchi.acha kwanza miaka isogesogee.
 
Kuna nchi ambayo watu hawauwawi? Mbona munakuwa watu wa bei powa kiasi hiki? Jilazimishe akili yako ipende kujisomea. Makamishna wa tume wanauwawa wewe unasifia tume ya Kenya? Kamishna Chebukati alitoroka akiwa Dubai siku chache kabla ya uchaguzi, hiyo ni nini? Au ndo uhuru wa tume yenyewe? Mtu anakuja kujivunia ujinga eti Kenya ilishatoka huko siku nyingi, lini hiyo?
Kuna yule system analyst wa mfumo wa computa wa NEC ya Kenya ambaye alikuwa ameweka password ya kiganja chake ili mtu yeyote asiingilie mfumo huo wa uchanguzi. Aliuawa, na inasemekana mkono wa password ulikatwa! Hatuna cha kujifunza kizuri katika masuala ya uchaguzi huko Kenya!
 
Upinzani wa aina hii ni hasara tu! Hawatusaidii watanzania maana malengo yao ni tofauti kabisa. Sasa nina imani wanachokitafuta ni kuingia madarakani ili watafune pesa ya nchi kwa amani. Eti wanaitwa makamanda! Bungeni miaka 5 bila kususia bunge ili kutafuta haki ya utawala na mpangilio mzuri wa utawala serikalini, wao wanasubilia Tume inayowapa Ubunge ili waendelee kupata posho. Wakisusia ujue ni show tu! Wanasusia Corona halafu wanaumia usiku kwenye matanuzi. Lissu anafika Nairobi na kulaani nchi eti imejaa Corona na vifo halafu anaingia na kuanza mizunguko bila woga wa hiyo corona. Just show off!
Watanzania wa wapi unawasemea? Pesa ipi wapinzani wataenda kuitafuna wakati tayari trilion- 1.5 imepigwa na CCM na zingine wanaendelea kukomba sufuria
 
Among best constitution is in Kenya
Hakuna haha ya kujifanya unajua Kiingereza wakati hukijui.Kwa mashudu uliyoandika hapo 🖕napata wasiwasi Sana kuamini kwamba umeisoma katiba ya Kenya na kuielewa au ndo ushabiki tu.
 
Wewe ndiyo hutumwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi?
Huna hoja yoyote, ila Kama mzalendo halisi wa taifa la Tz ningepewa nafasi hiyo,nisingefanya makosa.Umeridhika sasa.
 
Huna hoja yoyote, ila Kama mzalendo halisi wa taifa la Tz ningepewa nafasi hiyo,nisingefanya makosa.Umeridhika sasa.
Uzalendo ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani?
 
Back
Top Bottom