Uchaguzi 2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

Na hilo la kuukataa huu mfumo wa uchaguzi haliko mbali, kwa sababu hata ndani ya chama kilichonufaika na mfumo huu kwa muda mrefu, wapo ambao ni wazi hawapendezwi nao. Pia vizazi vinazidi kuja ambavyo haviishi kwa historia ya chama kimoja kama ambavyo asilimia kubwa ya waliopo uelewa wao bado uko kwenye mfumo wa chama kimoja.

Katiba (mfumo) unatakiwa ubadirike uendane na matakwa ya vyama vingi.
 
Ukizungumzia ubaguzi wa kikabila pia usisahau hapa kwetu kuna mgombea anayehutubia kikabila ,anayehubiri ubaguzi wa kuleta maendeleo kwa majimbo yenye vyama vya upinzani
J2 unakuta amepiga magoti kanisani anajifanya mcha MUNGU
 
Tena kwa huyu kiongozi katili na mbaguzi watu wanamchukia sn sema yeye hajui
 

Mna vyombo vya habari kwelinyie?.......husiniambie TBC...hahah.
 
J2 unakuta amepiga magoti kanisani anajifanya mcha MUNGU
Gwajima alitukana kanisa la RC kuwa lina manabii wa uongo ambapo ndipo mtukufu magufuli husali kila jumapili lakini cha ajabu akamzawadia jimbo la kawe licha ya kuwa wa tatu kwenye kura za maoni
 
Haya ni maneno ya mtu aliyetoka sehemu za mikoa ''choka mbaya'' ambayo wamezoea uvivu na kuendekeza uchawi. Wachaga walishatangulia mbele kimaendeleo na kielimu. Hata kama wakionewa wivu ni bure. Awamu hii kiongozi mkuu ameweka msisitizo sana kuwainua watu wa nyumbani kwake na kujaribu kufanya wachaga wawe kama maadui lakini ukweli ni kwamba hatafanikiwa. Ni upungufu wa akili tu na mara atakapoondoka madarakani atawaacha watu wake kwenye hali mbaya zaidi. Miaka yote watanzania weusi tumekuwa tunawasema wahindi kuwa ni wahujumu lakini ndiyo wanazidi kupaa juu.
 
Gwajima alitukana kanisa la RC kuwa lina manabii wa uongo ambapo ndipo mtukufu magufuli husali kila jumapili lakini cha ajabu akamzawadia jimbo la kawe licha ya kuwa wa tatu kwenye kura za maoni
Ukabila mzee
 
Bwana jela,

Umesoma katiba ya Kenya? Huwezi kuilinganisha na ya Tz. Ni nzuri mno!
Imewasidia nini mpaka sasa. Mbona kiuchumi wanarudi nyuma?

Wewe subiri miaka 5 ijayo ya Magufuli watakuja kujiuliza kama walikuwa sahihi.

Unawaiga wazungu mzima mzima? Waulizeni qamefika wapi na KQ yao? Wakenywa ni jamii ambayo inapenda kujidanganya wenyewe. Hiyo system yao ina majizi kibao amabayo huwezi kuifanya kitu.

Kenya ni nchi ambayo haina future. Huko mbele watapata shida sana.

Ulimwengu wa leo kuwa na mawazo yako mwenyewe na sio kuigaiga mambo.
 
Si ndio maana bado mnafikiri mko pekee yenu mliesoma?

Sasa hivi hamuamini kama nafasi mlizokuwa mnapeana peke yenu watu wote tunaweza kufanya. Ndio hapo sasa mkikosa mnasingizia ukabila.

Na bado
 
Mkiona katiba ya Kenya ni bora kuliko ya Tz. Fanyeni muhamie Kenya katiba yetu ya TANZANIA inaruhusu mtu kuukana uraia wake
 
Bwana jela,

Umesoma katiba ya Kenya? Huwezi kuilinganisha na ya Tz. Ni nzuri mno!
Uzuri wake ni upi? Ka vile imeandikwa kwa lugha ya Kiingereza au sio? Cha muhimu upate basic needs zingine ni peripherals Eti rais anasafiri anamuachia madaraka waziri wakati makamu wa rais yupo!!! Alafu katiba yao ni nzuri
 
Si ndio maana bado mnafikiri mko pekee yenu mliesoma?

Sasa hivi hamuamini kama nafasi mlizokuwa mnapeana peke yenu watu wote tunaweza kufanya. Ndio hapo sasa mkikosa mnasingizia ukabila.

Na bado
FYI: Mimi siyo mchaga lakini huwa nawa-admire wachaga kwani ni wachapa kazi. BTW: maendeleo ya wengine hayataletwa kwa kuwa na chuki kwa wachaga. Maendeleao huletwa kwa kuchapa kazi tu. Mawazo yako na wengi wa vikaragosi wa awamu hii yako too local and primitive kiasi ambacho mnadhani kutokufanikiwa kwenu kunatokana na mabeberu au wachaga. Hivi ni visingizio vilivyotumiwa sana na madikteta uchwara wengi miaka ya nyuma ili kuwaletea maliwazo kwenye talawa zao. Mtaishia kufoka foka na kutoa visasi vyenu lakini wachaga ndiyo wanazidi kusonga mbele. Nothing than hard work.
 
Hapana kaka yangu Tanzania hakuna ukabila kabisa, ukabila upo Kenya

Pia nimesoma katiba ya kenya inamapungufu mengi kuliko ya Tanzania

Mimi sina chama ni Mzalendo
Ndo maana inabadilishwa tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…