Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
tUTAANZA KUUANA SASA, MAANA NYINYI HAMTAKI HAKILakini bado wanakataa matokeo ya uchaguzi na anayeshindwa kusema ameibiwa kura, na kuanza kuuwa watu hovyo, TZ yetu hakuna aliyeuliwa sababu ya Uchaguzi.
Low IQ!
Kenya hakuna kubambikiwa kesi kesi kupigwa risasi wafanyabiashara kubambikiwa kodi na TRA kupewa kesi za uhujumu uchumi kwa njia haramu za kishetani kama TanzaniaKenya maelfu kwa maelfu wanauliwa kila uchwao, hao watatu wa kwetu kama ni kweli Mungu awarehemu kila pumzi ina thamani, isitoshe hao Wakenya wako kila anayeshindwa Uchaguzi anaikataa Tume ambayo wanasema iko huru, Raila mpka leo hajakubali kama alishindwa kihalali anasema aliibiwa kura na ,, Tume huru'' haikumtangaza alienda kuapishwa ingawaje alishindwa Uchaguzi sasa wanatuambia nini?
Acha maneno mengi, alichokisema huyo jamaa ni sahihi au sio sahihi? ShameSiasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.
Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.
Kenya hakuna kubambikiwa kesi kesi kupigwa risasi wafanyabiashara kubambikiwa kodi na TRA kupewa kesi za uhujumu uchumi kwa njia haramu za kishetani kama Tanzania
mbona simba alifungwa 1-0 na Morrison wakati tff yao, marefa wao, wamesajiri kwa gharama kubwa mwisho wakaona isiwe tabu nahuyo morisson tunamckuaMkuu jadili hoja. Simba na Yanga zinakutana uwanjani referi, kibendela na kamisaa na uwanja vyote ni vya Simba, Yanga atakuwa na chake? Hiyo ndo hoja.
Kwamba kenya hakuna ujinga kama uliopo TanzaniaInahusiana nini na Mada?
Lakini yanatofautiana kipimo cha uzito.Kwa Africa hata kwenye nchi zenye tume huru bado malalamiko huwa ayakosekanagi.
kwani wao hawaruhusiwi kufanya kazi hizo kama sifa na uwezo wanavyo?Una uhakika Tanzania hakuna ukabila? Angalia jpma alivyojaza wasukuma serikalini CDF, mkurugenzi wa pccb, doto James na mawazili kibao
Kukidhi haja ya mfumo wa vyama vingi.Unafikiri tatizo kubwa kwenye tume yetu ya uchaguzi ni lipi hasa hadi uone kweli kuna haja ya kuifanyia marekebisho??
Lakini lakwetu hili ni la kijinga sana, yani kwa hali ya kawaida ni jambo la kitoto sana ...lakn Kuna siku litakuja badilika inshallahSiasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.
Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.
Huo ndo ukabira wenyewe unless kama hujui maana ya ukabira!kwani wao hawaruhusiwi kufanya kazi hizo kama sifa na uwezo wanavyo?
CCM ya sasa polepole ndiyo huonwa ana Akili, katumia fursa hiyo kujitajirisha akibuni miradi ya kubomoa vyama vya upinzani kudidimiza demokrasia kudhoofisha chadema kuua upinzani anapewa mabilioni amazifanyia ufisadi mkubwa, aliingia CCM akiwa apeche alolo sasa ni tajiri mkubwa kwa pesa za kusingizia anazitumia kuwahujumu chadema na upinzani kwa ujumla, CCM ya sasa wajanja wachache hutumia udhaifu wa mtukufu magufuli kuichukia chadema kupiga pesa nyingi.CCM hawapendi kusikia ukweli kwa sababu lazima mtu uwe na akili kutambua ukweli akili ambazo wanachama wa Chama hicho wote wanakosa ndo maana hawataki kusikia midahalo au mahojiano na wapinzani. Kila mtu mjinga anaweza kusema uongo kwa sababu anaweza kujazwa tu na mjinga mwenzie asitambue kuwa anachotangaza si kweli lakini mwerevu akatambua mara moja mbivu au mbichi. Wanachosema majirani zetu ni kweli kabisa na wanashangaa sana hapa tulipofikia lakini wajinga wetu watakuja hapa kuwashambulia na kuwaita majina mbalimbali kwa nia ya kutaka kusikika na wajinga wenzao wa huko juu. Bahati mbaya sana wasomi wetu wachache wenye PhD za Vyuoni wanakaa kimya mpaka kudharauliwa wakitawaliwa na PhD za jalalani wakisahau mabadiliko mengi duniani yamekuwa yakianzia Vyuoni.
Haha katiba ipi ya Kenya upiosoma hebu tuambie jambo moja ulilolisoma lilo pendelea mkikuyu au mjaruo au masai au kalenjiniNimesoma kaka ile katiba ya kenya imejaa ubaguzi wa kabila
Pale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.
Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
hao wakenya unaowana wanaakili. umesahau kila baada ya uchaguzi mtu analalamika kaibiwa kura mpaka mara ya mwisho kajiapisha mwenyewe.kwa ufupi ni kwamba wao waseme tu maana ni kawaida yao lakini sisi hatuna cha kujifunza kutoka kenya.CCM hawapendi kusikia ukweli kwa sababu lazima mtu uwe na akili kutambua ukweli akili ambazo wanachama wa Chama hicho wote wanakosa ndo maana hawataki kusikia midahalo au mahojiano na wapinzani. Kila mtu mjinga anaweza kusema uongo kwa sababu anaweza kujazwa tu na mjinga mwenzie asitambue kuwa anachotangaza si kweli lakini mwerevu akatambua mara moja mbivu au mbichi. Wanachosema majirani zetu ni kweli kabisa na wanashangaa sana hapa tulipofikia lakini wajinga wetu watakuja hapa kuwashambulia na kuwaita majina mbalimbali kwa nia ya kutaka kusikika na wajinga wenzao wa huko juu. Bahati mbaya sana wasomi wetu wachache wenye PhD za Vyuoni wanakaa kimya mpaka kudharauliwa wakitawaliwa na PhD za jalalani wakisahau mabadiliko mengi duniani yamekuwa yakianzia Vyuoni.
Kenya haijawahi kuwa swahiba wa Tanzania.Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
wewe ulipenda apewe nani nafsi hizo?Huo ndo ukabira wenyewe unless kama hujui maana ya ukabira!
Kenya haijawahi kuwa swahiba wa Tanzania.
Angalia walivyoshughulikia Corona na kufunga mipaka
Sawa bwashee.Lakini yanatofautiana kipimo cha uzito.
Kuna unafuu! Kuna wengine wanautafuta unafuu. Kama ni tabia ya nchi wenzetu kwao yanaanza mapambazuko ya asubuhi kwetu ndiyo tunalinyemelea giza la alfajiri.
Sisi hatuyafahamu manufaa ya Jua! Angalau wenzetu wanayafahamu kwa kiasi.
Sasa mbona wako hovyo vile?