pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Mtu yoyote anayehubiri, amani, upendo na mshikamano bila kuhubiri neno haki huyo ni mnafiki. Samia unasemaje?View attachment 2753882
Kwa ufupi na kwa uchache;
"Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!"
"Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine alikosea. Kauli hiyo ingetolewa na Mwenyekiti wa Kijiji au serikali ya mtaa au balozi wa nyumba kumi isingeshangaza. Lakini kutolewa na Rais, basi ni dharau na bila shaka kuna shida mahali.."
"..Sioni substance wala contents zozote kwenye hotuba zote za Rais Samia Suluhu Hassan"
"Na Rais kwenye ziara zake hajasema lolote kuhusu mkataba mbovu wa bandari. Ni Kwa sababu hata yeye mwenyewe hana majibu ya jambo hili"
Credit & Courtesy to Jambo TV
Golini tumeweka chandarua kilichotobokaNchi haina mtu kwa sasa aibu tupu daah ni kichekesho cha Dunia
Duh kuna watu walienda shule kusomea ujinga sidhani kama ulitumia kichwa kusikia alichozungumzaHataki watu walipe kodi, hataki bodaboda walipe kodi, hataki bandari ibinafsishwe, anadhani kila mtu anweza kuuza kama yeye? Inawezekana labda yeye ana anachouza ndio maana hana adabu kwa rais?
Mshamba kama washamba wengine tu
Mama ni mpaka 2030 Mungu akipenda umri ukiwepo
Hata mkazane vipi, wagalatia subirini tu kwanza
Polisi wa kikoloni walikuwa rafiki wa jamii, Tanganyika haikuwahi kushuhudia kamata kamata za kijinga wala hakukuwahi kuwa na mfungwa wa kisiasa, mambo ya kukamatwa yalianza baada ya uhuru! Uhuru tulioutegemea kuwa ni neema ukageuka shubiri.Nchi yetu ina polisi tuliorithishwa na Wakoloni. Yaani wenyewe wapo kwa ajili ya kuwalinda watawala. Badala ya raia na mali zao. Kwa hiyo lolote linaweza kutokea.
Wewe Abdul chunga ndimi zako hauoni Mama yako nae anauza nini?Hataki watu walipe kodi, hataki bodaboda walipe kodi, hataki bandari ibinafsishwe, anadhani kila mtu anweza kuuza kama yeye? Inawezekana labda yeye ana anachouza ndio maana hana adabu kwa rais?
Mshamba kama washamba wengine tu
Mama ni mpaka 2030 Mungu akipenda umri ukiwepo
Hata mkazane vipi, wagalatia subirini tu kwanza
Nimempenda sana dada huyu.Aisee
Labda anaweza kusikiliza wanawake wenzie
Kama alivyoongea Sifa Boniventure Bujuni kupitia Sanaa ya uimbaji na wimbo wake wa serikali inatuona manyani tu...Kaongea ukweli mtupu
Kazi ya polisi kwa Tanzania ni kazi ya laana tupuNchi yetu ina polisi tuliorithishwa na Wakoloni. Yaani wenyewe wapo kwa ajili ya kuwalinda watawala. Badala ya raia na mali zao. Kwa hiyo lolote linaweza kutokea.
Alikuwa mbeba mabox tu hamna kitu!Hivi ukiwa CCM akili inaondoka??Wewe ni shahada yako ya uhandisi wa mawasiliano angani (Telecommunication Engineer) umeshindwa kupata content ya huyu dada ?
Hujamsikiliza na kumwelewa..Hataki watu walipe kodi, hataki bodaboda walipe kodi, hataki bandari ibinafsishwe, anadhani kila mtu anweza kuuza kama yeye? Inawezekana labda yeye ana anachouza ndio maana hana adabu kwa rais?
Mshamba kama washamba wengine tu
Mama ni mpaka 2030 Mungu akipenda umri ukiwepo
Hata mkazane vipi, wagalatia subirini tu kwanza..
Siasa ya ushemiwa ni mbaya sana...Inalinda watu fulani na kutweza wengine...Ni shida ya nchi zoote zenye mrengo wa kushotoView attachment 2753882
Kwa ufupi na kwa uchache;
"Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!"
"Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine alikosea. Kauli hiyo ingetolewa na Mwenyekiti wa Kijiji au serikali ya mtaa au balozi wa nyumba kumi isingeshangaza. Lakini kutolewa na Rais, basi ni dharau na bila shaka kuna shida mahali.."
"..Sioni substance wala contents zozote kwenye hotuba zote za Rais Samia Suluhu Hassan"
"Na Rais kwenye ziara zake hajasema lolote kuhusu mkataba mbovu wa bandari. Ni Kwa sababu hata yeye mwenyewe hana majibu ya jambo hili"
Credit & Courtesy to Jambo TV
Wanatakiwa walipe Ili iweje? Watu wale Kwa urefu wa kamba zao ama? This is not fair at all. Kama Kodi inamaanisha utumwa hapo sawa lakini kama ni Ili maendeleo ya jamii yapatikane basi Kila anayesemwa ambaye anafanya nje ya Yale ya kijamii akiwa ndiye mkosa badi nchi inakuwa imekosa mwelekeoHataki watu walipe kodi, hataki bodaboda walipe kodi, hataki bandari ibinafsishwe, anadhani kila mtu anweza kuuza kama yeye? Inawezekana labda yeye ana anachouza ndio maana hana adabu kwa rais?
Mshamba kama washamba wengine tu
Mama ni mpaka 2030 Mungu akipenda umri ukiwepo
Hata mkazane vipi, wagalatia subirini tu kwanza
Ama kweli huyu ni Rais wa kukaririshwa tu bila yeye kutumia akili yake pia..
Huyo kaweka mbele ambao hauna faida kwa dini, sijawahi kuelewa huko kushabikia kwake marais waislamu kunanufaisha vp uislamu au waislamu.Hivi ukiwa CCM akili inaondoka??Wewe ni shahada yako ya uhandisi wa mawasiliano angani (Telecommunication Engineer) umeshindwa kupata content ya huyu dada ?
hicho chandarua mpka kishonwe kitachukua muda mrefu sana hahhaaaaaGolini tumeweka chandarua kilichotoboka