Uchaguzi 2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

Wewe ni kabila lile mliokuwa mnafikir tz haiji kupata wasomi ila nyie pekee?
 
Tatizo imefikia hatua munasifia hata kichaa aliyefanikiwa kusema ukweli kwa siku moja. Niambie hali ya Malawi na Kenya ikoje? Ni nzuri leo hii? Yaani mahakama ikitengua siku moja tu inapewa sifa za maendeleo. Hii yote ni sababu kuna watu munataka hiyo itokee TZ kwa faida munayohisi mutaipata. Mbona hamtamani kufungiwa Corona kama Kenya?
Mamuzi ya mahakam kwa kesi moja ya uchaguzi hayawezi kuwaonesha kwamba wameendelea, ni nchi nzuri, n.k. hawa bado ni wanyonge tu kwa ukabila wao hadi kesho!
 
Unaulizaje maswali ya kitoto bwashee!
Zanzibar ipo Kenya?
minachosema hata Kenyata kauwa waisilamu nikatoa mfano wa Shekhe Abood Rogo na wengine wengi tu waliowawa na serikali ya kenya.

Umesahau yule Imam M .Ilyas aliyeuliwa msikitini na polisi au waliomuuwa walikuwa askari wa Kenya ?
 
Na hiii mada yenu mmetembea nayo tangu 2015 mkasahau hata mambo ya tume huru na mazingira mengine wezeshi ya nyie kushinda!

Akawapiga marufuku kufanya siasa mkaufyata.

Katika kipindi chote hicho hayo yote makona si chochote mkawa mnajadili kingereza chake na ndio sera itakayowapa ushindi mwaka huu!
 
Hivi corona kashitakiwa mahakamani?
 
Watavuna walichopanda!
 
Wewe ni kabila lile mliokuwa mnafikir tz haiji kupata wasomi ila nyie pekee?
Hongera sana, inaonekana kiwango chako cha ukabila ni kikubwa kuliko wanyarwanda. Bado uko kwenye ukabila tu? Kilangila.
 
Umesahau yule Imam M .Ilyas aliyeuliwa msikitini na polisi au waliomuuwa walikuwa askari wa Kenya ?
Nimekwambia siungi mkono lakini nchi zote zinafanya hivi Tanzania,Uganda,Kenya na nchi zingine.
 
kenya bana wananifurahishaga sana hasa ule uchaguzi sijui chungwa, ndizi nimeusahau
 
Patriot .
Mfumo wetu hauwezi kutufanya bora kuliko wengine. Ni mfumo wa ki communist . Na u communist haujawahi kuitoa nchi yoyote mrisi zaidi kujifanya wazalendo uchwara.

Jaji Warioba na tume yake , walikusanya maoni ya wananchi na tume huru ilikuwemo. Lakini watawala waliifanyia jambo lile hila, kwa sababu uongozi wao pia umejaa hila .
 
Kwa hivyo kwa sababu nchi zote zinauwa waislamu na Tanzania nayo iuwe?
Hapana siungi mkono nchi yoyote ile kuuwa watu wa dini yeyote ile.
Ila nachokwambia hata huyo Kenyata wako ameuwa waisilamu.
Unalingine bwashee?
 
Hapana siungi mkono nchi yoyote ile kuuwa watu wa dini yeyote ile.
Ila nachokwambia hata huyo Kenyata wako ameuwa waisilamu.
Unalingine bwashee?

Kwa hivyo unakubali Tanzania ubaguzi wa kidini upo au vipi?
 
Noo! Usipoteze muda. Jamii na serikali ina tabia ya kuwalazimisha kutawaliwa watu wenye uelewa mdogo kama unavyoona mbuzi mkorofi anaburuzwa kupelekwa majungoni. Tutakuburuza tu, ukiziona nyasi utakula na kushukuru.
kila siku siyo jumapili

Your browser is not able to display this video.
 
Ile tume ya bwana mahela na wale wakurugenzi walioteuliwa na bwana nanihii watawapa wapinzani ushindi wao kweli? uzuri wakenya wengi wanajitambua, walisomeshwa sana kipindi cha Moi, tena wengine nchi za ulaya kupitia utaratibu wa harambee, wakati huo sisi tukiwa bize kuchangishana michango ya harusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…