Uchaguzi 2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

Katiba nzuri ni ya Afrika kusini.....
kwa sababu Raisi hatakiwi kuwa mwenyekiti wa chama.....
 
Pale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.

Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
Wtf are you talking about? Hii ni nje ya mada ffs
 
Pale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.

Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
Nenda kwenye hoja
 
Hatuna UKABILA ila tuna UBAGUZI WA KIVYAMA ulopitiliza...!!!
Ubaguzi uliopo ni wa CHAMA TAWALA CCM kuvlbagua vyama vingine vya Siasa a.k.a Upinzani.
Kama Mbowe ametoa kauli za kibaguzi juu ya vyama vingine vya upinzani nchini (wapinzani mnabaguana),CCM ni nini hata isiwabague?
 
Lakini bado wanakataa matokeo ya uchaguzi na anayeshindwa kusema ameibiwa kura, na kuanza kuuwa watu hovyo, TZ yetu hakuna aliyeuliwa sababu ya Uchaguzi.

Low IQ!

Katiba ya Kenya INARUHUSU kupinga matokeo ya Urais Mahakamani ilhali Katiba ya Tanzania hairuhusu ku-challenge matokeo ya Urais.
Lakini nikupe taarifa kuwa KUNA WATU WENGI WAMEULIWA KWASABABU YA UCHAGUZI...!!!!!
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000 huko Zanzibar Kuna zaidi ya watu 20 waliuawa kwa kupigwa risasi wakiandamana kupinga matokeo ya Urais Zanzibar...!!!
 
Hatuna UKABILA ila tuna UBAGUZI WA KIVYAMA ulopitiliza...!!!
Ubaguzi uliopo ni wa CHAMA TAWALA CCM kuvlbagua vyama vingine vya Siasa a.k.a Upinzani.
Si kweli hata kidogo,vyama vya upinzani vinapewa pesa na serikali.Chadema kama chamakikuu cha upinzani kinapewa pesa nyingi sana na serikali CCM.
 
Yaan watanzania wa sasa ni wajinga wakenya wameleta hoja nzur kutusaidia kisiasa kuwe NEC na KATIBA yetu ni mbovu kwamba wao walishapitia huko ila watanzania wanatafuta kasoro ktk nchi yao afu ndio inakuwa jibu eti wao mbona kwao kupo hv mara cjui ukabila mara cjui nn jibuni hoja mlioletewa na sio mnaanza tafuta madhaifu ya aliewaletea hoja eti anakwambia ww ni mchafu afu ww badala ukubali na kwenda kujisafisha basi na ww unajiona msafi unaanza kumkosoa yy eti na ww mbona ujapiga raba kiwi

Pathelic
 
Kenya haijapiga hatua hata kidogo,ndio maana Luto aliingia choo cha kike.Sasa Uhuru anakuja na katiba mpya.
 
Kama Mbowe ametoa kauli za kibaguzi juu ya vyama vingine vya upinzani nchini (wapinzani mnabaguana),CCM ni nini hata isiwabague?

Haya maneno wadanganye wenye LOWEST IQ na akili mbovu kama za kwako!
Kama Kuna Chama Cha Upinzani kinabagua Chama kingine Cha Upinzani ujue hicho Ni CCM-B kinatumika tu kama kibaraka!!
Vyama Kama NRA, CUF ya Li-pumbu, TLP ya Lyatonga etc, ni mamuluki wanaotumika kudhoofisha vyama imara Kama CHADEMA na ACT WAZALENDO!
 
Si kweli hata kidogo,vyama vya upinzani vinapewa pesa na serikali.Chadema kama chamakikuu cha upinzani kinapewa pesa nyingi sana na serikali CCM.

Wewe inaonekana una utindio wa ubongo. CHADEMA Kupewa Fedha takwa la kisheria ni haki yao kwa vile Wana idadi kubwa ya Wabunge na Madiwani. Chama chochote kisicho na uwakilishi Bungeni au kwenye Halmashauri(Udiwani) hakiwezi kupewa Fedha maana hakina sifa na hiyo haiwezi kuchukuliwa kuwa Ubaguzi.. !!!
 
Pale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.

Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022

Zungumzia hoja kuhusu uhuru wa tume yetu inayochaguliwa na mgombea halafu wanakuwa na kelele wakiambiwa siyo tume huru sijui wanapata wapi huo ujasiri,
 
Pale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.

Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022

Sasa hapo ndo unajibu hoja au unapambana na kuhoji uhalali wa watoa hoja?
 
Haya maneno wadanganye wenye LOWEST IQ na akili mbovu kama za kwako!
Kama Kuna Chama Cha Upinzani kinabagua Chama kingine Cha Upinzani ujue hicho Ni CCM-B kinatumika tu kama kibaraka!!
Vyama Kama NRA, CUF ya Li-pumbu, TLP ya Lyatonga etc, ni mamuluki wanaotumika kudhoofisha vyama imara Kama CHADEMA na ACT WAZALENDO!
Me nafikiri ningekuona mtu mwenye HIGH IQ,kama ungetoa hoja yako bila kuniattack mimi. Ninakupuuza kwakua tunakoelekea sio kwenye kujadili hoja zaidi ya matusi kama ilivyo hulka yenu.
 
Lakini bado wanakataa matokeo ya uchaguzi na anayeshindwa kusema ameibiwa kura, na kuanza kuuwa watu hovyo, TZ yetu hakuna aliyeuliwa sababu ya Uchaguzi.

Low IQ!

Acha uwongo wako hayo yalitokea kabla ya katiba mpya mbona mahakama ilifuta matokeo ya uchaguzi wa Rais, hivi hapa Tanzania na hizi mahakama za kusubiria maelekezo ya Rais nani anaweza kufuta matokeo ya uchaguzi wa Rais kwanza hayapingwi tume ikishampendelea basi.
 
Back
Top Bottom