Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Nimeishi korogwe wapo tabia za hovyo haswa walevi ni hizo hizo hata kwa watu wengine...Wamasai ukienda kweny vijijini vyao wanakukaribisha vizuri tu hawana noma hata zawadi unapewa..Masai wastaarabu wanapatikana wapi? Me mkulima nawajua, ni watu washenzi sana.
Hawa masai hata waliopo huku bara inabidi warudishwe kwao Arusha tu wakaishi na wanyama huko, waache kutusumbua.
Lazima maisha ili yanoge vijivita kama hivi muhimu
Ila mtoa Maada unatoleaga wapi news kama hv mapema kuliko sisi nifundishe page zako
Yule laizer alipopata yale madini hawakutaja kabila lake ila kweny ishu ya hovyo wanataja kabila la mtu...Kuna rafiki yangu amejisikia vibaya sana ni mmasai .umeandika kwa busara kaka.
kwenye hilo hata mimi naafiki kuzungumzia watu kwa ujumla wa kabila lao. nimekupata vema hapa
nimejiuliza nikagundua kuwa ni wivu na chuki,,,,,nilipotafakari nikagundua wazanzbar wanawaonea wivu wamasai kwani wamasai kama wamasai ni moja ya utambulisho{icon]ya utalii kwa tanzania na kenya,,,manake ni kwamba moja wapo ya ki2 kinachokaa kichwani mwa mtalii anapojiandaa kuja tanzania au kenya ni kuja kuwaona wamasai na utamaduni wao,sasa wanapotokeza wanakuwa kivutio kuliko wazanzibar,kwani kiuhalisia utamaduni wa mzanzibar ulishafutika kwa kuiga utamaduni wa kiarabu kuanzia imani,mavazi,mila ,chakula utaratibu mzima wa maisha kwa ujumla,,,,,,wakati kwa mmasai au wamasai utamaduni wao ni GENUINE wa kiafrika au niseme mmasai hajafanyiwa brain wash yoyote ile dini yao ni ya asili,mavazi ya asili,chakula cha asili,,,,,,sasa matokeo yake ni nini????mtalii anapokutana na mmasai anatumia muda nwingi kuzungumza na mmasai ili kumwelewa kuliko mzanzibar matokeo yake mmasai anapata pesa kirahisi kuliko mzanzibar,,,,yaani kumjua mzanzibar,ata ukienda doha,pakistan,yemen,iran,ata huko watokapo watalii mila za kiarabu zipo,,ata mtalii kama ni mwarabu ni rahisi sana kuvutiwa na mmasai kuliko mzenj manake yeye mwenyewe anajua wanafanana kwa mambo mengi!!!,,ata kule loliondo waliondolewa kwa sababu hiyohiyo!!! na kama unakumbuka wazungu mpaka leo wanalalamika kwa swala lile,,,chuki inatokana na mvuto wa mmasai wewe mwenyewe hapo ulipo ukiletewa NG'OMBE na NYATI utachagua kumshangaa nani mzee baba?????...si lazima NG"MBE amwonee wivu NYATI?,,,,au unasemaje?????kwa sababu NG'OMBE hana jipya mbele ya nyati,,,,au unasemaje man!Jiulize pia mbona matukio ya watu kupigana na walinzi wa mahoteli yanahusisha tu wamasai?
hili ni ukweli kabisa umetoa mfano valid mbaya. unajua sisi wameru tuna bond kubwa sana na wamasai kutokana na ukaribu wetu. hata mimi sipendi.Yule laizer alipopata yale madini hawakutaja kabila lake ila kweny ishu ya hovyo wanataja kabila la mtu...Kuna rafiki yangu amejisikia vibaya sana ni mmasai .
Ifike mahali tuache kuongelea watu kwa ujumla haileta picha nzuri.
Hapo ume-exgagerate hakuna matukio 7 ya mfululizo. Hili ni tukio dogo halivuki mipaka nje ya personal grudges za hao watu wanaogombana. Pls don't be over sensitive. Tz ni nchi ya amani sanaTukio Dogo lenye mfululizo wa matukio kama hayo zaidi ya Saba..
NOthing little mkuu!
Ingekuwa CIA,Na FBI wangechukulia ni Tukio dogo?
Au kwa vile tunasubiri mpaka moto uwake?
Tumesahau panapofuka Moshi kuna moto chini?
Yanogeshe mkuu kwa kupigana tutumiwe clip.Lazima maisha ili yanoge vijivita kama hivi muhimu
Nipo Zanzibar...hilo ni kweli asilimia %100wala urojo vs wanaoua simba ndo wapewe mke!!!!,,,wamasai wamechoka sana kuonewa,mara wafukuzwe loliondo,mara wananyang'anywe mfifugo mara wakatazwe kutembea na sime!!!,wazanzibar wanawachukia kwa sababu madem wa kizungu wanapenda kudeti na wamasai kwa sababu wana nguvu za kiume kuliko wala urojo!!
ipo hivi fukwe binafsi si tu masai au mm mmeru nikienda napaswa sumbua watalii. wenye mahoteli wanatuma walinzi. kule kwenye fukwe za public hakuna mtu anakatazwa kuwafuata au kuwashobokea watasha.nimejiuliza nikagundua kuwa ni wivu na chuki,,,,,nilipotafakari nikagundua wazanzbar wanawaonea wivu wamasai kwani wamasai kama wamasai ni moja ya utambulisho{icon]ya utalii kwa tanzania na kenya,,,manake ni kwamba moja wapo ya ki2 kinachokaa kichwani mwa mtalii anapojiandaa kuja tanzania au kenya ni kuja kuwaona wamasai na utamaduni wao,sasa wanapotokeza wanakuwa kivutio kuliko wazanzibar,kwani kiuhalisia utamaduni wa mzanzibar ulishafutika kwa kuiga utamaduni wa kiarabu kuanzia imani,mavazi,mila ,chakula utaratibu mzima wa maisha kwa ujumla,,,,,,wakati kwa mmasai au wamasai utamaduni wao ni GENUINE wa kiafrika au niseme mmasai hajafanyiwa brain wash yoyote ile dini yao ni ya asili,mavazi ya asili,chakula cha asili,,,,,,sasa matokeo yake ni nini????mtalii anapokutana na mmasai anatumia muda nwingi kuzungumza na mmasai ili kumwelewa kuliko mzanzibar matokeo yake mmasai anapata pesa kirahisi kuliko mzanzibar,,,,yaani kumjua mzanzibar,ata ukienda doha,pakistan,yemen,iran,ata huko watokapo watalii mila za kiarabu zipo,,ata mtalii kama ni mwarabu ni rahisi sana kuvutiwa na mmasai kuliko mzenj manake yeye mwenyewe anajua wanafanana kwa mambo mengi!!!,,ata kule loliondo waliondolewa kwa sababu hiyohiyo!!! na kama unakumbuka wazungu mpaka leo wanalalamika kwa swala lile,,,chuki inatokana na mvuto wa mmasai wewe mwenyewe hapo ulipo ukiletewa NG'OMBE na NYATI utachagua kumshangaa nani mzee baba?????...si lazima NG"MBE amwonee wivu NYATI?,,,,au unasemaje?????kwa sababu NG'OMBE hana jipya mbele ya nyati,,,,au unasemaje man!
pointUna point nzuri. Bahati mbaya chuki ya muungano imeshaota mizizi. Imefunika uhuru wa fikra na mitazamo isiyo na chembe ya prejudice.
Sheria inapaswa kuwa kali kuweka katazo la watanzania wa jamii zote kuwasumbua watalii wanapokua ndani ya fukwe binafsi. Kwa zile fukwe public ni jukumu la mtalii mwenyewe na wenyeji wake kuangalia usalama wao.
Kinachotokea sasa si tu watanzania wa jamii ya kimasai bali na wazawa wa hapo kupenya katika hizi fukwe zilizohodhiwa na kuwasumbua na kuwahadaa watalii.
Rais mwinyi utaenda kujibu nini kwa Mwenyezi Mungu! Nchi yenye idadi kubwa ya waislamu kwa maana ni nchi ya kiislamu, inakuwaje unaruhusu huu ushenzi/ufirauni watu wapo uchi! Nabi Muhammad S.A.W angekuwepo huu ufirauni usingekuwepo
Kuwa kiongozi ni dhima kubwa, Mwenyezi Mungu aniepushie mbali hata uongozi wa kata tu sihitaji!
Mleta mada, naomba ufute huu uzi wenye uchafu mwingi
yes mr josephNipo Zanzibar...hilo ni kweli asilimia %100
Ngoja bhasi nikutajieHapo ume-exgagerate hakuna matukio 7 ya mfululizo. Hili ni tukio dogo halivuki mipaka nje ya personal grudges za hao watu wanaogombana. Pls don't be over sensitive. Tz ni nchi ya amani sana
Wamasai wanapiga watu!Kwanini umetaja wamasai usiseme watu wanapigana
ni kweli lakini isiwe wamasai pekee ndio wazuiwehili ni ukweli kabisa umetoa mfano valid mbaya. unajua sisi wameru tuna bond kubwa sana na wamasai kutokana na ukaribu wetu. hata mimi sipendi.
lakini watalii kusumbuliwa wakiwa kwenye fukwe zinazomilikiwa na watu binafsi ni kitu cha kukemewa bila kujali ni watu wa bara au kisiwani wanaofanya hayo
hapo nakaziani kweli lakini isiwe wamasai pekee ndio wazuiwe