Video ya kuogofya: Jambazi alivyopigwa risasi shingoni wakati alipovamia benki.

Askari yuko njema aisee, katumia medani za kijeshi.
Jambalika hata halijilindi linaenda kindezi as if linadeal na mtoto mdogo asie na siraha, movie zimemuharibu.

Hawa dada zetu tipwatipwa tunaowakuta kama walinzi benki wanaweza hizi mbanga au nchi yetu ni ya amani wao kazi yao ni kama watu wa reception tu!!
 
Response ya Mlinzi ilikua very fast, kilichomsaidia ni kuwa at the right place with right tools and Right Mind, najaribu kuimagine hawa walinzi Bongo Darisalaam unamkuta kabeba kirungu, filimbi na smartphone kubwa anaangalia tiktok tungetoboa kweli ?
Majambazi bongo ukwamishwq na miundombinu
 
Jambazi Teja lishe duni,gun skills hana unategemea nini.
Bank haivamiwi na jambazi mmoja ni kuanzia watano wote wameshiba na wana AK.
 
Bank haivamiwi kichwa kichwa hivi! Lazima wawe zaidi ya 6 tena proffessionals wenye ujuzi mkubwa mf. wanajeshi wazoefu au wastaafu wenye skills za kutumia silaha tena silaha nzito nzito! unakuta kuna mastermind wa kuchora mchoro mahali safe ilipo, jinsi ya kufika, umbali, muda, kiasi cha pesa kilichopo kwa wakati specific n.k unakuta tukio linapigwa ndani ya 10 minutes haoo washasepa na mzigo! Na wanajua what's next aftermath.

Sasa huyo kajikuta kijogoo kashika kishort gun kashajikuta Rambo 😀😀😀
 
Brazili ni moja ya nchi hatari sana
 
Hilo jambazi linaonesha lilitumia madawa makali ya kulevya, maana kachapwa risasi lakini hakuhisi maumivu.
 
kuna kazi zinahitaji kua jasiri kupindukia, makini zaidi, usitegee wala kuzembea au kua mvivu na mwenye huruma hata sekunde moja 🐒
 
Askari alikua so sharp aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…