Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

Kwa hiyo wajanja ni nyie mnaojifanya DP World wakati tunajua ndio ninyi akina JK, Makamba, Rostam na Sa100.!? Wapumbavu sana nyie.
 
Kwahiyo unapuuza mambo ya msingi na kuzidi kupuyanga kwakuwa tu mzungumzaji/mshauri katumia lugha isiyo ya staha? Unafikiri atakayeonekana mpuuzi zaidi machoni pa watu wanaojitambua ni nani?
ng"an"ana na ghadhabu na mihemko yako, hata uwe na jambo zuri namna gani, ukilosea kwenye lugha tu, unahamisha mjadala kwenye kuchunguza uadilifu na malezi yako...

na by the way,
utadeal nalo wewe na huyo mwenye mihemko mwenzie kwasababu ndivyo mlovyolelewa, watulivu na wastaarabu na wenye maadili tunandelea kuchapa kazi kadiri invyowezekana ili wanainchi wapate maendeleo
 
sawa,
ng"ang"ana na gubu na mihemko yako...

wenye dhamana waendelee kuchapa kazi ya kuwatumilia wanainchi
 
Duh kumbe ni mipasho! Sawa dada wa buza, nimekuelewa.
 
Yeye mwenyewe hapo anaongelea "mama".

Hana jipya.
 
Utatekwa ooh!!!watu msiojulikana mpoooo????mmemsikia huyu jamaa??
Bashite ongoza gang ila msimfanye kama lissu au Dokta Ulimboka mfanyeni kama Ben saa kumi!!!!
 
Kama Katiba haiheshimiwi toka wakati wa Kikwete, Magufuli na sasa hivi...Nani aliewaambia wapinzani Katiba mpya ndo suluhu na itaheshimiwa??

..Katiba ya sasa hivi haiheshimiwi kwasababu haina vifungu vinavyoilinda, wala kuadhibu wanaoikiuka.

..Katiba Mpya bora lazima iwe na vifungu vinavyoilinda, pia vifungu vinavyolinda watakaoitetea.
 
Utawala wa Kikwete haukuwahi kuwa na ujinga huu.

Mwanzilishi wa huu upumbavu ni mshenzi jiwe. .Mungu amuongezee adhabu huko aliko.
Huyo mzee uliyemtaja kwa kumtetea ndiye muasisi wa yote haya yanayoendelea nchini.

Kwani huyo Magufuli ambaye unamuita mshenzi, aliwekwa madarakani kupitia CHADEMA au chama gani?
CCM haiwezi kujiweka pembeni ama kutetewa kwenye huu ujinga mnaopambania kumvisha mtu mmoja lawama kana kwamba alitunga ilani yake mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…