Video ya mchawi/mwanga aliyekamatwa akiwanga ina ukweli?

Video ya mchawi/mwanga aliyekamatwa akiwanga ina ukweli?

Yan hao ukiwabip kidogo tu wanajaa mazima mazima
Kitu kizuri siku zote lazima watu wakiponde tena kwa kutumia nguvu kubwa tu wala sibabaiki mm na chuki zenu m najua ninachokifanya ila kiukweli Tutakutana mbele ya Muumba huko tutajua nani ni mkweli
Endeleeni tu na chuki zenu
 
Ivi mbona Mimi nikifungua hiyo link haifungui shida huwa nini jmn??
 
Kitu kizuri siku zote lazima watu wakiponde tena kwa kutumia nguvu kubwa tu wala sibabaiki mm na chuki zenu m najua ninachokifanya ila kiukweli Tutakutana mbele ya Muumba huko tutajua nani ni mkweli
Endeleeni tu na chuki zenu
Mkuu staki ligi za dini,
Usiku mwema
 
camera ilitakiwa imuone tangu anavyokuja hadi kuondoka kama ilikuwa na uwezo huo. kiufupi hiyo ni editing imefanyika.
 
Duu pole sana
Kila mmoja wetu amejaribiwa kwa namna moja au nyingine
Nakumbuka nyumbani siku moja ndugu yangu alijikwaa mlangoni kuja kuangalia wamezika chupa yenye matakataka na manyoa na vitu kibao

Ila father aliifukua na kwenda kuitupa jalalani akasema wapumbavu hao wanajisumbua tu msiamini haya mambo

Ila kama wanakujaribu kila wakati ni mtihani
Wanacheza na saikolojia tu kukuingizia hofu.
Na wengi hofu ndo uwaumiza
 
Kwakweli mimi nawahitaji sana wachawi na uchawi wao!

Niliwahi kwenda mpaka Pemba kule ndani ndani ili nipate walau hata uchawi wa kiislamu, lakini hakuna nilichopata.
Nikamtafuta mshana jr, badala anipe mwongozo wa kuupata huo uchawi, akawa ananiletea stori za kusema "mara ooh uchawi ni utumwa, mara hivi, mara vile"
Kwa ufupi akawa analeta uswahili.
Mpaka sasa nimeamua kutulia tu kama namba moja.
Nimepoteza matumaini ya kupata uchawi.
Nb, mimi ni mtu wa kigoma.
Kwanini hukwenda sumba wanga
 


Mchawi huyo amenaswa na CCTV cameras akiwanga.

Ikumbukwe kuwa miaka michache nyuma Grace Makani aliondokewa na mwana wake mpendwa Lulu baada ya kuangukiwa na geti kimiujiza.

Tuendelee kuiombea ulinzi family ya Grace Makani a.k.a Da Gie
 
Nimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea

Teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja...
inaonekana wewe sio analyst kabisa. hiyo video imerokodiwa juu ya scree ndio maana inatikisika
 
Nimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea

Teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja

Najua uchawi upo maana nimewahi kukaa mitaa ambayo ikifika usiku kuna fujo zao zinafanya wengi walale kw wasiwasi ikiwemo kukimbia juu ya dari, mchanga kumwagwa kwenye bati, n,k. nilikosa ujasiri niliacha kodi.

uchawi upo lakin hii video ni kweli au?

Mshana Jr

hadi sasa nimewaza vitu kadhaa ila bado havina uzito

- Kamera kucheza cheza - cctv huwa haitikisiki lakini katika hii video inatikisika ni kwasababu imerekodiwa kwenye kioo cha computer kwa kutumia simu.

- muda ni saa 11 jioni lakini kuna giza - muda huo wa kwenye cctv unaweza ukawa haujasetiwa kuendana na muda halisi, huenda hakupatikana mtaalam anaejua kuseti muda, licha ya hivyo bado haizuii cctv kurekodi video, huenda muda halisi ni usiku wa manane na hata taa tumezoa kuwasha usiku na sio jioni.


View attachment 2009151
mchawi akikamatwa anawanga, azamishiwe nondo ya moto ma.ta.ko.ni, wamwache aende.
 
Hskuna kitu hapo hayo ni maigizo, video zimeunganishwa, ungo haupai kwa kupotea km hivyo
 
Editing hizo blaah zingine acheni

Ila hawa wanaharamu siku nikija kuwakamata naua kabisa bora hata mwizi naweza kumuacha

Nishaskia stori zao maswala ya mtu anakujia usiku uchi na mat#ko yake machafu anakunyea mdomoni
Mwishowe unapata vitambi bila mpangilio
Bladfakin sana hawa
 
Kwakweli mimi nawahitaji sana wachawi na uchawi wao!

Niliwahi kwenda mpaka Pemba kule ndani ndani ili nipate walau hata uchawi wa kiislamu, lakini hakuna nilichopata...
Kigoma nako nasikia si haba kwa uchawi, haujakutosha mpaka utafyte wa sehemu nyingine?
 
Back
Top Bottom