Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,382
- 1,881
Bado hoja ni dhaifu kwasababu video imerekodiwa kwa simu vipi kama sauti za kuku na mbwa zimepatikana wakati wa kurekodi na hiyo simu? Na je CCTV Camera huchukua na sauti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hoja ni dhaifu kwasababu video imerekodiwa kwa simu vipi kama sauti za kuku na mbwa zimepatikana wakati wa kurekodi na hiyo simu? Na je CCTV Camera huchukua na sauti?
Mbona ndicho kaeleza jamaainaonekana wewe sio analyst kabisa. hiyo video imerokodiwa juu ya scree ndio maana inatikisika
Ile ilikuwa live kabisa na ilinaswa kwenye security camera... Kusema ile ni edition sidhani.. Ninachoweza kusema ni kwamba lile halikutokea hapa kwetu na pengine sio tukio jipyaNimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea
Teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja
Najua uchawi upo maana nimewahi kukaa mitaa ambayo ikifika usiku kuna fujo zao zinafanya wengi walale kw wasiwasi ikiwemo kukimbia juu ya dari, mchanga kumwagwa kwenye bati, n,k. nilikosa ujasiri niliacha kodi.
uchawi upo lakin hii video ni kweli au?
Mshana Jr
hadi sasa nimewaza vitu kadhaa ila bado havina uzito
- Kamera kucheza cheza - cctv huwa haitikisiki lakini katika hii video inatikisika ni kwasababu imerekodiwa kwenye kioo cha computer kwa kutumia simu.
- muda ni saa 11 jioni lakini kuna giza - muda huo wa kwenye cctv unaweza ukawa haujasetiwa kuendana na muda halisi, huenda hakupatikana mtaalam anaejua kuseti muda, licha ya hivyo bado haizuii cctv kurekodi video, huenda muda halisi ni usiku wa manane na hata taa tumezoa kuwasha usiku na sio jioni.
View attachment 2009151
Nikamtafuta mshana jr, badala anipe mwongozo wa kuupata huo uchawi, akawa ananiletea stori za kusema "mara ooh uchawi ni utumwa, mara hivi, mara vile".Kwakweli mimi nawahitaji sana wachawi na uchawi wao!
Niliwahi kwenda mpaka Pemba kule ndani ndani ili nipate walau hata uchawi wa kiislamu, lakini hakuna nilichopata.
Nikamtafuta mshana jr, badala anipe mwongozo wa kuupata huo uchawi, akawa ananiletea stori za kusema "mara ooh uchawi ni utumwa, mara hivi, mara vile".
Kwa ufupi akawa analeta uswahili.
Mpaka sasa nimeamua kutulia tu kama namba moja.
Nimepoteza matumaini ya kupata uchawi.
Nb, mimi ni mtu wa kigoma.
Baada ya maelezo haya,naomba Jaji wa JF anayesikiliza hii aufunge rasmi.Editing, tena imefanywa na layman tu.
Angalia hapo mahala mchawi anapotokea, kuna kama layer hivi inaziba na inacheza cheza then ndio anatokea. Halafu kuna effect kabisa ya kutokea japo wakati anaondoka wametoa tu frame bila kurudia ile effect.
Pili hio monitor bei yake mbaya sidhani kama kuna mtu anatumia kwa ajili ya display ya camera, hiyo ni monitor ya mtu anae edit video.
Mwingine huyuNimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea
Teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja
Najua uchawi upo maana nimewahi kukaa mitaa ambayo ikifika usiku kuna fujo zao zinafanya wengi walale kw wasiwasi ikiwemo kukimbia juu ya dari, mchanga kumwagwa kwenye bati, n,k. nilikosa ujasiri niliacha kodi.
uchawi upo lakin hii video ni kweli au?
Mshana Jr
hadi sasa nimewaza vitu kadhaa ila bado havina uzito
- Kamera kucheza cheza - cctv huwa haitikisiki lakini katika hii video inatikisika ni kwasababu imerekodiwa kwenye kioo cha computer kwa kutumia simu.
- muda ni saa 11 jioni lakini kuna giza - muda huo wa kwenye cctv unaweza ukawa haujasetiwa kuendana na muda halisi, huenda hakupatikana mtaalam anaejua kuseti muda, licha ya hivyo bado haizuii cctv kurekodi video, huenda muda halisi ni usiku wa manane na hata taa tumezoa kuwasha usiku na sio jioni.
View attachment 2009151
Tukio hili lilihusiana kwa namna yoyote ile huyu mtu kudondokea kanisani, kwa mganga au kwa ustadh au tabibu??Mwingine huyuView attachment 2014018
Kiboko ya hizo ulizozipendekeza ni Huawei.Achana na hizo TECNO na Infinix, jaribu kutumia Samsung na iPhone utanishukuru badae
Sijapata chanzo chake nimetumiwa tu kama hivyoTukio hili lilihusiana kwa namna yoyote ile huyu mtu kudondokea kanisani, kwa mganga au kwa ustadh au tabibu??
@ScarsKwakweli mimi nawahitaji sana wachawi na uchawi wao!
Niliwahi kwenda mpaka Pemba kule ndani ndani ili nipate walau hata uchawi wa kiislamu, lakini hakuna nilichopata.
Nikamtafuta mshana jr, badala anipe mwongozo wa kuupata huo uchawi, akawa ananiletea stori za kusema "mara ooh uchawi ni utumwa, mara hivi, mara vile".
Kwa ufupi akawa analeta uswahili.
Mpaka sasa nimeamua kutulia tu kama namba moja.
Nimepoteza matumaini ya kupata uchawi.
Nb, mimi ni mtu wa kigoma.
@ScarsEditing, tena imefanywa na layman tu.
Angalia hapo mahala mchawi anapotokea, kuna kama layer hivi inaziba na inacheza cheza then ndio anatokea. Halafu kuna effect kabisa ya kutokea japo wakati anaondoka wametoa tu frame bila kurudia ile effect.
Pili hio monitor bei yake mbaya sidhani kama kuna mtu anatumia kwa ajili ya display ya camera, hiyo ni monitor ya mtu anae edit video.
Kwakweli mimi nawahitaji sana wachawi na uchawi wao!
Niliwahi kwenda mpaka Pemba kule ndani ndani ili nipate walau hata uchawi wa kiislamu, lakini hakuna nilichopata.
Nikamtafuta mshana jr, badala anipe mwongozo wa kuupata huo uchawi, akawa ananiletea stori za kusema "mara ooh uchawi ni utumwa, mara hivi, mara vile".
Kwa ufupi akawa analeta uswahili.
Mpaka sasa nimeamua kutulia tu kama namba moja.
Nimepoteza matumaini ya kupata uchawi.
Nb, mimi ni mtu wa kigoma.
kwa taarifa nilizozipata inasemekana kuwa ni kweli na hilo tukio lilichukuliwa kupitia mfumo wa cctv na limetokea kwa tajiri mmoja huko kigoma...na kuhusu hizo sauti ni kwamba hiyo video imechukuliwa kwa simu ikiwa imeelekezwa kwenye display ya computer.Nimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea
Teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja
Najua uchawi upo maana nimewahi kukaa mitaa ambayo ikifika usiku kuna fujo zao zinafanya wengi walale kw wasiwasi ikiwemo kukimbia juu ya dari, mchanga kumwagwa kwenye bati, n,k. nilikosa ujasiri niliacha kodi.
uchawi upo lakin hii video ni kweli au?
Mshana Jr
hadi sasa nimewaza vitu kadhaa ila bado havina uzito
- Kamera kucheza cheza - cctv huwa haitikisiki lakini katika hii video inatikisika ni kwasababu imerekodiwa kwenye kioo cha computer kwa kutumia simu.
- muda ni saa 11 jioni lakini kuna giza - muda huo wa kwenye cctv unaweza ukawa haujasetiwa kuendana na muda halisi, huenda hakupatikana mtaalam anaejua kuseti muda, licha ya hivyo bado haizuii cctv kurekodi video, huenda muda halisi ni usiku wa manane na hata taa tumezoa kuwasha usiku na sio jioni.
View attachment 2009151
Hii inaweza kuwa sahihi zaidi wanaosema ni editing labda hawajaiangalia vizurikwa taarifa nilizozipata inasemekana kuwa ni kweli na hilo tukio lilichukuliwa kupitia mfumo wa cctv na limetokea kwa tajiri mmoja huko kigoma...na kuhusu hizo sauti ni kwamba hiyo video imechukuliwa kwa simu ikiwa imeelekezwa kwenye display ya computer.
Hakuna kitu kama hicho mkuu, kigoma kwenyewe kila mtu anasema "nasikia kuna mtu alikuwa hivi au vile"Mkuu bora wewe, mimi niliomba jina tu sikupewa hadi leo na niliahidi kutoa 500,000 TSH kwa yeyote atayenipa jina tu.
Mtu alianzisha uzi kwamni mizwazwa ikaamini ile story kama ilivyo kama kwenye uzi huu tu. Sababu diwani nia tu hadi leo ads/visa-vya-uchawi-na-ushirikina-mkoani-kigoma-mwisho-wa-reli.1910471/[/URL]
Hakuna cctv inayoweza "kukamata" picha za "ulimwengu wa roho" Vitu vya ulimwengu wa roho VIPO KABISA lakini macho ya nyama (macho ya kawaida) hayawezi kuviona.
Kwa maana hiyo, cctv ambayo inachukua picha za vitu vinavyoonekana kwa macho ya nyama haiwezi kukamata picha ya vitu vya ulimwengu wa roho.
Kwani wewe umeshawahi kuona kwa macho yako wachawi wakiwanga? Lakini si wapo?

Usisingizid tabia zako za kuhonga wanawake na kunywa pombe useme uchawiMimi nilikuwa kama wewe, nikawa siamini kabisa,nilikuwa vizuri kiasi kiuchumi, nilivohamia kwangu ndani ya miezi miwili tu nikajipambanua zaidi kumbe sijui binadamu anawaza nini, siku moja nimeamka wakati tupo kwenye ziara ya jumuiya asubuhi na viongozi wenzangu ndo wananishtua mbona kichwani huna nywele (pande mbili za kichwa zilikuwa zimenyolewa haswa maana nilikuwa na nywele ndefu) nilidharau tu, nikaenda nikanyoa nywele zote zimeanza tu kuota nikanyolewa tena baada ya hapo maisha yangu yakawa ni historia maana hata nguo za kuvaa zilinishia. Sikuwahi kuwa na hata akiba ya elf tano ndani.,nilipitia mapito ijapo nilikuwa napata miamala kupitia send waves lakini sikufanya cha maana hata kidogo, aiseee usiombe