Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

Utatekwa ooh!!!watu msiojulikana mpoooo????mmemsikia huyu jamaa??
Bashite ongoza gang ila msimfanye kama lissu au Dokta Ulimboka mfanyeni kama Ben saa kumi!!!!
Nimeiquote hii kama ushahidi ndugu.
Unawaagiza wamuue kwa sababu gani?
 
Huyo ana stress ,watu wanampuuza
Mkuu naona biashara inaimarika. Tangaza ajira basi watu tupunguze machungu ya kuibiwa keki ya Taifa.... 😂 😂 😂

Mzee jiniaz wa uchumi usiyejua hata tebo ya 13
 
Kwa taarifa yako hizo lugha Kali na mnazoita sio za staha ndio zinaeleweka vizuri na Hawa viongozi majizi, kuliko lugha za staha. Viongozi wezi hawajawahi kuheshimu mawazo ama maoni yanayoletwa kwa lugha za staha. Mara nyingi machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio huleta akili kwa viongozi wezi na sio lugha za staha. Inaonekana ww unadhani nchi ni Mali ya viongozi, hivyo wanapaswa kaumbiwa kwa kubembelezwa ama kujinyenyekeza kwao.
 
Huyu mwalimu katokea wapi huku jf??
 
mama ndio mwanzisha mwendo

wakili msomi usiwachanganye watanzania
 
Kama Katiba haiheshimiwi toka wakati wa Kikwete, Magufuli na sasa hivi...Nani aliewaambia wapinzani Katiba mpya ndo suluhu na itaheshimiwa??
Kwani hao wanaopuuza katiba hii wanataka hata hiyo mpya Hadi useme wataiheshimu? Kimsingi katiba mpya itapatikana kwa machafuko ama mapinduzi ya kijeshi, hiyo kwa vyovyote itaweka misingi ya kuheshimiwa.

Kamwe usitegemee hawa wahuni wa Sasa wanaoshurutisha kuandika katiba watakavyo wao, wataoiheshimu hata hiyo mpya. Kwavyovyote wakiiandika wao, lazima itakuwa ya kitapeli kama hii tume huru ya uchaguzi ya maigizo waliyoiweka Sasa.
 
mama ndio mwanzisha mwendo

wakili msomi usiwachanganye watanzania
Dhalimu magu ndio alisimika hii tabia ya kuabudiwa. Huyu mama naye anapita mulemule kwenye siasa za kick na kulazimisha kuonekana anakubalika.
 
Natamani nikutukane ila naogopa burn,

Kwahiyo ww unachoelewa akilini mwako ni KING NEVER D0 WRONG?? Au sio??

Hiv nyie walimu mliingiaje huku jf?
mama ndio mwanzisha mwendo

wakili msomi usiwachanganye watanzania
 
Dhalimu magu ndio alisimika hii tabia ya kuabudiwa. Huyu mama naye anapita mulemule kwenye siasa za kick na kulazimisha kuonekana anakubalika.
chama cha mapinduzi kimekua kinara wa kutoa viongozi makini nchi hii ndugu

magufuli alifanya mengi makubwa na matunda yake yanaonekana na huyu mama anaendeleza mazuri akiongozwa na ilani ya chama pendwa mkombozi wa mataifa mengi afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…