Uchaguzi 2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

Uchaguzi 2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

Kenya maelfu kwa maelfu wanauliwa kila uchwao, hao watatu wa kwetu kama ni kweli Mungu awarehemu kila pumzi ina thamani, isitoshe hao Wakenya wako kila anayeshindwa Uchaguzi anaikataa Tume ambayo wanasema iko huru, Raila mpka leo hajakubali kama alishindwa kihalali anasema aliibiwa kura na ,, Tume huru'' haikumtangaza alienda kuapishwa ingawaje alishindwa Uchaguzi sasa wanatuambia nini?
Kenya hakuna kubambikiwa kesi kesi kupigwa risasi wafanyabiashara kubambikiwa kodi na TRA kupewa kesi za uhujumu uchumi kwa njia haramu za kishetani kama Tanzania
 
Kenya hakuna kubambikiwa kesi kesi kupigwa risasi wafanyabiashara kubambikiwa kodi na TRA kupewa kesi za uhujumu uchumi kwa njia haramu za kishetani kama Tanzania

Inahusiana nini na Mada?
 
Mkuu jadili hoja. Simba na Yanga zinakutana uwanjani referi, kibendela na kamisaa na uwanja vyote ni vya Simba, Yanga atakuwa na chake? Hiyo ndo hoja.
mbona simba alifungwa 1-0 na Morrison wakati tff yao, marefa wao, wamesajiri kwa gharama kubwa mwisho wakaona isiwe tabu nahuyo morisson tunamckua
 
Kwa Africa hata kwenye nchi zenye tume huru bado malalamiko huwa ayakosekanagi.
Lakini yanatofautiana kipimo cha uzito.

Kuna unafuu! Kuna wengine wanautafuta unafuu. Kama ni tabia ya nchi wenzetu kwao yanaanza mapambazuko ya asubuhi kwetu ndiyo tunalinyemelea giza la alfajiri.

Sisi hatuyafahamu manufaa ya Jua! Angalau wenzetu wanayafahamu kwa kiasi.
 
CCM hawapendi kusikia ukweli kwa sababu lazima mtu uwe na akili kutambua ukweli akili ambazo wanachama wa Chama hicho wote wanakosa ndo maana hawataki kusikia midahalo au mahojiano na wapinzani. Kila mtu mjinga anaweza kusema uongo kwa sababu anaweza kujazwa tu na mjinga mwenzie asitambue kuwa anachotangaza si kweli lakini mwerevu akatambua mara moja mbivu au mbichi. Wanachosema majirani zetu ni kweli kabisa na wanashangaa sana hapa tulipofikia lakini wajinga wetu watakuja hapa kuwashambulia na kuwaita majina mbalimbali kwa nia ya kutaka kusikika na wajinga wenzao wa huko juu. Bahati mbaya sana wasomi wetu wachache wenye PhD za Vyuoni wanakaa kimya mpaka kudharauliwa wakitawaliwa na PhD za jalalani wakisahau mabadiliko mengi duniani yamekuwa yakianzia Vyuoni.
CCM ya sasa polepole ndiyo huonwa ana Akili, katumia fursa hiyo kujitajirisha akibuni miradi ya kubomoa vyama vya upinzani kudidimiza demokrasia kudhoofisha chadema kuua upinzani anapewa mabilioni amazifanyia ufisadi mkubwa, aliingia CCM akiwa apeche alolo sasa ni tajiri mkubwa kwa pesa za kusingizia anazitumia kuwahujumu chadema na upinzani kwa ujumla, CCM ya sasa wajanja wachache hutumia udhaifu wa mtukufu magufuli kuichukia chadema kupiga pesa nyingi.
 
Pale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.

Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022

Umemsikiliza alichoongea lakini?msikilize vizuri then toa majibu ya hoja yake. Asante
 
CCM hawapendi kusikia ukweli kwa sababu lazima mtu uwe na akili kutambua ukweli akili ambazo wanachama wa Chama hicho wote wanakosa ndo maana hawataki kusikia midahalo au mahojiano na wapinzani. Kila mtu mjinga anaweza kusema uongo kwa sababu anaweza kujazwa tu na mjinga mwenzie asitambue kuwa anachotangaza si kweli lakini mwerevu akatambua mara moja mbivu au mbichi. Wanachosema majirani zetu ni kweli kabisa na wanashangaa sana hapa tulipofikia lakini wajinga wetu watakuja hapa kuwashambulia na kuwaita majina mbalimbali kwa nia ya kutaka kusikika na wajinga wenzao wa huko juu. Bahati mbaya sana wasomi wetu wachache wenye PhD za Vyuoni wanakaa kimya mpaka kudharauliwa wakitawaliwa na PhD za jalalani wakisahau mabadiliko mengi duniani yamekuwa yakianzia Vyuoni.
hao wakenya unaowana wanaakili. umesahau kila baada ya uchaguzi mtu analalamika kaibiwa kura mpaka mara ya mwisho kajiapisha mwenyewe.kwa ufupi ni kwamba wao waseme tu maana ni kawaida yao lakini sisi hatuna cha kujifunza kutoka kenya.
 
Lakini yanatofautiana kipimo cha uzito.

Kuna unafuu! Kuna wengine wanautafuta unafuu. Kama ni tabia ya nchi wenzetu kwao yanaanza mapambazuko ya asubuhi kwetu ndiyo tunalinyemelea giza la alfajiri.

Sisi hatuyafahamu manufaa ya Jua! Angalau wenzetu wanayafahamu kwa kiasi.
Sawa bwashee.
wadau wakuu wa mabadiliko ya tume ni vyama vyote vya siasa.lakini cha kushangaza hawaonyeshi kuitaka tume huru kwa mapana mpaka uchaguzi ukaribie ndo unaona madai ya tume huru tena sio kwamsisitizo.
Hii inaonyesha kabisa kwa nchi yetu vyama pinzani havionyeshi nia ya dhati kutaka tumehuru ndo maana wanashiriki uchaguzi bila tume huru.
 
Back
Top Bottom