pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
"Mama Abdul" hawezi kusema lolote kuhusu mkataba wa DPW kwani anajua vyema kabisa kilicho nyuma ya pazia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akamatwe kabisa huyu mdada. Ningekuwa polisi basi namkamata namchapa bakora tano kabla ya kuanza kuchukua ushahidiView attachment 2753882
Kwa ufupi na kwa uchache;
"Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!"
"Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine alikosea. Kauli hiyo ingetolewa na Mwenyekiti wa Kijiji au serikali ya mtaa au balozi wa nyumba kumi isingeshangaza. Lakini kutolewa na Rais, basi ni dharau na bila shaka kuna shida mahali.."
"..Sioni substance wala contents zozote kwenye hotuba zote za Rais Samia Suluhu Hassan"
"Na Rais kwenye ziara zake hajasema lolote kuhusu mkataba mbovu wa bandari. Ni Kwa sababu hata yeye mwenyewe hana majibu ya jambo hili"
Credit & Courtesy to Jambo TV
Unaweza kumtukana na mauchafu yote! kwa sababu wewe ni mdudu mchafu chawa ni mchafu tu!Hataki watu walipe kodi, hataki bodaboda walipe kodi, hataki bandari ibinafsishwe, anadhani kila mtu anweza kuuza kama yeye? Inawezekana labda yeye ana anachouza ndio maana hana adabu kwa rais?
Mshamba kama washamba wengine tu
Mama ni mpaka 2030 Mungu akipenda umri ukiwepo
Hata mkazane vipi, wagalatia subirini tu kwanza
Anaweza kukamatwa kweli kwa sababu watanzania wote hawatapiga kelele kwa vile niAkamatwe kabisa huyu mdada. Ningekuwa polisi basi namkamata namchapa bakora tano kabla ya kuanza kuchukua ushahidi
Feministhapo nalipa ng"ombe 500
Lazima uwe matured primitives pita kushotoHuyu mimi siwezi kumuoa maana nikimkorofosha tu ujue sitoboi mahakamani
Huyo Lucas ana maisha magumu kama mimi tu ila kutwa kuchwa kuzungusha wow wow wow tu humu jfNgoja machawa wa mama waje wakiongozwa na Lucas mwashamba choiceVariable Faizafoxy covax and co.
Acheni uzushiAnaweza kukamatwa kweli kwa sababu watanzania wote hawatapiga kelele kwa vile ni
jamii ya hawa
View attachment 2754288
hapo nalipa ng"ombe 500
Kweli lakiniView attachment 2753882

😂😂😂😂😂