mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Hongera askari, kazi nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni Mshipa mkubwa na Moyo ni Pump tu hauchukui round hapo ni dakika moja tu unaingia kwenye Coma.Dah damu zinavyomwagika
Ina takribani miaka miwili hii video, siyo ya jana wala leoCCTV Crime News
View attachment 2951527
Mwisho wa Video ya pili utamuona namna alivyoingia benki kama mlemavu vile.
View attachment 2951544
................
Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini alikufa.
Jina ni: Nilton César Silva Aguiar.
View attachment 2951517
....
Hapa aliingia Benki kama mlemavu
View attachment 2951556
.....
Hili hapa pigo la kwanza, askari alipigwa risasi ya kifua, bahati nzuri askari alikua amevalia bulletproof ya kuzuia risasi, hivyo haikumpiga
View attachment 2951561
....
Pigo la pili, askari alirudisha mapigo na kumpiga jambazi sehemu ya kifua.
View attachment 2951574
................
Baada ya jambazi kupigwa ya kifua akainama kisha akapigwa nyingine ya shingo
View attachment 2951596
........
Jambazi kipindi anapiga alikua akimsogelea askari, ndipo askari akainama chini ya meza ili afanye counter kumzungukia kwa nyuma, lakini jambazi lilisogea hadi usawa wa meza na likampiga askari risasi ya uti wa mgongo ili kumpa-paralysis. Ambapo hata hivyo haikumpata ila ilimchubua mkono wa kushoto.
View attachment 2951627
Jambazi alifia mlangoni kwa kuvuja damu shingoni. Baada ya jambazi kudondoka utawaona wahudumu wa benk wakikimbilia ndani na mlinzi akirudi ulingoni. Kwa hivyo Hakufa wala kujeruhika mtu, ispokua mlinzi ilimchuna mkono wa kushoto.
....
Jambazi alifanikiwa kukwepa hatua za usalama za benki kwa kutumia sahani ya chuma kwenye mguu wake kama mlemavu wa mguu wa kushoto ili kuweza kuingia ndani na bunduki bila kulazimika kupitia mlango mkuu wa ukaguzi.
Kwani ni ngoma?Usiogope ajali kazini
Mlinzi alifanya vema Safi sana
Hatari fire , Brazil hiyoCCTV Crime News

Si nilisikia wametengeneza mashine ya kujiua huku ukuienjoy? Ya nini kupata tabu?Hyo ni style mpya ya kujiua, sio hadi mtu ajinyonge.
Ukipigwa husikii maumivu hapohapo,Kama mpo wengi weye uliyepigwa unaweza sema 'kachukua' kumbe umepigwa weyeHilo jambazi linaonesha lilitumia madawa makali ya kulevya, maana kachapwa risasi lakini hakuhisi maumivu.
Nyakati za mwisho kifo kitaonekana cha kawaida na hizi ndio isharaSi nilisikia wametengeneza mashine ya kujiua huku ukuienjoy? Ya nini kupata tabu?
View attachment 2952227
Umeandika vizuri lkn ukiambiwa upractise hujui. Pengine hata bastola kuikamata hujuiBank haivamiwi kichwa kichwa hivi! Lazima wawe zaidi ya 6 tena proffessionals wenye ujuzi mkubwa mf. wanajeshi wazoefu au wastaafu wenye skills za kutumia silaha tena silaha nzito nzito! unakuta kuna mastermind wa kuchora mchoro mahali safe ilipo, jinsi ya kufika, umbali, muda, kiasi cha pesa kilichopo kwa wakati specific n.k unakuta tukio linapigwa ndani ya 10 minutes haoo washasepa na mzigo! Na wanajua what's next aftermath.
Sasa huyo kajikuta kijogoo kashika kishort gun kashajikuta Rambo 😀😀😀
Walinzi gani wa hapo Dar wanaolinda benki na kirungu? Ila jamaa kamlipua na damu zimemwagika sana. AiseeeeResponse ya Mlinzi ilikua very fast,
kilichomsaidia ni kuwa at the right place with right tools and Right Mind, najaribu kuimagine hawa walinzi Bongo Darisalaam unamkuta kabeba kirungu, filimbi na smartphone kubwa anaangalia tiktok tungetoboa kweli ?
Bank Nyingi sana walinzi waliopo ndani wanatumia virungu, Polisi ndio wanatumia Silaha ila wao wanakua nje ya Bank na sio ndani.Walinzi gani wa hapo Dar wanaolinda benki na kirungu? Ila jamaa kamlipua na damu zimemwagika sana. Aiseeee
Tunaomini kwenye MUNGU tunajua process ya kutolewa roho imeambatana na maumivu makali sana, na ndo hupelekea hata mtu kutokwa na haja kubwa.Si nilisikia wametengeneza mashine ya kujiua huku ukuienjoy? Ya nini kupata tabu?
View attachment 2952227