Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar. Watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea na hotuba.
Amekosa uhalali. Atatumia Polisi, TISS na NEC kumbakisha.Magufuli amekosa kibali cha wananchi,ni vyema akajitoa katika kinyang'anyiro hiki
Uwiiiiiiiiiiiiiii.Katika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar. Watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea na hotuba.
Amesema unawashwa kubali upewe mzigoMadame ,nimekuelewa ila mbona unatumia lugha Kali wakati Mimi nime-share tu kwa wanajamiiforum.
Naomba urekebishe lugha yako ya kuwashwawashwa...maana ina maudhui mabaya!
Kingine Mimi siyo dogo kama unavyodhani ..naweza kuwa sawa na Kaka yako (kama unayo) au nikawa sawa na wewe kiumri..so kuwa makini usiendeshwe na hisia .
Sent using Jamii Forums mobile app
Free Nahoza free Nahoza free Nahoza
Free uwamsho free uwamsho free uwamsho
..hivi ni kweli kwamba Shamsi Nahodha amewekwa kizuizini?
..Na kura za mapendekezo toka Znz kwenda kwa NEC zilikuwaje?
Mm mwenyewe Niko Zanzibar, sikuwepo kwenye huo mkutano ila nilikuwepo maeneo ya mjini nilishangaa nilipoona malori na vyombo vingine vya usafir wakirud walipotokea nikajiuliza kulikoni mbona Magufur bado anahutubia maana ilikuwa nasikiliza kupitia redio .Katika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar. Watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea na hotuba.
Ha ha ha... au kamba za kutoshaSiku nyingine huyu mzee huko atakuja na cage za kutosha- Anaweleta kwenye malori weka kwenye cage mpaka amalize
Queen mambo???Acha uongo dogo na picha na video za kuungaunga!! Ilikuwa live tv zote kila mtu kaona. Pia tuliokuwa Zanzibar tuneona live mpaka mwisho. Leo imewaumaaa sanaaaa!! Na bado!!!!!
Nikuulize unawashwawashwa na nini ndg yangu! Mbona pilipili ipo shambaaa? Sio jambo jema kwa mwanaume kuwashwawashwa!
Siyo kweli...sauti imewekwa tu hapo...ujinga wa chadema na act wazalendo...propaganda za kitotoKatika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar. Watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea na hotuba.
Tarehe itafika tuwe na subiraongeza volume huko mbele wakusikie
Yah...aliona isiwe tabu hawa ni kuwapa makavu live bila chengaMama yetu alipiga spana siku ile