Video: Watu wenye maoni ya kuikera serikali kama huyu dada ndio wasiotakiwa na serikali ya CCM. Sitashangaa polisi wakimkamata kwa uchochezi!!

Hataki watu walipe kodi, hataki bodaboda walipe kodi, hataki bandari ibinafsishwe, anadhani kila mtu anweza kuuza kama yeye? Inawezekana labda yeye ana anachouza ndio maana hana adabu kwa rais?
Mshamba kama washamba wengine tu

Mama ni mpaka 2030 Mungu akipenda umri ukiwepo

Hata mkazane vipi, wagalatia subirini tu kwanza
 
View attachment 2753882

Kwa ufupi na kwa uchache;

"Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!"

"Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine alikosea. Kauli hiyo ingetolewa na Mwenyekiti wa Kijiji au serikali ya mtaa au balozi wa nyumba kumi isingeshangaza. Lakini kutolewa na Rais, basi ni dharau na bila shaka kuna shida mahali.."

"..Sioni substance wala contents zozote kwenye hotuba zote za Rais Samia Suluhu Hassan"

"Na Rais kwenye ziara zake hajasema lolote kuhusu mkataba mbovu wa bandari. Ni Kwa sababu hata yeye mwenyewe hana majibu ya jambo hili"

Credit & Courtesy to Jambo TV
Mtu yoyote anayehubiri, amani, upendo na mshikamano bila kuhubiri neno haki huyo ni mnafiki. Samia unasemaje?
 
Hataki watu walipe kodi, hataki bodaboda walipe kodi, hataki bandari ibinafsishwe, anadhani kila mtu anweza kuuza kama yeye? Inawezekana labda yeye ana anachouza ndio maana hana adabu kwa rais?
Mshamba kama washamba wengine tu

Mama ni mpaka 2030 Mungu akipenda umri ukiwepo

Hata mkazane vipi, wagalatia subirini tu kwanza
Duh kuna watu walienda shule kusomea ujinga sidhani kama ulitumia kichwa kusikia alichozungumza
 
Chama chakavu wanapenda kusifiwa tu, lakini wakisifiwa kwa mazuri wanayofanya na DP W au mazuri wanayofanya ya kuhamisha wamasai kwa nguvu, au mazuri ya kuingia madarakani kwa katiba halafu Leo hii kuiita katiba hiyo hiyo iliyomuweka huyo MTU hapo alipo Kijitabu, hawataki hizi sifa nzuri.
Sasa tuwasifie kwa kuteua wakwe au kuteua wapemba kwa nafasi za watanganyika Kama ukuu wa wilaya na ukurugenzi?
 
Nchi yetu ina polisi tuliorithishwa na Wakoloni. Yaani wenyewe wapo kwa ajili ya kuwalinda watawala. Badala ya raia na mali zao. Kwa hiyo lolote linaweza kutokea.
Polisi wa kikoloni walikuwa rafiki wa jamii, Tanganyika haikuwahi kushuhudia kamata kamata za kijinga wala hakukuwahi kuwa na mfungwa wa kisiasa, mambo ya kukamatwa yalianza baada ya uhuru! Uhuru tulioutegemea kuwa ni neema ukageuka shubiri.
 
Hataki watu walipe kodi, hataki bodaboda walipe kodi, hataki bandari ibinafsishwe, anadhani kila mtu anweza kuuza kama yeye? Inawezekana labda yeye ana anachouza ndio maana hana adabu kwa rais?
Mshamba kama washamba wengine tu

Mama ni mpaka 2030 Mungu akipenda umri ukiwepo

Hata mkazane vipi, wagalatia subirini tu kwanza
Wewe Abdul chunga ndimi zako hauoni Mama yako nae anauza nini?
 
Aisee
Labda anaweza kusikiliza wanawake wenzie
Nimempenda sana dada huyu.

Ana uelewa na ufahamu wa mambo si haba...

Mtu yeyote mwanamke au mwanaume akiwa nje ya CCM huwa na ufahamu na mawazo huru yasiyotawaliwa na tamaa za mwili kama alivyo FaizaFoxy 😄..

Waingereza wanasema anakuwa na nafsi (akili) zisizoghoshiwa (uncorrupted self)..
 
Hivi ukiwa CCM akili inaondoka??Wewe ni shahada yako ya uhandisi wa mawasiliano angani (Telecommunication Engineer) umeshindwa kupata content ya huyu dada ?
Alikuwa mbeba mabox tu hamna kitu!
 
Hataki watu walipe kodi, hataki bodaboda walipe kodi, hataki bandari ibinafsishwe, anadhani kila mtu anweza kuuza kama yeye? Inawezekana labda yeye ana anachouza ndio maana hana adabu kwa rais?
Mshamba kama washamba wengine tu

Mama ni mpaka 2030 Mungu akipenda umri ukiwepo

Hata mkazane vipi, wagalatia subirini tu kwanza..
Hujamsikiliza na kumwelewa..

Hayo mengine ni yako..

By the way, yeye hataki hayo, yes....

Je, wewe unataka nini na huwa unauza nini? Nyuma au mbele yako?
 
View attachment 2753882

Kwa ufupi na kwa uchache;

"Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!"

"Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine alikosea. Kauli hiyo ingetolewa na Mwenyekiti wa Kijiji au serikali ya mtaa au balozi wa nyumba kumi isingeshangaza. Lakini kutolewa na Rais, basi ni dharau na bila shaka kuna shida mahali.."

"..Sioni substance wala contents zozote kwenye hotuba zote za Rais Samia Suluhu Hassan"

"Na Rais kwenye ziara zake hajasema lolote kuhusu mkataba mbovu wa bandari. Ni Kwa sababu hata yeye mwenyewe hana majibu ya jambo hili"

Credit & Courtesy to Jambo TV
Siasa ya ushemiwa ni mbaya sana...Inalinda watu fulani na kutweza wengine...Ni shida ya nchi zoote zenye mrengo wa kushoto
 
Hataki watu walipe kodi, hataki bodaboda walipe kodi, hataki bandari ibinafsishwe, anadhani kila mtu anweza kuuza kama yeye? Inawezekana labda yeye ana anachouza ndio maana hana adabu kwa rais?
Mshamba kama washamba wengine tu

Mama ni mpaka 2030 Mungu akipenda umri ukiwepo

Hata mkazane vipi, wagalatia subirini tu kwanza
Wanatakiwa walipe Ili iweje? Watu wale Kwa urefu wa kamba zao ama? This is not fair at all. Kama Kodi inamaanisha utumwa hapo sawa lakini kama ni Ili maendeleo ya jamii yapatikane basi Kila anayesemwa ambaye anafanya nje ya Yale ya kijamii akiwa ndiye mkosa badi nchi inakuwa imekosa mwelekeo
 
Ama kweli huyu ni Rais wa kukaririshwa tu bila yeye kutumia akili yake pia..

Mipaka ipi ya uhuru wa kutoa maoni?

Kwa sababu uhuru wa maoni uko naturally confined ndani ya chumba maalumu cha kila mtu...

Hakuna anayeweza kumpa au kumnyang'anya mtu.

It's naturally available kama ambavyo jua na mvua ziko kwa ajili ya kila mtu free of charge..!
 
Hivi ukiwa CCM akili inaondoka??Wewe ni shahada yako ya uhandisi wa mawasiliano angani (Telecommunication Engineer) umeshindwa kupata content ya huyu dada ?
Huyo kaweka mbele ambao hauna faida kwa dini, sijawahi kuelewa huko kushabikia kwake marais waislamu kunanufaisha vp uislamu au waislamu.
 
Back
Top Bottom