Video: Wamasai wazichapa tena na Walinzi (Wajeruhi)

Hao viongozi wa Zanzibar waendelee kupandikiza chuki watapata wasichokitarajia

Chuki inatoka wapi? Mimi ni wa bara ila kwa Zanzibar ile nchi imestaarabika sana, waarabu wabarikiwe kwa hilo, unadhani wasingekuwepo waarabu ile nchi ingekuaje!! madadapoa wangejazana huko sio!

Hao masai wakae kwa kutulia, wasilete jeuri kwa wenye nchi yao, watarudi mbugani huko, au arusha.
 
Kingereza mingi hakuna kitu hapa.

Kubali umechemka acha ubishi usio na tija
KWa sababu kimeandikwa kwa wale wanaoelewa sio lazma wote tuwe na Uwezo na Fikra kubwa..

kama Unaona kitu hujakielewa bhasi ujue kuwa Rasmi kwamba hakikuandikwa kwa sababu yako...
na usikiQuote..

Kuna vitu Vingi vya kuchangia Jf
Unaweza ukaenda hata kuchangia kuhusu Diamond katoa nyimbo mpya..
Au alikiba kafanya shoo Kenya ..sio mbaya..

Ila vitu vinavyotumia Akili kuchambua ,Kama diplomacy,And intelligency nafikiri unaviavha vipite tu..
Hakuna sehemu nimeonyesha ubishi Kijana..
Tatizo la vijana wa siku hizi wengi wanajiona wanajua halfu kumbe kichwani Zero..

Unashindwa Kuchambua Kesi ya Minority Swod Discord halafu upo kuchangia Uzi unaohusisha serial Domestic Violence...

Nachofurahi ni Jf Kutuweka pamoja na kitupa Uhuru wa kikatiba kuchangia..
Lakini tumia vizuri Mchango wako kutoa hoja kama huna hoja ni vyema ukakaa kimya narudia tena ni vyema ukakaa kimya
 
Hawa jamaa wakija Dar wanaishi kwa uhuru ila hawataki wamasai waishi kwao kwa uhuru
Kama wanaleta vurugu uwaache tu!! Sometimes msiwe mnaangalia upande mmoja! Leo mzanzibari akifanya vurugu mtamuelewa! Au ndio kuitana gaidi?
 
Chuki za kijinga kabisa unahangaika na masai amebeba fimbo kama mila uanachana na watu waliovaa chupi wamekaa hapo


Masai kumtoa aache kutembea na fimbo ni sawa na kumwambia muislamu / mkiristo aachane na dini yake
 
Hili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi.


Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu?

Written by Mjanja M1 ✍️
Mchukua video mwoga mwoga ☺️☺️😊😊😊

Sisi wakurya tukisikiaga vagi tunaenda huko huko kuliamshaa 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kama wanaleta vurugu uwaache tu!! Sometimes msiwe mnaangalia upande mmoja! Leo mzanzibari akifanya vurugu mtamuelewa! Au ndio kuitana gaidi?
Mbona wazanzibar kibao tu wanafanya vurugu huku Bara na tunawavumilia?
 
True,

Illiterate maasai Huwa ni wagumu sana kuelewaa...

Ukikutana na Masai wale illiterate nikazi sana kumwelewesha na Kuna miaka huko nyuma maasai waliamini kua MUNGU aliniumba Ng'ombe wote Duniani ni Mali Yao na wakawa wanaiba Ng'ombe Kwa kuwa na Imani Ng'ombe wote ulimwenguni ni Mali Yao....

Masai walio elimika ni very bright and intelligent being Tatizo lipo Kwa illiterate Masai...
 
Wngombani tu mabinti w kizungu, wacheni wamasi wa watu mana hata nguvu za kiume hamna
 
Unatumia nguvu nyingi. Haya bana mchana mwema kwako
 
Na huwezi kuelewa kwanini walifukuzwa ngoro ngoro sasa wamehamia zenji
Wala urojo hamna nguvu za kiume wanatandikia wake zenu mnafanya visa
 
Hili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi.


Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu?

Written by Mjanja M1 ✍️
Muda si mrefu itaanzishwa kampeni kabambe ya kuwahamisha Wamasai wote kutoka Zanzibar na kuwapeleka Handeni, kama walivyowafanyia kule Ngorongoro.

Ni suala tu la muda.
 
Nimesubiria tamko la yule askari Polisi aliyesema kuwa,ile clip ya Kwanza ilikuwa sio halisia na ilitokea kama mwaka juzi ila anashangaa mtu aliyeirushw mtandaoni akisema ni ya hivi karibuni.Hivyo akatoa ovyo Kali Kwa yeyote anaevumisha yasiyokuwepo.
Sasa na hii imekaaje.may take:
Labda ovyo lile alikuwa anamwambia Mama ake
 
Kitu kimoja nimekuelewa ila, unaposema tourist commission ndiyo inahusika na beach plot sidhani but ni SMZ, kweli lengo ni kuwa na usawa wa matumizi ya fukwe kwa watu wote.

Kunbuka majority kubwa ya ndugu zako wazanzibari ni wavivu na hawana ubunifu, kitu kinachofanya hili unalosema kuwa "Sheria zao nyingi zimetungwa kuwabeba wazanzibar lakini...", so walio nje wameona fulsa lazima waifanyie kazi, siyo kuzuia kwamba hapa 'maasai asifike'

Jambo lingine, faragha ya mtalii kwanza ipo kwenye hoteli aliyofikia baada ya kusoma reviews and hotel environments kabla hajaja, ukitaka commission ndiyo uzuie hicho unachotaka nadhani wewe ndiye utakuwa unaingilia faragha za watu sasa, yaani unawapangia πŸ€”!.

Point of within; issue ya walinzi na masai kuleteana ugomvi ndipo kuna shida ikisababishwa na eneo huru la ufukweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…