Video ya kuogofya: Jambazi alivyopigwa risasi shingoni wakati alipovamia benki.

Kaka jambazi alikuwa na poor plan, hakuna namna angeweza ku acomplish mission yake hata kama angefanikiwa kuzipata pesa.

Kifaa alichokitumia sidhani kama kinahifadhi risasi 30 which means alikuwa na kazi kubwa ya kufanya kuhakikisha anatoka salama.

Labda kama alikuwa ni serious mental illness akaamua kujilipua kwa style hiyo.
 
Ina takribani miaka miwili hii video, siyo ya jana wala leo
 
Hatari fire , Brazil hiyo
Majitu yana roho ngumu huko balaa
 
Umeandika vizuri lkn ukiambiwa upractise hujui. Pengine hata bastola kuikamata hujui
 
Response ya Mlinzi ilikua very fast,
kilichomsaidia ni kuwa at the right place with right tools and Right Mind, najaribu kuimagine hawa walinzi Bongo Darisalaam unamkuta kabeba kirungu, filimbi na smartphone kubwa anaangalia tiktok tungetoboa kweli ?
Walinzi gani wa hapo Dar wanaolinda benki na kirungu? Ila jamaa kamlipua na damu zimemwagika sana. Aiseeee
 
Walinzi gani wa hapo Dar wanaolinda benki na kirungu? Ila jamaa kamlipua na damu zimemwagika sana. Aiseeee
Bank Nyingi sana walinzi waliopo ndani wanatumia virungu, Polisi ndio wanatumia Silaha ila wao wanakua nje ya Bank na sio ndani.
 
Kuna Mwanamke hapo nadhani ni mhudumu alikuwa anaelekea kule ndani yaani ni kama vile hajajua kinachoendelea maana sijamuona akishtuka wala kukimbia bali ameendelea na safari yake kwa mwendo ule ule wa awali! Lakini kuna kidume kachomoka na speed 180

Halafu kuna mhudumu alitaka kusimama akimbilie ndani huyu askari akamvuta kumrudisha kwenye zile meza muhudumu akatulia. Sasa kitendo kile cha askari kufanya vile sijui ni katika harakati za ukombozi wa raia au kujinusuru yeye! Bila shaka alikuwa anamnusuru yule mhudumu maana huenda angechapwa risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…