Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Wale wafuasi wake, waliokuwa wanashangaa Magufuli kula mhindi aliopewa na raia njiani,waje watoe tamko tafadhali.Uliiona hii? 👇 👇 👇
View attachment 1591232
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wafuasi wake, waliokuwa wanashangaa Magufuli kula mhindi aliopewa na raia njiani,waje watoe tamko tafadhali.Uliiona hii? 👇 👇 👇
View attachment 1591232
Wtf are you talking about? Hii ni nje ya mada ffsPale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.
Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
Nenda kwenye hojaPale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.
Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
Kama Mbowe ametoa kauli za kibaguzi juu ya vyama vingine vya upinzani nchini (wapinzani mnabaguana),CCM ni nini hata isiwabague?Hatuna UKABILA ila tuna UBAGUZI WA KIVYAMA ulopitiliza...!!!
Ubaguzi uliopo ni wa CHAMA TAWALA CCM kuvlbagua vyama vingine vya Siasa a.k.a Upinzani.
Lakini bado wanakataa matokeo ya uchaguzi na anayeshindwa kusema ameibiwa kura, na kuanza kuuwa watu hovyo, TZ yetu hakuna aliyeuliwa sababu ya Uchaguzi.
Low IQ!
Si kweli hata kidogo,vyama vya upinzani vinapewa pesa na serikali.Chadema kama chamakikuu cha upinzani kinapewa pesa nyingi sana na serikali CCM.Hatuna UKABILA ila tuna UBAGUZI WA KIVYAMA ulopitiliza...!!!
Ubaguzi uliopo ni wa CHAMA TAWALA CCM kuvlbagua vyama vingine vya Siasa a.k.a Upinzani.
Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
Kama Mbowe ametoa kauli za kibaguzi juu ya vyama vingine vya upinzani nchini (wapinzani mnabaguana),CCM ni nini hata isiwabague?
Hukuelewa misingi ya katiba yenyewe.Nimesoma kaka ile katiba ya kenya imejaa ubaguzi wa kabila
Si kweli hata kidogo,vyama vya upinzani vinapewa pesa na serikali.Chadema kama chamakikuu cha upinzani kinapewa pesa nyingi sana na serikali CCM.
Pale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.
Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
Tanzania hatuna ukabila bwashee.
Pale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.
Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
Alichokiongea kina mantiki sijui kama umemsikiliza lakini
Me nafikiri ningekuona mtu mwenye HIGH IQ,kama ungetoa hoja yako bila kuniattack mimi. Ninakupuuza kwakua tunakoelekea sio kwenye kujadili hoja zaidi ya matusi kama ilivyo hulka yenu.Haya maneno wadanganye wenye LOWEST IQ na akili mbovu kama za kwako!
Kama Kuna Chama Cha Upinzani kinabagua Chama kingine Cha Upinzani ujue hicho Ni CCM-B kinatumika tu kama kibaraka!!
Vyama Kama NRA, CUF ya Li-pumbu, TLP ya Lyatonga etc, ni mamuluki wanaotumika kudhoofisha vyama imara Kama CHADEMA na ACT WAZALENDO!
Hakuna Serikali ya CCM .Si kweli hata kidogo,vyama vya upinzani vinapewa pesa na serikali.Chadema kama chamakikuu cha upinzani kinapewa pesa nyingi sana na serikali CCM.
Lakini bado wanakataa matokeo ya uchaguzi na anayeshindwa kusema ameibiwa kura, na kuanza kuuwa watu hovyo, TZ yetu hakuna aliyeuliwa sababu ya Uchaguzi.
Low IQ!