He was such a sweet dikteta!Naungana nao kulia
oho ho ho hooo hiii uwiii maaagufuli babaa uko wapi babaaa twafa huku hili hii tunaibiwaaa..
View attachment 2591399
Niwe na chuki na shetani linalooza kuzimu? Unachekesha kweli. Soma threads za humu JF watu walishamtabiria kifo tokea 2017, machozi ya watu hayawezi kwenda Bure. Hivi unadhani familia ya mawazo au Saanane zinajiskiaje.Sasa Kama uligushi vyeti vyako hasira za Nini kwa Mwendazake!? Magu yeye alikua anasimamia Sheria za Nchi hana kosa lolote lile!!
Haya matusi na kashifa kubwa hii kwa muumbaji wako, una moyo sana,Niwe na chuki na shetani linalooza kuzimu? Unachekesha kweli. Soma threads za humu JF watu walishamtabiria kifo tokea 2017, machozi ya watu hayawezi kwenda Bure. Hivi unadhani familia ya mawazo au Saanane zinajiskiaje.
Ndio na Mimi nitaondoka siku Moja ila sidhani kama nitaondoka nikiwa nimeacha majonzi kwa Roho zisizo na hatia zaidi nitakumbukwa kwa mema niliyofanya. Sasa mtu amesababisha kifo cha mama yake kabendera, kamuua Saanane, kamuua kaka yake Heche na Wenje, kamshambulia Lissu na risasi kisa tu mpinzani wake alafu unadhani Mungu anachekelea tu??Haya matusi na kashifa kubwa hii kwa muumbaji wako, una moyo sana,
Sina hakika iwapo unakuwa akiyaandika huku moyo haukushitaki,
Sababu, si hata wewe njia ni ileile?
Ndugu yangu, yaliyokwisha kufanyika, yashafanyika, tulie ama tugalagale, bado haibadirishi kitu, yatubidi tuyasahau na tuendelee mbele!Ndio na Mimi nitaondoka siku Moja ila sidhani kama nitaondoka nikiwa nimeacha majonzi kwa Roho zisizo na hatia zaidi nitakumbukwa kwa mema niliyofanya. Sasa mtu amesababisha kifo cha mama yake kabendera, kamuua Saanane, kamuua kaka yake Heche na Wenje, kamshambulia Lissu na risasi kisa tu mpinzani wake alafu unadhani Mungu anachekelea tu??
JPM aliyataka mwenyewe Wala asimlaumu mtu.
Ndiyo maana yuko motoniNdio na Mimi nitaondoka siku Moja ila sidhani kama nitaondoka nikiwa nimeacha majonzi kwa Roho zisizo na hatia zaidi nitakumbukwa kwa mema niliyofanya. Sasa mtu amesababisha kifo cha mama yake kabendera, kamuua Saanane, kamuua kaka yake Heche na Wenje, kamshambulia Lissu na risasi kisa tu mpinzani wake alafu unadhani Mungu anachekelea tu??
JPM aliyataka mwenyewe Wala asimlaumu mtu.
Mkuu SAGAI GALGANO kila kitu utachoandika kumhusu inaweza kuwa sawa kwa mjibu wako, lakini hili, si linahusu siri ya Mungu pake yake Mkuu?Ndiyo maana yuko motoni
Wewe binafsi umewahi pita hapo Kimara karibuni?Hayo mambo kawaida tu, mbona wapo wanaomlilia Nyerere hadi leo?!!!!
Ni namna fulani tu ya waliopatwa na jambo kuexpress hisia zao....
Simchukii jpm wala samia kwani wote, kwa namna moja au nyingine, nimefaidika nao kipindi Chao ila kwa hili haters wa samia mkajipange tena.......bado saaaaaaana. Hivi kipindi billion kadhaa za wakulima wa korosho wa mtwara zimechukuliwa kwa nguvu na mikwara juu, haters hamkuviona vile vilio vya wale wakulima waliojichokea?!!!!
Vp vilio vya wale pale kimara waliobomolewa nyumba zao hamkuviona?!!!!
Vp vilio vya walioporwa Mali?!!!
Waliodharirishwa na kina musiba?!!!
Hata hapo kimara anapajua sasa?
Kabisaa .2025 Fulana na kofia zinawatosha sasa kelele za nini?.
I, too concur with the guy you've quoted, he was one of the greatest to have ever occupied the Presidency.To you, yes he was. To others, he wasn't......he was just more of the same.
Kelele tushazizoea.. uchaguzi ukifika wanakuwa wapumbavuWapo watakaosema hao WAMENUNULIWA
Ndiyo.
Ya mtwara, haina maana kuzuia wananchi kumkumbukaNdiyo.
1. Wewe binafsi uliwahi kufika Mtwara na kuwaona wakulima wa korosho?
2. Wewe binafsi ulikuwepo eneo ambalo hao wananchi walikuwa wakimlilia jpm?!!
And the leader cannot be loved by everyone, loved by everyone, who has he been?To you, yes he was. To others, he wasn't......he was just more of the same.
Umefanya wema gani so far?Ndio na Mimi nitaondoka siku Moja ila sidhani kama nitaondoka nikiwa nimeacha majonzi kwa Roho zisizo na hatia zaidi nitakumbukwa kwa mema niliyofanya. Sasa mtu amesababisha kifo cha mama yake kabendera, kamuua Saanane, kamuua kaka yake Heche na Wenje, kamshambulia Lissu na risasi kisa tu mpinzani wake alafu unadhani Mungu anachekelea tu??
JPM aliyataka mwenyewe Wala asimlaumu mtu.
Na bado tutamlilia sanaHii ni kiashilia kuwa, alivyosema kuwa tutamkumbuka, sasa yaanza kujitokeza!
Maovu yake ndiyo yamempeleka motoni. Anavuna alichopanda.Mkuu SAGAI GALGANO kila kitu utachoandika kumhusu inaweza kuwa sawa kwa mjibu wako, lakini hili, si linahusu siri ya Mungu pake yake Mkuu?
Utawezaje wewe kuwa kama ni muumbaji wake mwenye kujua kama yuko motoni ama la? Kumradhi lakini