Video: Watu wenye maoni ya kuikera serikali kama huyu dada ndio wasiotakiwa na serikali ya CCM. Sitashangaa polisi wakimkamata kwa uchochezi!!

"Mama Abdul" hawezi kusema lolote kuhusu mkataba wa DPW kwani anajua vyema kabisa kilicho nyuma ya pazia!
 
Akamatwe kabisa huyu mdada. Ningekuwa polisi basi namkamata namchapa bakora tano kabla ya kuanza kuchukua ushahidi
 
Unaweza kumtukana na mauchafu yote! kwa sababu wewe ni mdudu mchafu chawa ni mchafu tu!
Mbuzi mee wewe bandari yetu inahongwa uarabuni unataka tushangilie! Madudu mengine yamejulikana ile IGA ni ya kugushi! halafu utasema kuna kiongozi pale!
Kumbuka maneno haya leo! Majizi hayatatawala tena Tanganyika! mark my words! Mwisho wa huyu unayemtetea ni 2025 tukimhurumia!
 
Bandari washauri kina mwijaku,shehe mwaipopo,baba levo.
 
Kwenye Kodi hatushirikishi kwa kweli wanatukomoa tu.
.Check ishu ya kikokotoo kwa wafanyakazi
.Check ishu ya kuchukua michango yako nssf
 
Haya chawa njooni na ngonjera zenu kumjibu huyu sister alie na thought nzuri na yupo very open minded.
 
Jamani huyu dada kama hajaolewa naomba ,naomba ,naomba awe mama wa watoto wangu .
 
Ngoja machawa wa mama waje wakiongozwa na Lucas mwashamba choiceVariable Faizafoxy covax and co.
Huyo Lucas ana maisha magumu kama mimi tu ila kutwa kuchwa kuzungusha wow wow wow tu humu jf
 
Kusema ni rahisi ukiwa nje,ukishaanza kupewa Kila kitu bure akili lazima iende likizo.
Thus watawala wa kiafrika Huwa na akili baada ya kustaafu.
 
Ukiimba nyimbo za kuibomoa jamii mfano kupromote ngono, ushoga,pombe,bangi,kukata viuno, huwezi sikia police Wala basata wakijua hata address yako ilipo.
We kosoa watajua hadi kitanda chako.
 
Kweli lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…