Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Na hilo la kuukataa huu mfumo wa uchaguzi haliko mbali, kwa sababu hata ndani ya chama kilichonufaika na mfumo huu kwa muda mrefu, wapo ambao ni wazi hawapendezwi nao. Pia vizazi vinazidi kuja ambavyo haviishi kwa historia ya chama kimoja kama ambavyo asilimia kubwa ya waliopo uelewa wao bado uko kwenye mfumo wa chama kimoja.Hakuna nchi Dunia hii ambayo ina mfumo wa uchaguzi uliokamilika yaani usio na malalamiko kutoka upande mmoja ambao unaona mfumo uliopo hauwanufaishi, cha muhimu ni kutafuta balance na kupima gharama ya mabadilio kama ni kubwa au ndogo, na jibu la hilo swali huja tu wala halihitaji kulazimishwa, hivyo watanzania kwa wingi wao wakiona mfumo uliopo hawafai wataukataa, na itaonekana tu, ...
Katiba (mfumo) unatakiwa ubadirike uendane na matakwa ya vyama vingi.