Uchaguzi 2020 Video: Watu waondoka uwanjani baada ya wanamuziki kumaliza kutumbuiza Zanzibar

Uchaguzi 2020 Video: Watu waondoka uwanjani baada ya wanamuziki kumaliza kutumbuiza Zanzibar

Madame ,nimekuelewa ila mbona unatumia lugha Kali wakati Mimi nime-share tu kwa wanajamiiforum.
Naomba urekebishe lugha yako ya kuwashwawashwa...maana ina maudhui mabaya!

Kingine Mimi siyo dogo kama unavyodhani ..naweza kuwa sawa na Kaka yako (kama unayo) au nikawa sawa na wewe kiumri..so kuwa makini usiendeshwe na hisia .

Sent using Jamii Forums mobile app
Amesema unawashwa kubali upewe mzigo
 
Mtu anakuja Zanzibar anasema eti atadumisha muungano hajui kuwa asilimia 70 ya wazanzibari wanataka muungano wa mkataba au mamlaka kamili ya Zanzibar! Apitie maoni ya katiba mpya.

Wazanzibari sio wapumbavu kiasi hicho, huu muungano na mivutano yake toka ulipo asisiwa, kwa hio wajifunze kwenye history.

Shida ya wazanzibari hasa ni muungano, ndio kiu kubwa na sio kudumishwa Bali ni maslahi ya Zanzibar, na wazanzibari wanaamini tunaamini kuwa muungano wa mkataba ndio tutapata fursa ya maendeleo zaidi ya nchi yetu.

Muache ukaidi viongozi, kila tukichelewesha mahitaji ya wananchi ndio gharama hupanda, the end of the day wananchi watakuja na maamuzi kuliko hayo ya juu
 
Free Nahoza free Nahoza free Nahoza
Free uwamsho free uwamsho free uwamsho

..hivi ni kweli kwamba Shamsi Nahodha amewekwa kizuizini?

..Na kura za mapendekezo toka Znz kwenda kwa NEC zilikuwaje?
 
Hata kama video imechongwa n watu hawakuondok ukweli unabaki kwamba CCM wanatumia FIESTA kuvuta audience
 
Japo umeonesha uhalisia mtoa mada kaachonjo na mazombi kwa jina jingine green guard wasije kuponda mawe kama na kichwa kiwe kama chapati kama walivyomfanya yule kijana wa songwe lkn usitegemee rais kuja kutembelea familia yako na kutoa mkwanja.

Hiyo ya kutembelewa na kutoa Pesa ni kwa hisani ya wahanga wa wana ccm tu, mawazo aliuawa mchana kweupeee na wauwaji wakajulikana lkn nn kutembelewa familia yake rais hata kukemea uhalifu ule alishindwa huyo ndio jiwe.

Mungu oyeeeeeee.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Katika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar. Watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea na hotuba.

Mm mwenyewe Niko Zanzibar, sikuwepo kwenye huo mkutano ila nilikuwepo maeneo ya mjini nilishangaa nilipoona malori na vyombo vingine vya usafir wakirud walipotokea nikajiuliza kulikoni mbona Magufur bado anahutubia maana ilikuwa nasikiliza kupitia redio .
 
Acha uongo dogo na picha na video za kuungaunga!! Ilikuwa live tv zote kila mtu kaona. Pia tuliokuwa Zanzibar tuneona live mpaka mwisho. Leo imewaumaaa sanaaaa!! Na bado!!!!!

Nikuulize unawashwawashwa na nini ndg yangu! Mbona pilipili ipo shambaaa? Sio jambo jema kwa mwanaume kuwashwawashwa!
Queen mambo???
 
Katika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar. Watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea na hotuba.

Siyo kweli...sauti imewekwa tu hapo...ujinga wa chadema na act wazalendo...propaganda za kitoto
 
Hii video shop haswa. Lete nyingune ya view tofaut tiine majengo tunayoyafaham.
 
Magufuli Babalao. Oct 28, asubuhi na mapema tunatwaa kombe..
 
Back
Top Bottom